HUGO CHAVES
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 2,045
- 551
Timu ya mchezo wa rugby IPO Arusha
nakubaliana na ww asilimia Mia moja.....umejaa ushabiki tu ila ukitembea na ukifanya tathmini sina shaka na ulichoandika...kuna watu aidha wanaandika kwakuwa sehemu fulani ndo kwao au chimbiko la jiji nchi hii ni Dar es salaam tu,kidoogo mwanza inafuata pengine ni siasa tu,miji ipiyobaki inafanana sana....huo ni uzoefu wangu...Maneno mengi tu lakini TZ mji ni mmoja tu. DAR ES SALAAM. Huko kwingine sijui hali ya hewa sijui milima sijui simba ndo vitu gani? Huko ni porini, jiji kwa TZ ni Dar tu, kiasi na Mwanza.
Mingine ni kama MAVIJIJI mfano MbeyaHaina stendi ya maana si ya daladala wala mabasi, maendeleo kama yanaenda kwa kusua sua, boda boda mmoja kaniambia angendelea mkwere wangekua mbali,
ila mwenyeji mmoja kaniambia atanionyesha sehemu kadhaa zitakazonifanya niamini kwamba Moshi kwa Arusha si chochote,
Japo upande wa population naona wapo vizuri, kama upo Arusha niambie ni wapi nikienda nitapiga salute na kuacha kufananisha huu mji na sehemu za kawaida, asanteni
Mkuu jaribu kutia maguu na shivers pale kuna vivutio vingi sana.
umenena vema mkuu,umbali toka KIA hadi Arusha ni mfupi sana.Tuache kujifanya wajanja, KIA kiko 50km from Arusha town, then unataka kujenga kiwanja cha ndege? Kwani viwanja vya ndege vimekuwa stend za daladala mpaka kila sehemu ziwepo?!
Wakazi wa Arusha mnatakiwa kulalamikia barabara za mitaa sio kiwanja cha ndege
Mkuu Arusha haikauki JF uzuri wanaoleta mada wala sio wenyeji MTU kaleta mkaa anaongelea as if ni mtalii Arusha haiitaji pumzi nyingi kuielezea inajibrand automatically ndiomana kila siku haiwakauki mdomoni.Tafiti zinaonesha
Arusha ndio mji ambao Kingereza kinaongewa zaidi kuliko sehemu yoyote Tz
Arusha ndio mji pekee ambao unatajwa mara nyingi kwenye Web...
Arusha na Moshi ndio miji inayoongoza kwa wakazi wake kutumia huduma za ki-bank kuliko mji wowote Tanzania.....
Arusha ni mji pekee mitaani unapishana na Wazungu utafikiri ni wenyeji...Miji mingine mzungu akipita watu humshangaa .ila kwa Arusha ni kitu cha kawaida..
Arusha kuna Bureau de Change nyingi kuliko sehemu yoyote Tz ikifuatiwa na Zanzibar na Dar na Moshi..
Arusha ndio mji pekee katikati ya mji ni kusafi na magari yanapaki kwa utaratibu na mpangilio...
Arusha ni mji Wa mabilionea kila siku tunapiga debe hapa hamtuelewi ila mkija mnalalamika city bei juu sasa kuna mlalahoi atamudu hili life la kibepari?hujamjibu au kumpa mwanga elimuplatform
kwanini Arusha haibadiliki
inachotakiwa sasa siasa ziwekwe pembeni Jiji hilo lihamishwe nje kidogo ya huo Mlima Meru, shuguli za kitalii zibaki hapo mjini tu.
