Niliacha chuo ili nifanye biashara, sasa mtaji umekatika sijui nifanye nini?

Prisoner of hope

Prisoner of hope

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2017
Messages
2,234
Points
2,000
Prisoner of hope

Prisoner of hope

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2017
2,234 2,000
Naanza kwa kuwasalimu ndugu zangu wa JF

Directly niende kwenye mada, mimi ni kijana umri wa miaka 21, nilimalza A-LEVEL mwaka jana na nikachaguliwa kujiunga chuo.

Even though nilikidhi vigezo ila sikuweza kuchaguliwa course niliyoitaka. Kutokana na umasikini na ufukara ulioikumba familia yangu ilinilazimu nikasome course hiyo hiyo, hivyo maisha yangu ya chuo sikuwah kuwa na furaha kutokana na kusoma kitu ambacho sikipendi hali iliyopelekea kupata supplementary course nne kati ya saba kwa semester ya kwanza.

Hali hiyo ilnikatsha tamaa na kuamua kuchukua maamuzi magumu ya kuacha chuo na kujiingiza kwenye ujasiriamali. Boom la mwisho kupokea ilinilazimu niondoke nalo na kuanza maisha mapya Jijini Dar. Nilitafuta sehemu local nikalipa pango la miezi mitatu na kuanza biashara ya kuuza mtumba.

Hadi sasa nimepotez mtaji na sijui nini la kufanya na hadi dakika hii mama kjijini anajua niko chuoni nasoma nikamkomboe kwenye umasikini.

So what I request my dear sisters and brothers, kama kuna mtu yeyote anaweza kunipa kazi ya kufanya niko tayari maana hapa pango limeisha na sina hela ya kulipa tena pango. Nawaz nirudi kjijini ila sijui namweleza nini mama akanielewa.

Pia kama kuna mfadhili yuko tayari kunisomesha tuandikiane mkataba nimlipe nikipat kazi kwa riba ile ile ya HESLB maana kule siwezi kukopesheka tena mpaka nilipe kiasi fulani nitashukuru.

Ahsantee
nichek PM.
 
milionea wa kesho

milionea wa kesho

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2015
Messages
280
Points
500
milionea wa kesho

milionea wa kesho

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2015
280 500
Tatizo kubwa vyuoni hawafundishi jinsi gani ya kutafuta pesa mtaani, tunafundishwa kuajiriwa.

Nilipomaliza chuo niliingia moja kwa moja katika biashara, nilianza na biashara ya mtaji wa 150,000/= nikaizungusha ndani ya mwezi mtaji ukakuwa mpaka 1,200,000/=

Nabii hakubaliki kwao nikasemwa sana nafanya biashara ya kijinga sio level ya mtu aliyemaliza chuo. Nikauza vitu vyangu vyote nilivyonunua nikiwa chuo Tv nchi 32, kapeti, mtungi wa gas, jiko, meza, kitanda, godoro, friji, kingaamuzi n.k jumla nikapata mtaji wa 2,200,000/=

Nikaondoka nyumbani nikaenda mkoa mwingine mbali kabisa. Nikaanza biashara ya kuchukua mali mkoani kuja kuuza dar, biashara ilinilipa sana nikanunua viwanja na ujenzi ukafuata baadae nikaamua kusettle dar.

Nimeifanya biashara hiyo kwa kuagiza mali tuu mkoani inakuja nilishatengeneza system ya kupata mzigo na usafirishaji mpaka sokoni.

Nikakamilisha majukumu yangu ya kimaisha ile biashara nikaipiga chini ilikuwa inalipa ila changamoto ni nyingi sana halafu unadeal sana na vyombo vya usalama.

Nikafungua biashara nyingine nikaisimamisha vizuri nikafungua na nyingine zipo 2 maisha yanasonga since nimalize chuo sijawahi kuapply kazi wala kuajiriwa nimejenga na niendelea kujenga empire yangu.

