Elpaul
JF-Expert Member
- Jan 19, 2018
- 984
- 761
Na hapa ukishadaka vitu hivyo unakuwa raia wa Tz tayariKuna wengine wamepata vitambulisho vya NIDA na kadi za vyama vya siasa.
Na hapa ukishadaka vitu hivyo unakuwa raia wa Tz tayariKuna wengine wamepata vitambulisho vya NIDA na kadi za vyama vya siasa.
Hapana , kwa usalama wa Taifa umakini ni muhimu sana sio wote wanakuja kwa memaAfrica is one
mkuu nakushauri jadili kwa umakini, utapigwa ban. mimi ni mtu wa Bukoba, nilikuwa naongea kwa experience, yet wakapiga ban, ila nilikuwa na uzalendo tu kwa nchi. na sikuwa na nia njema, wangetoa hata adhabu ya kipindi kufupi basi, wao wakapiga stop kabisa. nikaona haina haja kulumbana nao kwani hata hivyo mtandao ni wa kwao, na mimi isiwezi kutengeneza wa kwangu.Inashangaza sana , hakuna uhuru wa kujieleza , nchi hii wapo wengi halafu wengine wamepenya hadi kwenye system za serikalini
Mods nao ni binadamu wenye hisia, ukiipiga spana dini mojawapo kati uislam au ukristo basi uzi wako hauchujui round wanaufuta.sikuelewa hadi leo, nilichangia kitu kuhusu wanyarwanda, wamenifungia maisha nadhani kuchangia kwenye international forums, hadi naogopa kuchangia vitu. hata hivyo, kama mtu ameingia nchini akapata vibali na uraia, hakuna shida, na ndicho nilichokuwa nalenga. ajabu yake, nikapiga nyundo kutochangia forum nzima.
Kwa maelezo yako sijaona baya ulilolisema ,ila nahisi ulipiga kwenye mshonomkuu nakushauri jadili kwa umakini, utapigwa ban. mimi ni mtu wa Bukoba, nilikuwa naongea kwa experience, yet wakapiga ban, ila nilikuwa na uzalendo tu kwa nchi. na sikuwa na nia njema, wangetoa hata adhabu ya kipindi kufupi basi, wao wakapiga stop kabisa. nikaona haina haja kulumbana nao kwani hata hivyo mtandao ni wa kwao, na mimi isiwezi kutengeneza wa kwangu.
Hio sio mentality ya mtu makini na mzalendoHakuna muhamiaji haramu, hili ni dhana ya kikoloni, mtu yoyote mweusi ni ndugu yako.
Tuacheni kubaguana wenyewe kwa wenyewe
Wapewe vibali wasongeshe maisha
Mwingine huyu hapa😀Hakuna muhamiaji haramu, hili ni dhana ya kikoloni, mtu yoyote mweusi ni ndugu yako.
Tuacheni kubaguana wenyewe kwa wenyewe
Wapewe vibali wasongeshe maisha
NooooAfrica is one
Mkuu hizi dhana tunazirukia rukia tu hatujui maana yake ni niniMwingine huyu hapa😀
Kazi ipo kumbe wana supportersMwingine huyu hapa😀
Ni kweli mkuuHapana , kwa usalama wa Taifa umakini ni muhimu sana sio wote wanakuja kwa mema