- ukiitaja tu mitaa na majengo ya tangu 1967 ni kweli hayajabadilika hata stend ni bado ya 60's
- Arusha ardhi ya serikali hakuna kila mtu ni mjanja kamiliki eneo kubwa na kufanya mashamba toka enzi za makabwela,
- ukiingilia upande wa Mashariki Kikatiti mpaka Meru yote ni ugomvi wa ardhi, ni sawa na Kenya kila mtu anazuia mwenzake au Serukali kuchukua ardhi bila ya fidia
- ukitolea barabara ya Kisongo nako wamebana hasa, ya Naorobu pia
La sivyo Arusha bado ni pachafu, barabara zinazojengwa hata vyakula na usafi ni zero, Wali nyama ya ng;ombe 4.500/= ukigusa chips kuku kwa robo kuku 5,000/ du nyama choma usiombee
●●●HAHAHAHA....!!!!●●●
Wewe bado hujaifahamu Arusha hata kidogo. Ukiwa Arusha kama ni starehe utaenjoy hivi vyoote vifuatavyo:-
1) Climatic Condition:
Kanda ya kaskazini kwa ujumla climate yake ni nzuri sana especcially Arusha na Kilimanjaro.
2) Good & Executive Hotels,
Hotel zote kubwa za Arusha ni za 5 * na zipo za kutosha
3) Misosi, Nyamachoma, All fast foods mpaka vyakula vya asili ya kimasai na kichagga.
Kumbuka: wachoma nyama wazuri wanatokea huku na sio wale wa Dsm wanaobabua nyama kama mahindi ya kuchoma.
4) Arusha ipo karibu sana na Airports 3, yaani KIA, JKIA na mdogo wa Kisongo.
5) Swimming pools za hadhi nzuri sana
6) RALLY & Horse Ridding Je?
zipo karibu kiiila mara na maeneo yaliyotengwa kwaajili hiyo.
7) Really National Parks
ie. Ngorongoro, Manyara, Arusha National Parks, Tarangire.
8) Mt. Meru Je?
Kumbuka: after Kilimanjaro Mt. inafuata Mt. Meru na ina barafu throughout
9) Uoto wa Asili je?
Huko Olmotonyi Forest unapajua?
10) Water falls je?
Kuanzia Duluti juu, Meru na Ilboru juu zipo
11) Bar & Night Clubs Je?
Club D, Masai Camp, Apex, Babylon, Via Via.
12) Mito na Mabonde je?
13) HipHop Musics Je?
Unawajua hawa?
-Watengwa?
-Weusi?
-Nako2Nako
-Juniour Nakoz
Sasa umeifahamu Arusha? Usiishie Stand Mgeni. Karibu....
●ILA WARNING:
Ukitaka kuijua Arusha uwe na PESA.
Panda sanawari kutokea traffic lights utakipata hiki kiota cha kibabe kilimanjaro apex hotel nawakubali kwa nyama choma.Apex ipo mtaa gani mkuu?
Hzi lodge mbeya nying sanaPanda sanawari kutokea traffic lights utakipata hiki kiota cha kibabe kilimanjaro apex hotel nawakubali kwa nyama choma.
Kwa arusha ni ya kwaida sana.
![]()
Acha kufananisha Arusha na ujinga ujingaHzi lodge mbeya nying sana
Roho nzuri inauzwa sh ngapi na mimi nikanunue??Wakazi wa Arusha ni wabinafsi. Wana roho mbaya hata ongea yao ya kikatili katili tu mpaka wanawake...Mi nikifikaga Arusha kuna niboa sana kesho yake natamani kuondoka...Bora uishi Njombe au Songea wakazi wa huko wanaroho nzuri sana..
wauza sukari wa pale ni wezi ki K... wale aisee.aangalie sana
pia akiweza apite kwenye ile supermarket ya ngono pale Mrina na Picnic aone vivutio..
ki ukweli hype ya Arusha ni kubwa mno tofauti na uhalisia..
The manager however pointed out that despite the drop of aircrafts movements at the terminal, the Arusha Airport still ranked second, from Dar-es-salaam airport (now named Mwalimu Nyerere International Airport) in handling the highest number of aircraft in the country and was in third position from Dar and Mwanza airports in terms of passenger traffic..
Hayo maneno ni ya 2005
Mwanza haiifikii Arusha kwa chochote..Najifunza kitu Mwanza is Far most beautiful compared na Arusha ingawa watu huwa ni wakali humu.
Beaches, kuwa na international airport na ukaribu wa mbuga ya.Serengeti haihtaji mtu kupiga zumari kumbe.
Ha ha haaa.. Umeibuka eh, nlitaka nijue umejificha wapAcha kufananisha Arusha na ujinga ujinga