Aisee hii ni league ya Arusha na Mwanza wewe wa Dodoma Tafadhali muone Katavi au Songwe.
Dah! watu mna maneno.
Aisee hii ni league ya Arusha na Mwanza wewe wa Dodoma Tafadhali muone Katavi au Songwe.
Leo nimeamka na facts tu sitaki malumbano ya kipopoma leo natembeza bakora ya kwenye makarabrasha kisomi zaidi na sitaki back fire ya kimbulula ya maneno ya vijiweni nmake sure unapingana na facts kwa facts................ Nadhani nimeeleweka.Mpe nauli aende akapige hzo picha alete jukwaani af ukumbuke pia wazungu wanadoubt why Genever of Africa inakuwa na nyumba kama mashimo ya panya with miserable life kama hzi katkat ya mji...hapa ni ungalimited
View attachment 405866View attachment 405867
Me nadhani ingekua vizuri kama hii thread ingeishia hapa sababu hili ndio jibu zuri tena limetolewa kwenye chombo tukufu cha Bunge la Jamhuri ya Muungano.Leo nimeamka na facts tu sitaki malumbano ya kipopoma leo natembeza bakora ya kwenye makarabrasha kisomi zaidi na sitaki back fire ya kimbulula ya maneno ya vijiweni nmake sure unapingana na facts kwa facts................ Nadhani nimeeleweka.
Mikoa mitano maskini zaidi Tanzania hii hapa - millardayo.com
Stori kubwa kwenye magazeti ya leo June 09 2016 ni kuhusu Bajeti ya mwaka 2016/2017, moja ya stori iliyochomoza ni hii kwenye gazeti la Nipashe yenye kichwa cha habari ‘Mikoa mitano maskini zaidi Tanzania hii hapa”
Serikali imesema kuwa Kigoma, Geita, Kagera, Singida na Mwanza ndiyo mikoa mitano maskini zaidi nchini, aidha mikoa ya Dar es salaam, Kilimajaro, Arusha, Pwani na Manyara ndiyo mikoa mitano yenye ahueni ya umaskini nchini
Waziri wa fedha na mipango Dk Phillip Mpango alisema hayo jana wakati akiwasilisha bungeni taarifa ya hali ya uchumi ya mwaka 2015 na mpango wa maendeleo wa taifa kwa mwaka wa fedha 2016/17.
Kumbe hapa tunalinganishwa na Kigoma au Kagera ambao hata Pwani na Manyara wanawachapa bakora.................kwa kweli inasikitisha sana.

ucjal mkuu sahiv npo Mbuguni huku karb na Mererani, nikipanda juu kule ntarushia madude hukuMkuu ungefanya uungwana upande pale Ngarasero Lodge ukamate photo 2, 3 uwaekee hawa raia wajue kwanini Arusha iliitwa Geneva of Africa..
Hahahahaha...MICHUZI BLOG: Profesa Tibaijuka azindua hoteli ya Nyota tano jijini Arusha
Alisema mkakati huo utaufanya mkoa wa Arusha ambao ni kitovu cha utalii kuzidi kuongeza idadi ya vitanda vya kisasa kulala wageni ambapo kwa sasa ina vitanda 2,800 tu nyuma ya mkoa wa Dar es salaam wenye vitanda 3,800 na kuzidi mkoa wa Mwanza wenye vitanda 900 licha ya ukubwa wake. Lazaro Nyalandu 2015.
Na mpaka December 2016 tayari kuna hotel kama 5 kubwa zitazinduliwa.
Kwa namba hiyo ya vitanda tu gape la vitanda 1900 level yenu ni Singida au Tabora Arusha watawapita Dar within several months.
Ikumbukwe population (jiji)
Dar - million 5.7
Mwanza - million 3.6
Arusha - < 500,000
Ukizingatia hapo Arusha ndio mbabe.
Unajua maana ya neno zaid? Nadhan ushaelewaMwenzako anasema 80 wewe 50 mpaka hapo hamjielewi wote havifiki hata 35.
