Nilichogundua kuhusu Arusha

Nilichogundua kuhusu Arusha

Mkuu hilo najua ndio mana nkamwambia arusha huwezi kujenga uwanja mkubwa mana tambarare ni sehemu ndogo sana
Mama sijakuelewa unaposema Tambarare ni sehemu ndogo sana ,hivi unajua uwanja unatakiwa upanuliwe na kuna sehemu kubwa tu imetengwa kwa ajili hiyo ?
 
Nyingine hii hapa inajengwa mwanza ujenzi wake unaanza January 2017...hii ni funga kazi....we unaona kama hakuna high and middle class people to afford such huge project...lakni wenzako wanaona kuna opportunity....hyo rockcity mall rud tena uangalie hutaamin majicho.....watu wa chuga punguzeni unaaaa

View attachment 403928View attachment 403929View attachment 403930
Hiyo rockcity mall iko sehemu nzuri ila kibiashara haijachangamka hii ya nyakato yetu macho
 
Mi huwa siingii kwenye makaratasi na maneno vitendo sifuri, mradi kwa sasa umefikia wapi...?! Na nini kimekwamisha...?! Sababu sioni maendeleo...
Kuna mradi wowote unafanywa na taasis yeyote ya serikali wakati huu?? As far as I'm know karibia miradi yote mikubwa imesimama.. Tukirudi kwenye hoja yako, huo mradi ulifunguliwa majuzi tu na uhakiki wa viwanja tayari ulishafanywa na masterplan kutolewa. Maji na Umeme pia tayari vimeshafikishwa pale ili kusupport ujenzi.. Sasa mchakato uko kwenye wazabuni..

Endelea kusubiri siku si nyingi kazi itaanza rasmi..
 
Unaumwa wewe kwa nin wasianzie kujenga Chuga kule ambako mnadai kuna matajiri wengi ambao hawalipi kodi...mpak mahotel mmeanza Kupiga bei....mnafake life mnafkr mchezo...na yatajaa popo...pimbi nyie
Beno Wa BoT juzi katoa statistics safi sana watalii bado wanamiminika Arusha usije ukategemea hata mkiboresha airport yenu mtapata mafuriko ya watalii kama Arusha sahauni.
8219374396_c2140b3e45_b.jpg

Kwa mazingira Hays unategemea tourists watakauka Arusha wanazidi kuletana tu hospitality ya Arusha na accommodation ni extraordinary.

Hapo wamekaa wanathan bado wapo Landon.
 
Cha kushangaza zaidi ni hakuna uwanja wa ndege
Sikutengemea kama ungekuwa na jeuri kama hii ya kuonyesha dharau kubwa sana kama hii kwa wana Arusha!!

Tanzania karibia kila mkoa una kiwanja cha ndege! Sasa jiji kubwa kama Arusha likose kiwanja cha ndege

Ukitaka kuenjoy maisha ya Arusha uwe na hela isiyo ya mawazo kila siku kwako inakuwa ni WeekEnd! Nifah ulisha kimbia Arusha?
 
Hivi tatizo la Taifa ni tatizo la Arusha? Hebu mleta mada tuambie, mji gani mkubwa ambao hauna uchafu na unplanned suburbs?

Ni mji gani Tanzania ambao hauna changamoto kama za Arusha? Lets be fair.

Vv
 
umenena vema mkuu,umbali toka KIA hadi Arusha ni mfupi sana.
Na Baba wa Taifa aliona umuhimu wa kuweka uwanja wa ndege wa KIA katikati ya Arusha na Moshi ili kusevu utalii kwa miji yote miwili na pia kiwanja cha kisongo kinapiga kazi kuliko kiwanja kingine kidogo Tanzania na Pia watu wafikirie kama wakazi wa Dar ususani Tazara, kinyerezi, Tabata wanaridhika na makelele na mitetemo ya ndege kubwa, ila Arusha ni city inayokuwa kwa kasi Ukianzia Kisongo kuelekea USA na yote haya maeneo yapo nje zaid ya kilomita 30 so nilzima uwanja uwekwe mbali na makazi ya watu
 
Back
Top Bottom