Nilichogundua kuhusu Arusha

Nilichogundua kuhusu Arusha

Hivi mwanza wana International school (simaanishi English medium maana mangosha wanaita English medium international) namaanisha zile shule ada ni Mil 10 mpka 20 kwa mwaka...

Mkuu chongchung hebu nisaidie labda wanazo huko Mwanza
Kwa kweli sijafanikiwa bado kuziona naona international zao ni alliance na nyakahoja na st.Mary's ila ukiziangalia ni kama magereza ya butimba au maromboso Mkuu.
 
ha ha ila arusha ni pazuri mkuu tuache utan,kuna jamaa yang wa iringa alifika huku usa river kwa mara ya kwanza akasema atatafuta kiwanja kwa gharama yoyte ilmrad aishi huku😀😀😀😀😀
Mkuu ungefanya uungwana upande pale Ngarasero Lodge ukamate photo 2, 3 uwaekee hawa raia wajue kwanini Arusha iliitwa Geneva of Africa..
 
Hivi mwanza wana International school (simaanishi English medium maana mangosha wanaita English medium international) namaanisha zile shule ada ni Mil 10 mpka 20 kwa mwaka...

Mkuu chongchung hebu nisaidie labda wanazo huko Mwanza
Duh! Ninyi ndio wale kama wale watoto wanaosema " hivi na nyie kwenu mna video" yaani unaona hicho kitu ni cha ajabu sana...
 
Hivi mwanza wana International school (simaanishi English medium maana mangosha wanaita English medium international) namaanisha zile shule ada ni Mil 10 mpka 20 kwa mwaka...

Mkuu chongchung hebu nisaidie labda wanazo huko Mwanza
Isamilo international school
 
Afanye uungwana pia awawekee ile mitaa ya Ngarasero kule USA River, ebana kuna slums na penyewe...
Mkuu Ngarasero ya sasa si ile ya zamani baada ya ile barabara ya old moshi kutanuliwa na watu kujenga nyumba za kisasa pamekuwa na mabadiliko makubwa mno....Then shuka kule Kiligolf huwezi amini upo TZ ni fulu ulaya..
 
Mkuu achana nae Arusha haijui.

Sable Mall near Arusha Airport
111565.jpg
SAM_2573.jpg

IMG_3254.jpg
images
Haya majengo ya wahindi ..wewe mbongo wa kawaida yanakusaidia nini.unakaa mitaa ya arusha kwa asilimia 98 haina barabara ni vijinjia vidogo vilivyojaa vumbi hata gari mbili haziwezi pishana..ukinunu kiji.plot kwa waarusha ndo wanakuuzia na kijinjia ..umaskini wa akili na mazingira bora hata mikoa kama Mara,morogoro etc mitaa imepangika barabara hata magari yanapishana....
 
Sema kwa sasa nimechomoka nimekuja huku Elmotonyi, labda jioni nitakuwa Sky Lounge...
Leo nataka kuanzia picnic kaunta, shivaz counter, namalizia mrina counter namumusa soda zangu tatu jumla nachukua take away naenda kula then kulala, Arusha design tamu
 
Haya majengo ya wahindi ..wewe mbongo wa kawaida yanakusaidia nini.unakaa mitaa ya arusha kwa asilimia 98 haina barabara ni vijinjia vidogo vilivyojaa vumbi hata gari mbili haziwezi pishana..ukinunu kiji.plot kwa waarusha ndo wanakuuzia na kijinjia ..umaskini wa akili na mazingira bora hata mikoa kama Mara,morogoro etc mitaa imepangika barabara hata magari yanapishana....
Nani kakwambia hiyo investment ni ya mhindi?
Umekariri Arusha ya 1890 saivi maeneo mengi yapo planned kwanza hata Arusha hauijui kaa kimya.
 
Back
Top Bottom