Ahaa okey kumbe hospital ipo eh, umejitahdHuijui hata selian....hebu tuelez kwanza we arusha ulifka mwaka gani na hilo lori la dagaa...!hii n selian ambay wenzako wa mwanza wanaitambua vzur..!View attachment 405910
Hizo takwimu zipo wrong, hiyo link uliyoweka soma vizur content...ni 4star not fiveMICHUZI BLOG: Profesa Tibaijuka azindua hoteli ya Nyota tano jijini Arusha
Alisema mkakati huo utaufanya mkoa wa Arusha ambao ni kitovu cha utalii kuzidi kuongeza idadi ya vitanda vya kisasa kulala wageni ambapo kwa sasa ina vitanda 2,800 tu nyuma ya mkoa wa Dar es salaam wenye vitanda 3,800 na kuzidi mkoa wa Mwanza wenye vitanda 900 licha ya ukubwa wake. Lazaro Nyalandu 2015.
Na mpaka December 2016 tayari kuna hotel kama 5 kubwa zitazinduliwa.
Kwa namba hiyo ya vitanda tu gape la vitanda 1900 level yenu ni Singida au Tabora Arusha watawapita Dar within several months.
Ikumbukwe population (jiji)
Dar - million 5.7
Mwanza - million 3.6
Arusha - < 500,000
Ukizingatia hapo Arusha ndio mbabe.
We umeona nin?Duh hizo ni nini?
Mbna we kwenye picha zako unachomeka lodge af unadai ni nyumba za kuish...anyway hapa n mwanzaHuo ni uchafu uliopitiliza hamna kitu hapo me nakuwekea house we unaleta guest house za nyegezi??
View attachment 405917 View attachment 405918 View attachment 405919
Hatuna haja ya kulumbana utofauti wa Arusha na Mwanza especially kwa picture kila mtu hapa anaona Mwanza ilivyochoka kimakazi.
Tunaongelea city....sijui umeelewa? Hatupo kimkoa...af takwimu zinasema arusha ni maskini pia ila kuna ahueni na sio tajiri kama unavyoropoka.....haya Kilimanjaro ni moja ya mkoa wenye ahueni kiumaskini kuliko mbeya, kwa kauli hii Ina maana mji wa moshi unalizidi jiji la mbeya? Mkuu usiwe nonsense sanaMe nadhani ingekua vizuri kama hii thread ingeishia hapa sababu hili ndio jibu zuri tena limetolewa kwenye chombo tukufu cha Bunge la Jamhuri ya Muungano.
![]()
![]()
Ni vyema tukaheshimu vyombo vyenye mamlaka na viongozi wenye dhamana waliosema Mwanza ni mkoa masikini uliopindukia na Arusha ni mkoa Tajiri![]()
![]()
![]()
![]()
Hahaaaaaa....kwan yeye hana camera?ucjal mkuu sahiv npo Mbuguni huku karb na Mererani, nikipanda juu kule ntarushia madude huku
Hyo dispensary yako haitakuwa lolote kwa hii ya wasabatoHuijui hata selian....hebu tuelez kwanza we arusha ulifka mwaka gani na hilo lori la dagaa...!hii n selian ambay wenzako wa mwanza wanaitambua vzur..!View attachment 405910
Hii ndo point kubwa kwenye hii madalabda arusha ni pabaya sana ila hata paikiwa puzuri kuna maghorofa na kila kitu wewe itakusaidia nn? Hiyo mikoa mizuri mizuri inakusaidia nn kwenye maisha yako? Maghorofa na hoteli na kila kitu vina wenyewe tafuta vyako ufanye kwako pawe pazuri.