Ushauri wangu kijana wa mtumba usikate tamaa uza vitu vyote dukani pata mtaji mdogo anza kuuzungusha kwenye biashara ndogo nunua hata toroli na carton za maji zungusha hapo kariakoo jero jero utaishi
Ingependeza ungetushirikisha hiyo biashara uliyowekeza 150000/= na baada ya mwezi ukapata 1.2M

Unaweza ukamsaidia mtu fulani mahali fulani.
 
K

Kibabu chenye pesa ndefu

Member
Joined
Aug 10, 2019
Messages
38
Points
95
K

Kibabu chenye pesa ndefu

Member
Joined Aug 10, 2019
38 95
Naanza kwa kuwasalimu ndugu zangu wa JF

Directly niende kwenye mada, mimi ni kijana umri wa miaka 21, nilimalza A-LEVEL mwaka jana na nikachaguliwa kujiunga chuo.

Even though nilikidhi vigezo ila sikuweza kuchaguliwa course niliyoitaka. Kutokana na umasikini na ufukara ulioikumba familia yangu ilinilazimu nikasome course hiyo hiyo, hivyo maisha yangu ya chuo sikuwah kuwa na furaha kutokana na kusoma kitu ambacho sikipendi hali iliyopelekea kupata supplementary course nne kati ya saba kwa semester ya kwanza.

Hali hiyo ilnikatsha tamaa na kuamua kuchukua maamuzi magumu ya kuacha chuo na kujiingiza kwenye ujasiriamali. Boom la mwisho kupokea ilinilazimu niondoke nalo na kuanza maisha mapya Jijini Dar. Nilitafuta sehemu local nikalipa pango la miezi mitatu na kuanza biashara ya kuuza mtumba.

Hadi sasa nimepotez mtaji na sijui nini la kufanya na hadi dakika hii mama kjijini anajua niko chuoni nasoma nikamkomboe kwenye umasikini.

So what I request my dear sisters and brothers, kama kuna mtu yeyote anaweza kunipa kazi ya kufanya niko tayari maana hapa pango limeisha na sina hela ya kulipa tena pango. Nawaz nirudi kjijini ila sijui namweleza nini mama akanielewa.

Pia kama kuna mfadhili yuko tayari kunisomesha tuandikiane mkataba nimlipe nikipat kazi kwa riba ile ile ya HESLB maana kule siwezi kukopesheka tena mpaka nilipe kiasi fulani nitashukuru.

Ahsantee
sijui nikuzabue vibaoo
 
S

Soulja boy

Member
Joined
Oct 3, 2015
Messages
67
Points
125
S

Soulja boy

Member
Joined Oct 3, 2015
67 125
Kwanza niliona watu waliomaliza almost awam 3 wapo mtaan na mim nngefuata

So nilinunua diary na kulist biashara 5 ntakazoweza kuzifanya....nkapiga hesabu ya mtaji maana nilibakiwa na boom 1 tuuu...!!ilikuwa kama 520k

Nkachanganua biashara zote nkaona fursa ipo kwenye duka....na kama bajet ikiwa haiend niende kwenye kilimo

Baada ya kuchanganua wapi kuna wepesi zaidi ndipo nilipoona fursa kwenye duka

Ilikuw bdo mwezi m1 nimalize UE nkaandka barua ya kuahirisha masomo....!!nkauza almost kila kitu maana nlkuwa nmpanga...!!then nkarudi dsm kupambana rasmi(hapo niliowaacha chuo walinisema saana....na skumuambia mtu yyte home kama nmeahirisha masomo....MPAKA SASA)

Nikafungua frem nkaweka vitu kulingana na mtaji nlonao....nkawela huduma ya vocha za kurusha na kuchajisha cm....kazi ikaanza

Nilipokea changamoto maana kulikuwa na maduka mengine ma3 jiran nami...lkn sikukata tamaa...!!nilipambana just kwa kuwa mcheshi na mkarimu kwa wateja...!!

Sikuchukua faida bali niliizungusha humo humo mpk duka lilipoanza kukua...!!

Nilipambana kujaza vitu....na kujifunza kupitia kwa wauza maduka wengne....kuna muda ilinibidi nitoe pesa kununua kitu ili tu maswali yangu yajibiwe...!!

