Nilichogundua kuhusu Arusha

Nilichogundua kuhusu Arusha

Huna hela halafu unautaka uzuri wa ARUSHA? Baki Dar kama huna hela,huku "Hasara roho pesa makaratasi" Ishia hapohapo stand
sorry mkuu if i gonna touch your feeling, hivi kijijini na mjini wapi hela inatumika sana?
 
sorry mkuu if i gonna touch your feeling, hivi kijijini na mjini wapi hela inatumika sana?
Utaujuaje mji na huna hela ya kuzungukia mji? sijaelezea matumizi,nimesema kama huna hela hutaujua mji,ARUSHA sio kijijini kama unavyodhani,kuwa utazunguka toka kitongoji A mpaka B kwa mguu na uje hapa useme hapafai sio pazuri,yeye kaishia stand na anasema haoni chochote cha kufananisha(sijui na Mpwapwa)
 
Hata ukitoa mapovu huwezi linganisha Arusha na miji mingi tz ukitoa Dar na Mwanza. Hata hayo majiji bado yana mambo mengi yanayozidiwa na Arusha.
Ukiacha jiji la Dar. TZ Ni mwanza na arusha ndoo ukifika hukosi sehemu za kuinjoi
 
Huna hela halafu unautaka uzuri wa ARUSHA? Baki Dar kama huna hela,huku "Hasara roho pesa makaratasi" Ishia hapohapo stand
Mkuu umetumia vigezo gani kujua sina hela kuna sehemu inauza soda zaidi ya elfu kumi? Ndyo nyie msiyojua kwamba kutembelea mbuga au milima gharama zake ni elfu kumi, unajifungia kwenye kichupa na kuogopa kwenda hata tarangire ukijua watakucharge dola kama wazungu, acha ujuha
 
Haha baelezee wamezoea uko dar kwenye jam na mitakataka ya kila aina
Hata hii baridi na vumbi navyo ni sehemu ya mafunzo, semeni ukweli upinzani kuishika Arusha, serikali kuu imeingiza mikono kwenye sweta lengo ikiwa ni kuwasomesha namba kwa nini mmewapa upinzani, ila kwa jinsi mlivyo wabishi mtaribishia ili
 
Back
Top Bottom