Mwanza ni Commercial City?? Vitu vingine ebu kuweni wapole na mtumie akili.. Mfano wa Commercial City Tanzania ni Dar Es Salaam.. Kodi wanakusanya almost 75% ya kodi yote nchini. Hiyo ndiye Commercial City, biashara inafanyika hapo. Mwanza ina population ya 2.7 Million kwa sensa ya 2012, yawezekana sasa imefika 3 Million, mikoa inayozunguka Mwanza na imbayo ingeitegemea Mwanza kama hiyo Mwanza yako ingekuwa kweli ni Commercial City ni Mara yenye population ya 1.7 Million, Shinyanga yenye 1.5 Million, Tabora yenye 2.2 Million na Kagera yenye 2.4 Million.. Yaani kwa kifupi Mwanza imezungukwa na Mikoa yenye population ya 7.8 Million na ukijumlisha na yake ya 2.7 million ni almost 10 Million.Wewe kiroboto hata hujitambui...Nssf walianza mwanza ndo wakaenda chuga, ppf walianza mwanza ndo wakaenda chuga, lapf walianza mwanza ndo wakaenda chuga, nssf wamerud tena kwenye hotel kama wangepigwa hasara wasingerudi..ppf nao wanarudi soon kwenye massive building, huwez fananisha commercial city na jiji linalotegemea uwepo wa nyumbu na swala...shame on u
Ajabu ni katika mikoa mitano tajiri, mitatu inatoka kule wasikokupenda. Mi nimewaambiwa kama Arusha ndiyo ingekuwa Mwanza alafu Kilimanjaro ikawa Shinyanga au Mara leo hii si ajabu kwa maisha bora na makusanyo ya kodi Dar ingekuwa inaisubiri hiyo mikoa. Mwanza imezungukwa na wakazi Million 10 ambao strategically wanautegemea huo mkoa. Mtu wa Mara, Bukoba, Kahama, Geita, Tabora wasingetakiwa waende Kariakoo kufunga mzigo. Hao wote wangetakiwa washuke Mwanza wafunge mzigo. Huku Arusha na Kilimanjaro wengi huwa hawaendi Dar kufunga mzigo, wanaenda Nairobi. Hivyo hivyo Mwanza ingetakiwa ihudumie 10 Million population lakini cha ajabu mtu anatoka Geita na Tabora kwenda Dar kuchukua mzigo. Alafu wako hapa wanasema mji wao ni wa kibiashara... Mji wa Kibiashara mnashindwa hata kukusanya kodi kuwazidi Kilimanjaro?? Mji wa biashara Dar inakusanya 75% ya kodi yote Tanzania ila Mwanza hata 1% haifiki alafu wamezungukwa na watu million 10 na bila aibu wanajiita mji wa kibiashara..Leo nimeamka na facts tu sitaki malumbano ya kipopoma leo natembeza bakora ya kwenye makarabrasha kisomi zaidi na sitaki back fire ya kimbulula ya maneno ya vijiweni nmake sure unapingana na facts kwa facts................ Nadhani nimeeleweka.
Mikoa mitano maskini zaidi Tanzania hii hapa - millardayo.com
Stori kubwa kwenye magazeti ya leo June 09 2016 ni kuhusu Bajeti ya mwaka 2016/2017, moja ya stori iliyochomoza ni hii kwenye gazeti la Nipashe yenye kichwa cha habari ‘Mikoa mitano maskini zaidi Tanzania hii hapa”
Serikali imesema kuwa Kigoma, Geita, Kagera, Singida na Mwanza ndiyo mikoa mitano maskini zaidi nchini, aidha mikoa ya Dar es salaam, Kilimajaro, Arusha, Pwani na Manyara ndiyo mikoa mitano yenye ahueni ya umaskini nchini
Waziri wa fedha na mipango Dk Phillip Mpango alisema hayo jana wakati akiwasilisha bungeni taarifa ya hali ya uchumi ya mwaka 2015 na mpango wa maendeleo wa taifa kwa mwaka wa fedha 2016/17.
Kumbe hapa tunalinganishwa na Kigoma au Kagera ambao hata Pwani na Manyara wanawachapa bakora.................kwa kweli inasikitisha sana.