Now Maisha yanaenda...sijafika nnapotaka lkn kesho yangu naiona

Nimepanga chumba
Kila kitu nmeweka
Nakula nnachotaka

Wale waliomaliza chuo tuliosoma pamoja wanaona aibu ht kuniangalia...!!wengne wapo mikoan wananiomba waje lkn kwakweli sijafikia level ya kuajiri mtu bado...na pia nnajua hii biashara ukmuachia bnadam mwenye majukum itaanguka

Kkubwa ni kuwa tusikate tamaa....!!Tusimsahau Mungu pia

Lakini kkubwa Mapenzi tupunguze kidooogo...tufocus kwenye kutafta pesa

View attachment 1181143View attachment 1181144View attachment 1181145View attachment 1181146View attachment 1181147View attachment 1181148View attachment 1181149View attachment 1181150View attachment 1181153View attachment 1181154View attachment 1181156
Nimejifunza kitu ongera nigga.(Mapenzi tupunguze tutafute pesaa)
 
BradFord93

BradFord93

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2017
Messages
474
Points
1,000
BradFord93

BradFord93

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2017
474 1,000
hongera mkuu umewainspire vijana wengi sana kwa hii feedback yko, kwamba pambana and never give up, je ulianza rasmi mwaka gani?? Unakunja kiasi kwa siku?? Yaan mauzo. Mimi nilianza mwaka jana mwishoni, development mpk sasa nasema Asante Mungu.
Nilianza 2017 baada ya kuacha chuo...!!kwa sasa mauzo ya chini sana ni 140k...coz mtaan vingi nnavyo mimi...na leo nmetoka kuongeza vngne vpyaa...just najtahd hili duka liza jingne
 
Kamwene

Kamwene

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2016
Messages
1,579
Points
2,000
Kamwene

Kamwene

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2016
1,579 2,000
Kwanza niliona watu waliomaliza almost awam 3 wapo mtaan na mim nngefuata

So nilinunua diary na kulist biashara 5 ntakazoweza kuzifanya....nkapiga hesabu ya mtaji maana nilibakiwa na boom 1 tuuu...!!ilikuwa kama 520k

Nkachanganua biashara zote nkaona fursa ipo kwenye duka....na kama bajet ikiwa haiend niende kwenye kilimo

Baada ya kuchanganua wapi kuna wepesi zaidi ndipo nilipoona fursa kwenye duka

Ilikuw bdo mwezi m1 nimalize UE nkaandka barua ya kuahirisha masomo....!!nkauza almost kila kitu maana nlkuwa nmpanga...!!then nkarudi dsm kupambana rasmi(hapo niliowaacha chuo walinisema saana....na skumuambia mtu yyte home kama nmeahirisha masomo....MPAKA SASA)

Nikafungua frem nkaweka vitu kulingana na mtaji nlonao....nkawela huduma ya vocha za kurusha na kuchajisha cm....kazi ikaanza

Nilipokea changamoto maana kulikuwa na maduka mengine ma3 jiran nami...lkn sikukata tamaa...!!nilipambana just kwa kuwa mcheshi na mkarimu kwa wateja...!!

Sikuchukua faida bali niliizungusha humo humo mpk duka lilipoanza kukua...!!

Nilipambana kujaza vitu....na kujifunza kupitia kwa wauza maduka wengne....kuna muda ilinibidi nitoe pesa kununua kitu ili tu maswali yangu yajibiwe...!!

Now Maisha yanaenda...sijafika nnapotaka lkn kesho yangu naiona

Nimepanga chumba
Kila kitu nmeweka
Nakula nnachotaka

Wale waliomaliza chuo tuliosoma pamoja wanaona aibu ht kuniangalia...!!wengne wapo mikoan wananiomba waje lkn kwakweli sijafikia level ya kuajiri mtu bado...na pia nnajua hii biashara ukmuachia bnadam mwenye majukum itaanguka

Kkubwa ni kuwa tusikate tamaa....!!Tusimsahau Mungu pia

Lakini kkubwa Mapenzi tupunguze kidooogo...tufocus kwenye kutafta pesa

View attachment 1181143View attachment 1181144View attachment 1181145View attachment 1181146View attachment 1181147View attachment 1181148View attachment 1181149View attachment 1181150View attachment 1181153View attachment 1181154View attachment 1181156
so inspirational umetisha mzee ila mtaji ulioanza nao ni laki tano pekee?
 
