Nilichekwa sana ila leo yametimia..!!!!!

Nilichekwa sana ila leo yametimia..!!!!!

Hehehehe nimekujaje spidi..nkaona gari first,nlikuwa nimekuandalia hongeraa kubwa
 
Mkuu, chukua tahadhari na uwe makini na vitu hivi kwa sababu kinaweza kuja na mambo matatu kama hutakuwa makini nacho kama ifuatavyo:
1. Kukuingiza kwenye kupenda totozi kwa sababu sasa una miguu ya kuzifuata = magonjwa kama UKIMWI
2. Kupata ajali kutokana na shauku uliyokuwa nayo, utataka kuendesha kazi ili sisi tuliokuwa tunakucheka tukuone= ajali, kilema, kifo
3. Kuvuruga ndoa yako kama umeoa.

namba moja na namba tatu sawa mkuu,ila namba mbili sio sawa.kamera haileti ajali mkuu.ila asante kwa ushauri
 
Hahahahahahaaaaaaa

U fooled me , For a sec think about z car.
 
nimetimiza malengo

nakupa gwara mkuu kitu cha BMW big up man hicho kidonda ni noumer
bora yako wewe unajitafutia vya kwako
nina kakazangu wa kambo dah wameuza nyumba yetu huko mwanza leo eti wapate urithi wao
duh ! mijianaume suruali bana kazi kweli
 
Back
Top Bottom