Halafu umesahau, huku Arusha tunaishi kibabe zaidi, karibu huku pande za Meru mkuuHaina stendi ya maana si ya daladala wala mabasi, maendeleo kama yanaenda kwa kusua sua, boda boda mmoja kaniambia angendelea mkwere wangekua mbali,
ila mwenyeji mmoja kaniambia atanionyesha sehemu kadhaa zitakazonifanya niamini kwamba Moshi kwa Arusha si chochote,
Japo upande wa population naona wapo vizuri, kama upo Arusha niambie ni wapi nikienda nitapiga salute na kuacha kufananisha huu mji na sehemu za kawaida, asanteni, ila kwa muda wote niliokaa Arusha nimeshangaa sana uzuri wa sura wa mabinti hadi nikatengeneza principal kwamba ukiwa Arusha angalia shape tu sura wengi wazuri kama siyo wote, Arusha na Singida si mchezo kwa upande huwo, maendeleo yapigianeni, Japo njiro na baadhi ya maeneo ni pazuri pia, Unga limited nasikia hapapitiki usiku ni shida, shivers nilikaribishwa nimmepaona lakini hicho siyo kiashiria cha maendeleo Japo kuna wadada wazuri hataree
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha haKisongo ni uwanja wa mpira?
nahisi ni wakuchezea singeli
Mkuu kwenda namanga ni mpaka ufike mbuga nyeupe ndo unakutana na tambarare ambapo ukianzisha uwanja wa ndege urefu wake ni sawa na kwenda KIA sasa kuna haja gani hapoNothing is impossible kama land surveyors wapo... Halafu, hebu pita barabara ya Arusha- Namanga uone tambarare zilizopo...
Huwezi kutuletea wabana pua huku tukawaelewa, hili ni jiji la hip hop labda hiyo Fiesta iwe na wana hip hop tupu!Huwez peleka fiesta Chuga..utaishia kupata hasara...kule hakuna mwamko wa burdani
Si alipita stand tu huyu sijui alikuwa na safari ya wapiMtoa mada nadhani hupajui vizuri arusha
Hatutegemei serikali kwa kila kitu, hatuli serikalini wala kulala serikalini mkuu, kuwa na heshimaHata hii baridi na vumbi navyo ni sehemu ya mafunzo, semeni ukweli upinzani kuishika Arusha, serikali kuu imeingiza mikono kwenye sweta lengo ikiwa ni kuwasomesha namba kwa nini mmewapa upinzani, ila kwa jinsi mlivyo wabishi mtaribishia ili
Ndo maana huku huwa hatupendi upumbavu upumbavuWakazi wa Arusha ni wabinafsi. Wana roho mbaya hata ongea yao ya kikatili katili tu mpaka wanawake...Mi nikifikaga Arusha kuna niboa sana kesho yake natamani kuondoka...Bora uishi Njombe au Songea wakazi wa huko wanaroho nzuri sana..
arusha inaitwa songwe siku hizi?Arusha Airport![]()
Bado kuna watoto wazuri weupe wenye chura na meno ya dhahabu,ila ktu kikubwa zaidi arusha ni hali ya hewa tamu
Sorry kwa kuingilia majibizano yenu, mkuu hebu kuwa mkweli unataka wajenge kiwanja kingine cha nini wakati KIA sio mbali kutoka Arusha mjini nauli haizidi hata elfu mbili, pia hata kiwanja cha bado kipo nje ya mji ingawa sio kama umbali wa kiwanja cha KIA, hata geography ya Arusha mjini hairuhusu kiwanja kikubwa cha ndege karibu na mjini zaidi mpaka uanze kutoka nje ya mji, au kama kweli unaijua geography ya Arusha hebu niambie ni sehemu gani unaona uwanja wa ndege unaweza kujengwa ili kuhimili ndege kubwa ambapo ni karibu na mjini ukiachana na kuanzia Kikatiti ambapo KIA inaanzia labda na mbuga nyeupe ukiwa unaelekea Namanga na kidogo maeneo ya TMA!?Ona sasa mtu mzima unanizidi miaka 50 afu unaleta utoto aagrrr shkamoo kwanza....
Hoja hujibu unaruka ruka tu ,nishasafiri mara mbili nakata tiketi za precision kwenda mwanza ila tunapanda costa hadi KIA sasa kwanini hatuanzii safari Arusha?????
OK...wana style yao...aka weusihawaitaji wakina T.I kuwaburudisha wanastyle zao kwanzia kuchana adi kucheza {kingalelo}.......... wanajikubali wao nahisi ndo kinachokukera coz naona kama waongea kwa chuki vile tena za wazi wazi kabisa!!........ kupigiwa promo kwa nani akati wanajiimbia wao na kujiburudisha wao wenyewe....... pia nina swali kwanini unakereka wao kua ivo?
