Hivi Mwanza kipo kipi hiyo Rock city mall labda wauze furu na udaga hiyo imewashinda ndio ijengwe nyingine saahuni hamna mwenye akili za aina hizo ile hotel ya nssf kule kapri point INA miaka so chini ya 10 bado IPO u\c hotel jb belmont imeshapigwa lock mda mrefu na malaika inauza tu chai ya rangi saivi siiongelei golden crest kifo cha mende sababu Mwanza hotel zipo 2 tu hizo nyingine ni guest houses.
Huko igoma mnaposema ndio prime area ni mazizi ya ng'ombe tu yametamalaki sidewalks barabani wamejaa wamama kwa vijana wamekaa chini wanauza karanga kuanzia nata mpaka sahara kuanzia nera mpaka voil city center pote wamejaa wamachinga Hanna njia ya waenda kwa miguu wachafuwachafu tu.