MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 15,742
- 39,800
Hiyo ni hoja dhaifu sana, uraia wangu hautoki kwakuwa natetea Pan Africanism, wewe ndiyo unaweza ukawa siyo mtanzania kwakua watanzania hatuna chuki na wageniNapata mashaka na uraia wako ... wewe si Mtanzania ... usingeweza kupinga hilo suala ambalo lina faida kwa usalama wa Taifa letu.
Wewe sio M Tanzania