Kwahiyo hata Dar nao ni masikini???Tunaongelea city....sijui umeelewa? Hatupo kimkoa...af takwimu zinasema arusha ni maskini pia ila kuna ahueni na sio tajiri kama unavyoropoka.....haya Kilimanjaro ni moja ya mkoa wenye ahueni kiumaskini kuliko mbeya, kwa kauli hii Ina maana mji wa moshi unalizidi jiji la mbeya? Mkuu usiwe nonsense sana
Arusha
Manyara.
Pwani
Geita
MwanzaNa ndio maana nikamwambia kama watu wa Arusha na Kilimanjaro ndio wangekuwa wakazi wa Mwanza na Shinyanga leo hii Shinyanga na Mwanza ingekuwa habari nyingine.. Hata kwenye makusanyo ya kodi na uwekezaji wa viwanda mbalimbali na biashara mbalimbali za uchuhuzi. Watu wa kanda ya ziwa wote plus Kigoma, Rwanda, Burundi wangekuwa wanakuja kufunga mizigo yao Mwanza na si kwenda Dar/Kariakoo ambako ni umbali mrefu zaidi. Ule uwanja wa ndege ungeshapanuliwa siku nyingi kwasababu lazima kungekuwa na direct flights kutoka huko Duniani kuja pale kwa either wafanyabiashara kusafiri kwenda kununua mizigo au wawekezaji mbalimbali kuja kutafuta fursa. Uwezi ukazungukwa na watu million 10 ukabaki unafanya biashara ya samaki tu..Kwahiyo hata Dar nao ni masikini???
Tunaongelea kwa uchumi wa Tanzania within the country report iliyosomwa bungeni ilifanywa na UNDP na huwa ni comparison na mataifa mengine.
Sasa tukija kwa regional development index unapata picha kamili Dar Kilimanjaro Arusha Manyara na Pwani ni mikoa tajiri na Mwanza na marafiki zake ni mikoa masikini iliyopindikia.
Pia jiulize inakuaje mikoa tajiri ipo karibu karibu???
KilimanjaroArusha
Manyara.
DarPwani
KageraGeita
Mwanza
Ni kwamba hiyo mikoa ukiachilia mbali interrelationships economically hata watu wake pia ni tofauti na hayo maeneo mengine.
Dar na Pwani wapo developed sanasana ni makao makuu ya nchi ndio yaliyowabeba shughuli zote za kiuchumi zipo Dar kutokana na mipango ya serikali lakini mikoa ya kaskazini ni kutokana na juhudi zao binafsi hakuna any major government influential ukilinganisha na Dar.
Hii ni kweli tupu Mwanza wapo strategically potential lakini bado sana kwenye resources exploitation hawajautilize ipasavyo ukilinganisha na kaskazini empire ambao wapo mbele sana in every sector on top of that pia ni runners wa uchumi wa Mwanza yenyewe.Na ndio maana nikamwambia kama watu wa Arusha na Kilimanjaro ndio wangekuwa wakazi wa Mwanza na Shinyanga leo hii Shinyanga na Mwanza ingekuwa habari nyingine.. Hata kwenye makusanyo ya kodi na uwekezaji wa viwanda mbalimbali na biashara mbalimbali za uchuhuzi. Watu wa kanda ya ziwa wote plus Kigoma, Rwanda, Burundi wangekuwa wanakuja kufunga mizigo yao Mwanza na si kwenda Dar/Kariakoo ambako ni umbali mrefu zaidi. Ule uwanja wa ndege ungeshapanuliwa siku nyingi kwasababu lazima kungekuwa na direct flights kutoka huko Duniani kuja pale kwa either wafanyabiashara kusafiri kwenda kununua mizigo au wawekezaji mbalimbali kuja kutafuta fursa. Uwezi ukazungukwa na watu million 10 ukabaki unafanya biashara ya samaki tu..
Hyo dispensary yako haitakuwa lolote kwa hii ya wasabato
View attachment 406037
Kwa sasa imefikia hapa
View attachment 406039View attachment 406041