Pancras Suday
JF-Expert Member
- Jun 24, 2011
- 8,143
- 3,848
Kumbe nimeshapata point kwa nini unang'ang'ania kuwa Arusha hakuna kiwanja cha ndegeKipo kilimanjaro sio arusha
Kumbe nimeshapata point kwa nini unang'ang'ania kuwa Arusha hakuna kiwanja cha ndegeKipo kilimanjaro sio arusha
Huo ni mtazamo wako....mji unamove kwa stail hyo ambayo we unaita ushamba at da same tym unaish kwenye nyumba ya kupanga...badly slums..... Endeleeni kufilisika nyumbu nyieDah yaani sijaona watu wanaoishi town washamba kama Mwanza yaani Mwanza ni busy village.
Utalii gan Chuga wewee...hakuna utalii Kule sa hv.......Kuhusu uwanja wa ndege huo n mpango wa serikal hawatak kuuboresha huo wa kisongo ili watalii wawe wanashukia KIA na kwenda kwanza mlima kilimanjaro,ili waktoka huko ndo waje arusha
Sku so nyingi eeh..yetu macho...hela zote zinaenda kwenye viwanda...no more safari city constructionKuna mradi wowote unafanywa na taasis yeyote ya serikali wakati huu?? As far as I'm know karibia miradi yote mikubwa imesimama.. Tukirudi kwenye hoja yako, huo mradi ulifunguliwa majuzi tu na uhakiki wa viwanja tayari ulishafanywa na masterplan kutolewa. Maji na Umeme pia tayari vimeshafikishwa pale ili kusupport ujenzi.. Sasa mchakato uko kwenye wazabuni..
Endelea kusubiri siku si nyingi kazi itaanza rasmi..
Sasa kama hujui hakuna sehemu ambako watalii wanafika sana kama arusha,nenda ukajionee wageni walivojaa A townUtalii gan Chuga wewee...hakuna utalii Kule sa hv.......
Hahaha picha ya kpind kile cha ngurudoto "now open" Hugo alisema hayo ili kubrain wash mnyuko wa utalii tz.... Stay tuned kuwa devil cityBeno Wa BoT juzi katoa statistics safi sana watalii bado wanamiminika Arusha usije ukategemea hata mkiboresha airport yenu mtapata mafuriko ya watalii kama Arusha sahauni.
![]()
Kwa mazingira Hays unategemea tourists watakauka Arusha wanazidi kuletana tu hospitality ya Arusha na accommodation ni extraordinary.
Hapo wamekaa wanathan bado wapo Landon.
Ukunegotiate na mdada ata mmoja hapo shiver au mrina na kumfanya blanket chapa mtuHaina stendi ya maana si ya daladala wala mabasi, maendeleo kama yanaenda kwa kusua sua, boda boda mmoja kaniambia angendelea mkwere wangekua mbali,
ila mwenyeji mmoja kaniambia atanionyesha sehemu kadhaa zitakazonifanya niamini kwamba Moshi kwa Arusha si chochote,
Japo upande wa population naona wapo vizuri, kama upo Arusha niambie ni wapi nikienda nitapiga salute na kuacha kufananisha huu mji na sehemu za kawaida, asanteni, ila kwa muda wote niliokaa Arusha nimeshangaa sana uzuri wa sura wa mabinti hadi nikatengeneza principal kwamba ukiwa Arusha angalia shape tu sura wengi wazuri kama siyo wote, Arusha na Singida si mchezo kwa upande huwo, maendeleo yapigianeni, Japo njiro na baadhi ya maeneo ni pazuri pia, Unga limited nasikia hapapitiki usiku ni shida, shivers nilikaribishwa nimmepaona lakini hicho siyo kiashiria cha maendeleo Japo kuna wadada wazuri hataree
Jibu mtalipata siku si nyingi...Sku so nyingi eeh..yetu macho...hela zote zinaenda kwenye viwanda...no more safari city construction
Hip pop gan ya kutukana tuuuHuwezi kutuletea wabana pua huku tukawaelewa, hili ni jiji la hip hop labda hiyo Fiesta iwe na wana hip hop tupu!
Arusha Airport![]()
Usiongee kitu usichokijua...kama ni ushabiki mandazi pekeka huko..mwezi august pekee utalii hapa umeingiza bili 11..mwezi wa nane mwaka jana ilikuwa ni bil 7..so mwaka huu utalii uko mbele kwa 25% kulinganisha na mwaka jana...Utalii gan Chuga wewee...hakuna utalii Kule sa hv.......
Umesahau samaki wa kuokwa pale nick pub,cenema updates pale bugharuu njiro arachuga no sheeda ukiwa na baghee.sio unakuja na lorry la mkaa na vijisent uchwara utaijua stand tu mkuu●●●HAHAHAHA....!!!!●●●
Wewe bado hujaifahamu Arusha hata kidogo. Ukiwa Arusha kama ni starehe utaenjoy hivi vyoote vifuatavyo:-
1) Climatic Condition:
Kanda ya kaskazini kwa ujumla climate yake ni nzuri sana especcially Arusha na Kilimanjaro.
2) Good & Executive Hotels,
Hotel zote kubwa za Arusha ni za 5 * na zipo za kutosha
3) Misosi, Nyamachoma, All fast foods mpaka vyakula vya asili ya kimasai na kichagga.
