elimuplatform
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,054
- 462
- Thread starter
- #81
Itakuwa tamu sanaNjoo uku njiro bugaluu club ule kitimoto ya kuchoma
Itakuwa tamu sanaNjoo uku njiro bugaluu club ule kitimoto ya kuchoma
Kupoteza ndyo kumewafikisha hapoWasukuma mnapenda ligi na ma chali R,watawapoteza oooh
Umewahi kupanda ndege?
Hukuelewa hiyo stand ilikuwa siku ya mwanzo observation, hata nyumba utaijua tu mara ufikapo jikoni au sebuleni, ila mambo mengine mpo vizuri, ila inaonekana idara ya mipango mji hawapo sereous, jiji ulikuwa unaingia kwa bara bara mmoja sasa hivi ndyo wamekurupuka wanajenga, kwani zile hela za Marekani za kujengea mabara bara hazikuwahusu,?Utaujuaje mji na huna hela ya kuzungukia mji? sijaelezea matumizi,nimesema kama huna hela hutaujua mji,ARUSHA sio kijijini kama unavyodhani,kuwa utazunguka toka kitongoji A mpaka B kwa mguu na uje hapa useme hapafai sio pazuri,yeye kaishia stand na anasema haoni chochote cha kufananisha(sijui na Mpwapwa)
Ndo shida yenu watanzania,nimekua JUHA mara hii,anyway nina uzoefu kwenye tour operator kwa zaidi ya miaka 10 so kuhusu Nationa park tutakesha,na UJUHA wangu ARUSHA sio stendi ya mabasi,haiishii hapo,ARUSHA ni zaidi ya unavyohisi,kwa kuwa unaongea kwa mhemko hautahimili maelezo ya kina,wacha niamini pamoja nawe kuwa ARUSHA inaishia stendi ili niwe JUHA MKUU!Mkuu umetumia vigezo gani kujua sina hela kuna sehemu inauza zaidi ya elfu kumi? Ndyo nyie msiyojua kwamba kutembelea mbuga au milima gharama zake ni elfu kumi, unajifungia kwenye kichupa na kuogopa kwenda hata tarangire ukijua watakucharge dola kama wazungu, acha ujuha
Huo uwanja ndio nausikia leo, bila shaka utakuwa mdogo sana........ Shukuruni KIA upo jirani ndio unaokoa jahazi.
●●●HAHAHAHA....!!!!●●●
Wewe bado hujaifahamu Arusha hata kid na dhani una A zote kuanzio primary hadi phd ogo. Ukiwa Arusha kama ni starehe utaenjoy hivi vyoote vifuatavyo:-
1) Climatic Condition:
Kanda ya kaskazini kwa ujumla climate yake ni nzuri sana especcially Arusha na Kilimanjaro.
2) Good & Executive Hotels,
Hotel zote kubwa za Arusha ni za 5 * na zipo za kutosha
3) Misosi, Nyamachoma, All fast foods mpaka vyakula vya asili ya kimasai na kichagga.
Kumbuka: wachoma nyama wazuri wanatokea huku na sio wale wa Dsm wanaobabua nyama kama mahindi ya kuchoma.
4) Arusha ipo karibu sana na Airports 3, yaani KIA, JKIA na mdogo wa Kisongo.
5) Swimming pools za hadhi nzuri sana
6) RALLY & Horse Ridding Je?
zipo karibu kiiila mara na maeneo yaliyotengwa kwaajili hiyo.
7) Really National Parks
ie. Ngorongoro, Manyara, Arusha National Parks, Tarangire.
8) Mt. Meru Je?
Kumbuka: after Kilimanjaro Mt. inafuata Mt. Meru na ina barafu throughout
9) Uoto wa Asili je?
Huko Olmotonyi Forest unapajua?
10) Water falls je?
Kuanzia Duluti juu, Meru na Ilboru juu zipo
11) Bar & Night Clubs Je?
Club D, Masai Camp, Apex, Babylon, Via Via.
12) Mito na Mabonde je?
13) HipHop Musics Je?
Unawajua hawa?
-Watengwa?
-Weusi?
-Nako2Nako
-Juniour Nakoz
Sasa umeifahamu Arusha? Usiishie Stand Mgeni. Karibu....
●ILA WARNING:
Ukitaka kuijua Arusha uwe na PESA.