Rijali jandoni

Rijali jandoni

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2018
Messages
1,609
Points
2,000
Rijali jandoni

Rijali jandoni

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2018
1,609 2,000
The best investment for one year is to grow grains; the best investment for ten years is to grow trees; the best investment for a lifetime is to educate people. What you gain from one year’s growth will be grains; what you gain from ten years’ growth will be trees; what you gain from a hundred years’ growth will be people
 
Mchome Sevury

Mchome Sevury

Member
Joined
Aug 14, 2019
Messages
5
Points
45
Mchome Sevury

Mchome Sevury

Member
Joined Aug 14, 2019
5 45
genius mvivu nimeona hata kwenye uandishi wako kuna kila dalili ya uvivu...oky kila la kheri na harakati zako
Kosa kubwa n wewe....!!Mama anakuombea usome ufaulu....wew unauza mitumba....!!unapishana na baraka....baraka zinapita mfugale juu....wew unapita chini
Daaah kweli uko Ni kupishana na baraka kaka
 
M

Marwa_J_Merengo

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2018
Messages
2,667
Points
2,000
M

Marwa_J_Merengo

JF-Expert Member
Joined Aug 6, 2018
2,667 2,000
Sasa kama wewe ni mjasiriamali kweli unashindwaje kutumia kichwa chako kuendelea kubaki hapa town
 
M

MjasiriamaliElimu

Senior Member
Joined
Nov 21, 2013
Messages
120
Points
225
M

MjasiriamaliElimu

Senior Member
Joined Nov 21, 2013
120 225
Naanza kwa kuwasalimu ndugu zangu wa JF

Directly niende kwenye mada, mimi ni kijana umri wa miaka 21, nilimalza A-LEVEL mwaka jana na nikachaguliwa kujiunga chuo.

Even though nilikidhi vigezo ila sikuweza kuchaguliwa course niliyoitaka. Kutokana na umasikini na ufukara ulioikumba familia yangu ilinilazimu nikasome course hiyo hiyo, hivyo maisha yangu ya chuo sikuwah kuwa na furaha kutokana na kusoma kitu ambacho sikipendi hali iliyopelekea kupata supplementary course nne kati ya saba kwa semester ya kwanza.

Hali hiyo ilnikatsha tamaa na kuamua kuchukua maamuzi magumu ya kuacha chuo na kujiingiza kwenye ujasiriamali. Boom la mwisho kupokea ilinilazimu niondoke nalo na kuanza maisha mapya Jijini Dar. Nilitafuta sehemu local nikalipa pango la miezi mitatu na kuanza biashara ya kuuza mtumba.

Hadi sasa nimepotez mtaji na sijui nini la kufanya na hadi dakika hii mama kjijini anajua niko chuoni nasoma nikamkomboe kwenye umasikini.

So what I request my dear sisters and brothers, kama kuna mtu yeyote anaweza kunipa kazi ya kufanya niko tayari maana hapa pango limeisha na sina hela ya kulipa tena pango. Nawaz nirudi kjijini ila sijui namweleza nini mama akanielewa.

Pia kama kuna mfadhili yuko tayari kunisomesha tuandikiane mkataba nimlipe nikipat kazi kwa riba ile ile ya HESLB maana kule siwezi kukopesheka tena mpaka nilipe kiasi fulani nitashukuru.

Ahsantee
Pole sana ndugu.Inaonekana kibiashara hukufanya kitu kinachoitwa upembuzi yakinifu.Aina ya biashara uliyoichagua uliichagua kwa sababu tu uliona una mtaji mkononi.

