Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,416
We kalia hivyo hivyo siku wafugaji wavamie eneo lako ndio utafahamu uhamiaji wa ndaniHakuna muhamiaji haramu, hili ni dhana ya kikoloni, mtu yoyote mweusi ni ndugu yako.
Tuacheni kubaguana wenyewe kwa wenyewe
Wapewe vibali wasongeshe maisha