Sasa hivi eneo la kujenga stand limeshapatikana maeneo ya tengeru, na hiyo stand ni ya mda mrefu hata kabla mji haujakua na ilikuwa inajitoshereza kwa mahitaji wakati huo lakini sio sasaDuh watu mmeleta mahaba tu hapa hakuna asiejua kama arusha ni kuzuri, again arusha ni pazuri mnooo ila kwanini stand ipo vile ,kwanini hakuna kiwanja cha ndege cha maana?
Aisee mbna unaongea kshabiki sana.....wamachinga Chuga hawapo, wachuuzi chuga hawapo? Nssf hotel ina miaka kumi? Mwanza kuna hotel mbili..? Rock city mall kuna wauza dagaa? Haha haaaaa...lofa sana wee....jitafakari af urudHivi Mwanza kipo kipi hiyo Rock city mall labda wauze furu na udaga hiyo imewashinda ndio ijengwe nyingine saahuni hamna mwenye akili za aina hizo ile hotel ya nssf kule kapri point INA miaka so chini ya 10 bado IPO u\c hotel jb belmont imeshapigwa lock mda mrefu na malaika inauza tu chai ya rangi saivi siiongelei golden crest kifo cha mende sababu Mwanza hotel zipo 2 tu hizo nyingine ni guest houses.
Huko igoma mnaposema ndio prime area ni mazizi ya ng'ombe tu yametamalaki sidewalks barabani wamejaa wamama kwa vijana wamekaa chini wanauza karanga kuanzia nata mpaka sahara kuanzia nera mpaka voil city center pote wamejaa wamachinga Hanna njia ya waenda kwa miguu wachafuwachafu tu.
Unajisifia mapagale ysliyopakwa ranging...but yamejaa popo...hyo club D in sehemu ya kutishiana bastola tuu....hakuna ktu muleSasa nyie bata mnalijua washamba tu villa ni vumbi tu imezungukwa na mitaro ya maji taka mabati ni kutu tupu viwanja vya kibabe vipo chugga sio hayo majamvi yenu.
Kwanza jengeni vyoo kwanza limjii ng'ombe wanachunguwa city center ukiingia tu ndani kidogo utafikiri upo bariadi au simiyu jiji limejaa ulugaluga washambaa wanashangaa tu vibugando vyenyewe vifupi vinahesabika.
Nan hajui hotel za Chuga zpo kule wanapoish swala....mjin kat vumbi tupu paleTukisema tuanzishe league ya hotels zilizopo Arusha hapa utakimbia![]()
![]()
Acha kudandia post hapa hatuongelei apartments.....ndo shida ya kukurupukaSasa hizo slums/mabanda ndio unasema apartments??![]()
![]()
View attachment 404008
![]()
Arusha the Geneva of Africa.
Chuga kuna ujanja gan? Kunywa virobaAlafu washamba washamba hahahaha
Hapana me bado aikubali sana ArushaHaina stendi ya maana si ya daladala wala mabasi, maendeleo kama yanaenda kwa kusua sua, boda boda mmoja kaniambia angendelea mkwere wangekua mbali,
ila mwenyeji mmoja kaniambia atanionyesha sehemu kadhaa zitakazonifanya niamini kwamba Moshi kwa Arusha si chochote,
Japo upande wa population naona wapo vizuri, kama upo Arusha niambie ni wapi nikienda nitapiga salute na kuacha kufananisha huu mji na sehemu za kawaida, asanteni, ila kwa muda wote niliokaa Arusha nimeshangaa sana uzuri wa sura wa mabinti hadi nikatengeneza principal kwamba ukiwa Arusha angalia shape tu sura wengi wazuri kama siyo wote, Arusha na Singida si mchezo kwa upande huwo, maendeleo yapigianeni, Japo njiro na baadhi ya maeneo ni pazuri pia, Unga limited nasikia hapapitiki usiku ni shida, shivers nilikaribishwa nimmepaona lakini hicho siyo kiashiria cha maendeleo Japo kuna wadada wazuri hataree
Unafikiri chuga kuna wapuuzi na washamba watembea na baiskeli ngala ngala... Huku ni uzunguni bwana ndio maana kuna mashindano ya kizungu zungu kama Kilimanjaro Marathon wakati Mwanza mashindano yenu ni ya kuendesha baiskeli ngala ngala... Mnaishi milimani na mawe kama fisi heheheheChuga kuna ujanja gan? Kunywa viroba