Nilichekwa sana ila leo yametimia..!!!!!

Ndugu yangu na ma ccm kubana umevuta machine. Wewe mtu.
 
Mkuu, chukua tahadhari na uwe makini na vitu hivi kwa sababu kinaweza kuja na mambo matatu kama hutakuwa makini nacho kama ifuatavyo:
1. Kukuingiza kwenye kupenda totozi kwa sababu sasa una miguu ya kuzifuata = magonjwa kama UKIMWI
2. Kupata ajali kutokana na shauku uliyokuwa nayo, utataka kuendesha kazi ili sisi tuliokuwa tunakucheka tukuone= ajali, kilema, kifo
3. Kuvuruga ndoa yako kama umeoa.

Hivi ulishasikia kuwa kuna Baba mwenye gari ?

Amenunua camera iliyotumika kupiga picha hiyo gari
 
Mkuu, chukua tahadhari na uwe makini na vitu hivi kwa sababu kinaweza kuja na mambo matatu kama hutakuwa makini nacho kama ifuatavyo:
1. Kukuingiza kwenye kupenda totozi kwa sababu sasa una miguu ya kuzifuata = magonjwa kama UKIMWI
2. Kupata ajali kutokana na shauku uliyokuwa nayo, utataka kuendesha kazi ili sisi tuliokuwa tunakucheka tukuone= ajali, kilema, kifo
3. Kuvuruga ndoa yako kama umeoa.

Hivi ulishasikia kuwa kuna Baba mwenye gari ?

watu wa design hii ndio maana huwa mnafeli mitihani, tuliana soma post vizuri kabla ya kuanza kupost! Jamaa anajipongeza kwa kununua camera wewe unaongelea gari. Acha kukurupuka bwana!!
 
Ningejua ningeanza kusoma kwa kutoka chini kwenda juu wala nisingepatikana, najuta kuanzia juu kushuka chini nimepatikana
 
Back
Top Bottom