Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,702
- 35,756
OK Mwanza hakuna apartments kivile saaana kama chuga....but zipo chache zimekamilika zingine zipo u/c![]()
![]()
![]()
Njiro & USA River apartments.
OK Mwanza hakuna apartments kivile saaana kama chuga....but zipo chache zimekamilika zingine zipo u/c![]()
![]()
![]()
Njiro & USA River apartments.
Utamaduni wa Kaskazini ni nyama na bia/pombe.. Kwahiyo kama unajiweza lazima utafute eneo kubwa ili ata ukichinjwa mbuzi uite ndugu na marafiki kadhaa mchome nyama na mkate kinywaji kidogo.. Mwambie ndio kazi ya hizo garden..Nikupe tu lifestyle ya Arusha naona unasema huko ni porini sababu unaona garden kubwa nzuri ni kwamba watu Wa Arusha hawajengi sehemu iliyobanana kama huko kwenu.
Arusha lazima ununue eneo kubwa utakaloweza kujenga nyumba ya maana na gardens za kufa MTU ambapo hata unaweza kupata space ya kufanyia viparty vya kifamilia kikubwa zaidi Arusha wanajali privacy ndiomana hamnaga mambo ya kiswahili huku.
Yeye kazoea nyumba inazungukwa na majabali na matumbawe...Nikikwambia Ngurdoto imezungukwa na nyumba kila upande utakubali??
Japo overview yake inaonyesha mashamba.
Tambua arusha hamna mbanano ukiona hotel imrzungukwa na miti sio kama ipo kichakani kwanza arusha watu wanapenda kupanda miti sana hivyo unavyoona miti mingi sio kama hakuna makazi ya watu yapo hukohuko ndani ya miti.
Na hii ndio inafanya watu wanaokuja na mabasi kutoka dar waone Arusha sio kivile wanapoona road ya arusha-moshi imezungukwa na miti tu kumbe wakiingia ndani kidogo ni Habari nyingine.
HahahaaahaaaYeye kazoea nyumba inazungukwa na majabali na matumbawe...
Arusha yapo majumba ambayo sometimes unaweza sema nimedownload US au Netherland.OK Mwanza hakuna apartments kivile saaana kama chuga....but zipo chache zimekamilika zingine zipo u/c
View attachment 405246View attachment 405248View attachment 405249
View attachment 405250
Zile ni hatari tupu.Hamjamwekea nyumba za kule Dolly Farm..
Ulikua unataka kununua mtaa?miniliendaga moshi ......
yaani kale kamji ni sawa na kutoka mbagala77 had zakhiem........
sijaona sehemu ya kuishi nje ya dar
Utalii Wa Arusha sio wa wageni watatu Arusha group moja unaweza kukuta wageni 50 hilo ni group moja labda college au school au company sometimes pale clock tower unaweza kukuta idadi ya wazungu imezidi idadi ya wenyeji pia wageni wanaoamua kubaki Arusha kama permanent residing unaweza kukuta ndio idadi ya watalii waliofika mwanza mfululizo wa miaka mitatu.Hoja yako ni mfu sana, ntajishusha sana kuijadil but ngoja nkujibu....hao ni wafrika eh hapa mwanza
View attachment 405199View attachment 405200
hakuvutiii yani...Ulikua unataka kununua mtaa?
Hata kungekuvutia huwezi kununua kiwanja Moshi.hakuvutiii yani...
Yani bado mnaendelea kufananisha Jiji la mawe na A'town!!.. kazi ipo.OK Mwanza hakuna apartments kivile saaana kama chuga....but zipo chache zimekamilika zingine zipo u/c
View attachment 405246View attachment 405248View attachment 405249
View attachment 405250
Hahaaaa kweli wewe ndio bwege hujijui.....iko sable mall kisongo,TFA,njiro complexThibitisha uwepo wa mall tatu arusha...we bwege kweli....ongea vitu relevant
Mkuu achana nae Arusha haijui.Hahaaaa kweli wewe ndio bwege hujijui.....iko sable mall kisongo,TFA,njiro complex
Vipi kuhusu mwanza kiongoz...zipo zipo ngapi...maan hapa ligi kubwa n kati ya mwanza na arusha...dar iweke pembeni...!Yaani kama mwenge-bamaga-sayansi-moroko-namanga-st peter's ndio traffic light kwenye jiji zima la arusha? yaani barabara ya ali hassan mwinyi ina traffic lights nyingi kuliko mji mzima wa arusha?!
Mara ya mwisho kufika chuga. na gari la dagaa. Ni lini weww msukumaaaa,,, mshambaaaHakuna hotel ya Hyatt regency arusha hyo ni proposed na labda ipo under construction, Fiona tower ni incomplete na sidhan kama imeisha, parrot hotel labda imefunguliwa Jana...aim mall haijakamilika...cjui umenielewa we mburura? Au unabisha we masai
Mkumbushe kuwa ,,, UZUNGUNI kuna kila ya maendeleo ila uwezi kuyaona ukiwa barabaraniNikikwambia Ngurdoto imezungukwa na nyumba kila upande utakubali??
Japo overview yake inaonyesha mashamba.
Tambua arusha hamna mbanano ukiona hotel imrzungukwa na miti sio kama ipo kichakani kwanza arusha watu wanapenda kupanda miti sana hivyo unavyoona miti mingi sio kama hakuna makazi ya watu yapo hukohuko ndani ya miti.
Na hii ndio inafanya watu wanaokuja na mabasi kutoka dar waone Arusha sio kivile wanapoona road ya arusha-moshi imezungukwa na miti tu kumbe wakiingia ndani kidogo ni Habari nyingine.