Nilichekwa sana ila leo yametimia..!!!!!

Hongera sana kwa kununua Kamera,pole pole mwisho wake utainunua gari yenyewe,jiwekee malengo ya Kununua gari kama ulivyojiwekea kununua Kamera,utafika tu.
 
nashukuru sana kwa kuwa roho yako safi
 
watu wa design hii ndio maana huwa mnafeli mitihani, tuliana soma post vizuri kabla ya kuanza kupost! Jamaa anajipongeza kwa kununua camera wewe unaongelea gari. Acha kukurupuka bwana!!

Na wewe acha kukurupuka, jifunze kutafsiri lugha, wewe ndiye wa kwanza kufeli, halafu tangu lini ukawa Msemaji wake, mbona asiseme mwenyewe, ina maana umejiari kuwa Msemaji wake na ina maana hata hiyo picha aliyoweka ni ya Camera !!!!!!! Sasa mimi nefeli mtihani upi tena ilihali nilishafaulu wa darasani na wa maisha maana simtegemei binadamu kama unavyofanya wewe !!!
 
mbwembwe tu
 
Back
Top Bottom