Nilichogundua kuhusu Arusha

Nilichogundua kuhusu Arusha

Nadhani wewe ndo mjinga kuliko badala uje na point zako unakuja kunijadili mie ,Lumumba Lumumba unadhani kila alie against ni mfuasi wa hizo siasa uchwara ovyooo
Kwani ni uongo Arusha haitegemei uwanja wa KIA? au hicho kiuwanja cha kisongo ni cha dingi ako make umekua mkali kama umekalia kitu chenye ncha Kali
Ahsante kwa matusi lakini si mapya kuliko nilivyotukanwa katika miaka yangu sabini ya maisha.

Huna hoja kama ni ushabiki Arusha siyo level yako wala ya unaowashabikia. Imewashinda waliokutuma wanakutumia.

Nakupa hongera kwa tusi "umekua mkali kama umekalia kitu chenye ncha Kali" ndiyo malezi uliyolelewa na elimu ya mafanikio ya chama dola.

Naomba tusi lingine.
 
Mkuuu wakupeleke club D, tripple A, sakina ndo, ngurudoto, matongee karibu na fire. Na mchana ukale buffee au maeneo ya clock tower . Jioni upite maeneo ya town masjid cuba hadi maeneo ya mrina ule kuku mboga mboga . Ukiweza hata robo urudi na uzi wako.
Hayo najua yapo starehe ukiipenda unaweza ukajua uzuri wa sehemu ni hizo sehemu za starehe yako, hiyo inaitwa general assumption
 
Naona umejaribu huo ujinga
Umetumia chanzo kisicho sahihi kwa hoja yako ndiyo0 maana umejaribu ujinga. Mimi ni mzaliwa na mwenyewe wa Arusha nina vitukuu naijua Arusha kuliko wewe. Nazungumza kwa kuelewa siyo kwa kutokiuelewa bali kwa kuishi. Hata hivyo nashukuru kwa kudhihirosha ujingta wako.
 
Ahsante kwa matusi lakini si mapya kuliko nilivyotukanwa katika miaka yangu sabini ya maisha.

Huna hoja kama ni ushabiki Arusha siyo level yako wala ya unaowashabikia. Imewashinda waliokutuma wanakutumia.

Nakupa hongera kwa tusi "umekua mkali kama umekalia kitu chenye ncha Kali" ndiyo malezi uliyolelewa na elimu ya mafanikio ya chama dola.

Naomba tusi lingine.
Ona sasa mtu mzima unanizidi miaka 50 afu unaleta utoto aagrrr shkamoo kwanza....
Hoja hujibu unaruka ruka tu ,nishasafiri mara mbili nakata tiketi za precision kwenda mwanza ila tunapanda costa hadi KIA sasa kwanini hatuanzii safari Arusha?????
 
Kwa tulioisakanya TZ tunajua, ukisema jiji unamaanisha DSM then Arusha, Mwanza kwa karibu, ila Mbeya, Dom (ya sasa), Tanga, Mtwara na Unguja ndo zinafuatia

Mikoa yoote iliyobaki bado sana
Hadi Dom! umezingatia zaidi matei lounge, maisha, rainbow na wale wanasiasa wanaojikusanya bila kuonekana live kwenye kimjengo chao
 
Ona sasa mtu mzima unanizidi miaka 50 afu unaleta utoto aagrrr shkamoo kwanza....
Hoja hujibu unaruka ruka tu ,nishasafiri mara mbili nakata tiketi za precision kwenda mwanza ila tunapanda costa hadi KIA sasa kwanini hatuanzii safari Arusha?????
Kalaga baho ni ujinga wako. Maana precionair ni dar. Kamshikamoo mjinga mwenzio magu fool
 
Salute kwako Kamanda.

Kama mtu hana hela asije Arusha.
Hapa nimezungukwa na majirani zangu wanagonga viroba vingii na bia zipo, na ukute ndyo wanapost kama hauna hela husije Arusha, wengine viroba vinewakwangua wanadoea chipsi mayai ya counter, hii inaonyesha hawana bajeti ya msosi
 
Waambie baba umesahau na Geneva OfAfrica IPO chugga ,Aicc je? 4ways ya kutoka sakina adi Holili Taveta Kenya je?? Aaahh waache bhna chugga tunaenjoy balaaaaa iv Nimesahau Madini ya Tanzanite je? Aya ngoja nikimbie naruhusu kupigwa mawe
Hivyo vipo vinajulikana tueleze na changamoto mkuu maana ndyo kiini cha mada
 
Umetumia chanzo kisicho sahihi kwa hoja yako ndiyo0 maana umejaribu ujinga. Mimi ni mzaliwa na mwenyewe wa Arusha nina vitukuu naijua Arusha kuliko wewe. Nazungumza kwa kuelewa siyo kwa kutokiuelewa bali kwa kuishi. Hata hivyo nashukuru kwa kudhihirosha ujingta wako.
Kwa hiyo Arusha ndyo Geneva ya Africa?
 
Changamoto ni chache sana tofauti na mikoa mingine hasa kwenye suala la kipato Arusha mzunguko was pesa nimkubwa coz wageni ni wengi na Biashara ni shazi ma Billionaire ndo usibonye yan
 
Kwa tulioisakanya TZ tunajua, ukisema jiji unamaanisha DSM then Arusha, Mwanza kwa karibu, ila Mbeya, Dom (ya sasa), Tanga, Mtwara na Unguja ndo zinafuatia

Mikoa yoote iliyobaki bado sana
Duh watu mmeleta mahaba tu hapa hakuna asiejua kama arusha ni kuzuri, again arusha ni pazuri mnooo ila kwanini stand ipo vile ,kwanini hakuna kiwanja cha ndege cha maana?
 
Haina stendi ya maana si ya daladala wala mabasi, maendeleo kama yanaenda kwa kusua sua, boda boda mmoja kaniambia angendelea mkwere wangekua mbali,

ila mwenyeji mmoja kaniambia atanionyesha sehemu kadhaa zitakazonifanya niamini kwamba Moshi kwa Arusha si chochote,

Japo upande wa population naona wapo vizuri, kama upo Arusha niambie ni wapi nikienda nitapiga salute na kuacha kufananisha huu mji na sehemu za kawaida, asanteni
Kwanza mtoa mada yaonyesha we ni mporipori
 
Nilichogundua nimeona km uliishia kilombero pale. Mi nimeenda karibu mikoa yote tz lakini miji mizuri huku mikoani ni mwanza ikifuatiwa na arusha. Ila km ukienda kisiasa hasa ukiwa ccm, arusha kamwe sio mji mzuri kila kitu chake ni mbaya.
 
Kalaga baho ni ujinga wako. Maana precionair ni dar. Kamshikamoo mjinga mwenzio magu fool
Pole mzee naona una stress za kufa mtu ha ha ha mafao yamechelewa nini, kwaheri bana we ni rika la dingi angu ni dhambi kuzinguana na wewe kwaheri
 
Back
Top Bottom