Tatizo hamjajua kinachohitaji pesa mingi, ni wanawake na mabia hayo yote unajuaje kama natumia?au situmii●●●HAHAHAHA....!!!!●●●
Wewe bado hujaifahamu Arusha hata kidogo. Ukiwa Arusha kama ni starehe utaenjoy hivi vyoote vifuatavyo:-
1) Climatic Condition:
Kanda ya kaskazini kwa ujumla climate yake ni nzuri sana especcially Arusha na Kilimanjaro.
2) Good & Executive Hotels,
Hotel zote kubwa za Arusha ni za 5 * na zipo za kutosha
3) Misosi, Nyamachoma, All fast foods mpaka vyakula vya asili ya kimasai na kichagga.
Kumbuka: wachoma nyama wazuri wanatokea huku na sio wale wa Dsm wanaobabua nyama kama mahindi ya kuchoma.
4) Arusha ipo karibu sana na Airports 3, yaani KIA, JKIA na mdogo wa Kisongo.
5) Swimming pools za hadhi nzuri sana
6) RALLY & Horse Ridding Je?
zipo karibu kiiila mara na maeneo yaliyotengwa kwaajili hiyo.
7) Really National Parks
ie. Ngorongoro, Manyara, Arusha National Parks, Tarangire.
8) Mt. Meru Je?
Kumbuka: after Kilimanjaro Mt. inafuata Mt. Meru na ina barafu throughout
9) Uoto wa Asili je?
Huko Olmotonyi Forest unapajua?
10) Water falls je?
Kuanzia Duluti juu, Meru na Ilboru juu zipo
11) Bar & Night Clubs Je?
Club D, Masai Camp, Apex, Babylon, Via Via.
12) Mito na Mabonde je?
13) HipHop Musics Je?
Unawajua hawa?
-Watengwa?
-Weusi?
-Nako2Nako
-Juniour Nakoz
Sasa umeifahamu Arusha? Usiishie Stand Mgeni. Karibu....
●ILA WARNING:
Ukitaka kuijua Arusha uwe na PESA.
Kuna busara ndani ya maneno yakolabda arusha ni pabaya sana ila hata paikiwa puzuri kuna maghorofa na kila kitu wewe itakusaidia nn? Hiyo mikoa mizuri mizuri inakusaidia nn kwenye maisha yako? Maghorofa na hoteli na kila kitu vina wenyewe tafuta vyako ufanye kwako pawe pazuri.
Ubabe unawasaidia nini, labda mngekuwa Benghazi, mbabe wenu ni mmoja ana Dora yupo magogoniTuachieni litown letu la kibabe.
Kuna nini shauri moyo?Nenda shaurimoyo
Ukishindwa hoja jaribu ujingaHaina stendi ya maana si ya daladala wala mabasi, maendeleo kama yanaenda kwa kusua sua, boda boda mmoja kaniambia angendelea mkwere wangekua mbali,
ila mwenyeji mmoja kaniambia atanionyesha sehemu kadhaa zitakazonifanya niamini kwamba Moshi kwa Arusha si chochote,
Japo upande wa population naona wapo vizuri, kama upo Arusha niambie ni wapi nikienda nitapiga salute na kuacha kufananisha huu mji na sehemu za kawaida, asanteni
Poa ngoja tuendelee kusubiri maboresho, kila siku tunaona minyukano kwa madiwani wenu na wakuu wao wa wilaya, mikoa, mara posho, mara own sourceYaani umeishia kwenda stend tu unadai unaijua arusha ya kishamba tafuta mtu mwnyj akuonyeshe arusha ilivyo kisha uje ulete marejsh hapa...kuhusu Stend ya mabasi ilitengewa eneo kubwa na ni mda mrefu sana maeneo ya morombo ila ndo hvy mpk leo hakijA endelezwa bado..Na hyo ya daladala mitaa ya kirombero ilianza hivi karbuni tu hvyo siku sio nyingi nacho kitaendelezwa na kuwekwa vzr.Ila nikwambie tu kuna vitu vinazidi kuboreshwa ili kuliongezea jiji la arusha hadhi mara mbili zaidi
Kuna nini mkuuMkuu vipi pale mrina hujafika nini??
Dsm mkuuUmetokea mkoa gani kwanza
Haa Haa Haa trump mwenyewe anaogopa kujiita bilionea akiwawaza wakina Bill Gates, na warusi kadhaaMji wenye mabilionea wengi kushinda sehemu nyingine Africa nzima