Nilichogundua Bongo tuna wahamiaji haramu wengi sana

Moto wa volcano

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2018
Posts
2,513
Reaction score
6,221
Nilichogundua Bongo kuna wahamiaji haramu wengi sana kutoka nchi jirani / mipakani wanaozungumza kiswahili, wakiingia katika nchi yetu wanajifanya ni wa Bongo. Siku tukiwa serious kufanya msako wengi sana tutawarudisha mwakwao na usikute hadi wewe unayesoma hapa
 
Nilichogundua Bongo kuna wahamiaji haramu wengi sana kutoka nchi jirani / mipakani wanaozungumza kiswahili , wakiingia katika nchi yetu wanajifanya ni wa Bongo. Siku tukiwa serious kufanya msako wengi sana tutawarudisha mwakwao na usikute hadi wewe unayesoma hapa
nilishawahi kuandika icho kitu, mods wakanipiga pin nisichangie chochote kinachohusu international forums. sijui niligusa maslahi yepi ya huyo moderator aliyenipiga pin.
 
Pengine na yeye ni illegal Migrant
sikuelewa hadi leo, nilichangia kitu kuhusu wanyarwanda, wamenifungia maisha nadhani kuchangia kwenye international forums, hadi naogopa kuchangia vitu. hata hivyo, kama mtu ameingia nchini akapata vibali na uraia, hakuna shida, na ndicho nilichokuwa nalenga. ajabu yake, nikapiga nyundo kutochangia forum nzima.
 
Nilichogundua Bongo kuna wahamiaji haramu wengi sana kutoka nchi jirani / mipakani wanaozungumza kiswahili, wakiingia katika nchi yetu wanajifanya ni wa Bongo. Siku tukiwa serious kufanya msako wengi sana tutawarudisha mwakwao na usikute hadi wewe unayesoma hapa
Kuna wengine wamepata vitambulisho vya NIDA na kadi za vyama vya siasa.
 
Nilichogundua Bongo kuna wahamiaji haramu wengi sana kutoka nchi jirani / mipakani wanaozungumza kiswahili , wakiingia katika nchi yetu wanajifanya ni wa Bongo. Siku tukiwa serious kufanya msako wengi sana tutawarudisha mwakwao na usikute hadi wewe unayesoma hapa
Mkuu ni hatari sana, yawezekana serikali yetu kama ilikuwa na budget ya kuhudumia 40m people according to the last census now inaweza kuwa inahudumia 60m
 
LUCAS MWASHAMBA,Tlaatlaah KILA SIKU KUMSIFU MAMA KUMBE WAKONGO WA GOMA KARIBU NA MPAKA WA BURUNDI
mwashamba ni jina la mnyiha, though wapo watu ambao ili kuficha identity huwa wanachagu jina la kabila la hapa. kama yupo kisheria au kama ana uraia,sisi sote kwa namna moja au nyingine asili yetu iwe upande wa mama au baba utakuta ni nje ya mipaka. kwa kina mwashamba kwa mfano, utawakuta mbozi,sumbawanga na zambia. na hatuwezi kusema sio raia kwa kuwa wamezaliwa upande wa tz.
 
sikuelewa hadi leo, nilichangia kitu kuhusu wanyarwanda, wamenifungia maisha nadhani kuchangia kwenye international forums, hadi naogopa kuchangia vitu. hata hivyo, kama mtu ameingia nchini akapata vibali na uraia, hakuna shida, na ndicho nilichokuwa nalenga. ajabu yake, nikapiga nyundo kutochangia forum nzima.
Inashangaza sana , hakuna uhuru wa kujieleza , nchi hii wapo wengi halafu wengine wamepenya hadi kwenye system za serikalini
 
Back
Top Bottom