Kozo Okamoto
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 3,391
- 1,546
hahahahahhaaaaaaaaaaaaaa, we kweli Kozo Okamoto
mammy miss chagga,long tym mama.uko poa?
niko pouwa sana ... yani nimepotea mpka ukapata hela ya kununua kamera naomba hela ya bia nne tu
ntumie vocha basi.nimetimiza malengo
we sio mtu wa bia mammy,nambie kuhusu mi wisky na mi wyn
ntumie vocha basi.
Nimeskia imetajwa kwenye bajeti ya serikali bungeni muda huu. Hongera sana
basi chopa moja tu ya jack daniel inanitosha ile kubwa lakini...... na penasol white box tano
nikajua umenunua gari kumbe kamera!!! hongera mkuu.
nimetimiza malengo
Hahahahahaaa