Kumbuka: wachoma nyama wazuri wanatokea huku na sio wale wa Dsm wanaobabua nyama kama mahindi ya kuchoma.
4) Arusha ipo karibu sana na Airports 3, yaani KIA, JKIA na mdogo wa Kisongo.
5) Swimming pools za hadhi nzuri sana
6) RALLY & Horse Ridding Je?
zipo karibu kiiila mara na maeneo yaliyotengwa kwaajili hiyo.
7) Really National Parks
ie. Ngorongoro, Manyara, Arusha National Parks, Tarangire.
8) Mt. Meru Je?
Kumbuka: after Kilimanjaro Mt. inafuata Mt. Meru na ina barafu throughout
9) Uoto wa Asili je?
Huko Olmotonyi Forest unapajua?
10) Water falls je?
Kuanzia Duluti juu, Meru na Ilboru juu zipo
11) Bar & Night Clubs Je?
Club D, Masai Camp, Apex, Babylon, Via Via.
12) Mito na Mabonde je?
13) HipHop Musics Je?
Unawajua hawa?
-Watengwa?
-Weusi?
-Nako2Nako
-Juniour Nakoz
Sasa umeifahamu Arusha? Usiishie Stand Mgeni. Karibu....
●ILA WARNING:
Ukitaka kuijua Arusha uwe na PESA.
Achana na huyu mpuuzi..arusha haijui,anaongea vitu asivyovijua...mtu yuko ileje ataijuaje arusha!!?Jibu mtalipata siku si nyingi...
Mwanza wanadhani watalii wataenda kushangaa watu wanavyoishi na mawe huko milimani kama vyura.. Mtalii gani akashuke Mwanza??Usiongee kitu usichokijua...kama ni ushabiki mandazi pekeka huko..mwezi august pekee utalii hapa umeingiza bili 11..mwezi wa nane mwaka jana ilikuwa ni bil 7..so mwaka huu utalii uko mbele kwa 25% kulinganisha na mwaka jana...
Hapo inawauma kweli kusikia hayo hahahahaha...Beno Wa BoT juzi katoa statistics safi sana watalii bado wanamiminika Arusha usije ukategemea hata mkiboresha airport yenu mtapata mafuriko ya watalii kama Arusha sahauni.
![]()
Kwa mazingira Hays unategemea tourists watakauka Arusha wanazidi kuletana tu hospitality ya Arusha na accommodation ni extraordinary.
Hapo wamekaa wanathan bado wapo Landon.
Ukiazi ndio nini........?Acha uKIAzi. Kisongo ni Uwanja wenye ndege nyingi ndogo na hiyo ni Kwasababu ina runway fupi. Uwanja huo upo una ndege nyingi kuliko KIA. Lakini ndege ndogo
Hahaha....watu was Chuga bhana.....arusha inaitwa songwe siku hizi?
Nan asiyejua utalii sa hv chuga umekauka.....mpak hotel zinauzwa af unatuletea takwimu za serikali ya mwendo kasi.... Haya ndo mambo ya bandar kukauka mizigo af mnatwambia bandar ipo shwar na mapato yamevuka lengoUsiongee kitu usichokijua...kama ni ushabiki mandazi pekeka huko..mwezi august pekee utalii hapa umeingiza bili 11..mwezi wa nane mwaka jana ilikuwa ni bil 7..so mwaka huu utalii uko mbele kwa 25% kulinganisha na mwaka jana...
mabilionea sisi tunamiliki helcopter tu sehemu yeyote tu natuaaa hata uwanja wa sheikh amri abeid alitua msukumaCha kushangaza zaidi ni hakuna uwanja wa ndege
Sijakuelewa ndugu, hakuna tambarare ya kujenga kiwanja kikubwa cha ndege Arusha? Mbona zipo kibao, na kama ni vilima vinasawajishwa tu.Uwanja upo hata ethiopian airline ilitua kwa dharura.huwezi kujenga kiwanja kikubwa kuliko hichi kilichopo hakuna tambarare hiyo
Dah...ina maana kwa maneno ya moja kwa moja kwamba wakati wote wa Arusha ni vilazer sana ...yaani miaka yote hii wameshindwa kugundua haya mambo hadi wewe ufike?😀😀😀😀Haina stendi ya maana si ya daladala wala mabasi, maendeleo kama yanaenda kwa kusua sua, boda boda mmoja kaniambia angendelea mkwere wangekua mbali,
ila mwenyeji mmoja kaniambia atanionyesha sehemu kadhaa zitakazonifanya niamini kwamba Moshi kwa Arusha si chochote,
Japo upande wa population naona wapo vizuri, kama upo Arusha niambie ni wapi nikienda nitapiga salute na kuacha kufananisha huu mji na sehemu za kawaida, asanteni, ila kwa muda wote niliokaa Arusha nimeshangaa sana uzuri wa sura wa mabinti hadi nikatengeneza principal kwamba ukiwa Arusha angalia shape tu sura wengi wazuri kama siyo wote, Arusha na Singida si mchezo kwa upande huwo, maendeleo yapigianeni, Japo njiro na baadhi ya maeneo ni pazuri pia, Unga limited nasikia hapapitiki usiku ni shida, shivers nilikaribishwa nimmepaona lakini hicho siyo kiashiria cha maendeleo Japo kuna wadada wazuri hataree