Nilichekwa sana ila leo yametimia..!!!!!

Nilichekwa sana ila leo yametimia..!!!!!

nakupa gwara mkuu kitu cha BMW big up man hicho kidonda ni noumer
bora yako wewe unajitafutia vya kwako
nina kakazangu wa kambo dah wameuza nyumba yetu huko mwanza leo eti wapate urithi wao
duh ! mijianaume suruali bana kazi kweli

asante sana mama,waambie nao watafute vyao hao mabraza dada,haiwezekani wabweteke afu wawe wanataka mteremko kama kitonga.mi mwenyewe imenichukua miaka kudunduliza na kununu hii kamera
 
Nimechungulia chapchap nikijua mwana jf kanunua Bmw. Jamani! Hongera kwa kununua kamera
 
Hivi ulishasikia kuwa kuna Baba mwenye gari ?[/QUOTE]





Nawala mimi sijawahi kusiki "bosi mwenye nyumba".
 
Back
Top Bottom