Lakini pia inaonekana hata kwenye juhudi ya kile unachokifanya bado Nina mashaka kama unaweza kufanikiwa kwa sababu.Kwanza katika masomo 7 ulirudia 4 hii ina maana hata nusu ya masomo hukufanikiwa kupita wastani achalia mbali kufaulu.Ukaingia mtaani pia ukapata supplementary ya aina ya biashara uliyochagua.

Nimeandika haya ili kujifunza mambo 2.Kwanza kufanya upembuzi yakinifu kwa kila aina ya biashara unayotaka kufanya.Pili kuweka juhudi kwenye kila unachokifanya.Hapa haijalishi unapitia changamoto kiasi gani.Kwani changamoto ni sehemu ya maisha.

Mwisho.Ushauri wangu kwa sasa tafuta kibarua uanze upya.Pia, usitegemee suala la kupata mfadhili ili kulipa utakapopata kazi.Kazi kwa sasa hakuna na hats zikiwepo hazielwezi kuwatosheleza vijana wote.

Nakuombea pia ufanikiwe katika hayo.
 
FUTURE HUNTER

FUTURE HUNTER

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2018
Messages
1,198
Points
2,000
FUTURE HUNTER

FUTURE HUNTER

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2018
1,198 2,000
Mkuu pole usikate tamaa ndio mitihani ya Dunia.Yaani hapo ulipofikia ndio maisha halisi ya ujasiriamali yanaanza.
Msingi anza na connection ya karibu then angalia biashara yenye mtaji kidogo pambana nayo.
Nenda hata kkoo ongea na chinga wanaotandika vitu ujifunze mdogo mdogo.cha msingi katika kipindi hiki usiwe mwoga.
Ni kawaida binadamu unapochukua abnormal decisions kukuhukumu so usikate tamaa.
You are the champion.Mateso,dharau, kudondoka na mafanikio yanakungoja genius.msingi komaa
 
yusuph Hashim

yusuph Hashim

Member
Joined
Feb 22, 2014
Messages
67
Points
125
yusuph Hashim

yusuph Hashim

Member
Joined Feb 22, 2014
67 125
I like it
Halafu kitu kingine biashara sio vitu....biashara n muuzaji...muuzaji akiwa dhaifu bas lazma biashara lazma ianguke

Half kngne usikurupuke...fanya uchunguzi....!!

Mimi mwenyew nilipostpone masomo mwaka wa mwsho baada ya kuona ntamaliza boom bila ya kujiandaa na maisha...maana hali ya ajira niliiona

Lakini nilifanya research miezi mi3 kabla biashara gn ya kuweka na jinsi ya kuisimamia...mpk sasa mambo yanaenda vizuri tu
View attachment 1181065
 
Vladimir Lenin

Vladimir Lenin

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2018
Messages
2,318
Points
2,000
Vladimir Lenin

Vladimir Lenin

JF-Expert Member
Joined Jul 21, 2018
2,318 2,000
Nilianza 2017 baada ya kuacha chuo...!!kwa sasa mauzo ya chini sana ni 140k...coz mtaan vingi nnavyo mimi...na leo nmetoka kuongeza vngne vpyaa...just najtahd hili duka liza jingne
Uko vzr mkuu, pia goli lako inaonekana liko center nzr sana, mauzo ni ya kuridhisha mno, ukikomaa ndan ya mwaka mmoja kwa mauzo hayo unafungua goli jingine la maana tu.
 
yna2

yna2

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2018
Messages
6,415
Points
2,000
yna2

yna2

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2018
6,415 2,000
Kwanza niliona watu waliomaliza almost awam 3 wapo mtaan na mim nngefuata

So nilinunua diary na kulist biashara 5 ntakazoweza kuzifanya....nkapiga hesabu ya mtaji maana nilibakiwa na boom 1 tuuu...!!ilikuwa kama 520k

Nkachanganua biashara zote nkaona fursa ipo kwenye duka....na kama bajet ikiwa haiend niende kwenye kilimo

Baada ya kuchanganua wapi kuna wepesi zaidi ndipo nilipoona fursa kwenye duka

Ilikuw bdo mwezi m1 nimalize UE nkaandka barua ya kuahirisha masomo....!!nkauza almost kila kitu maana nlkuwa nmpanga...!!then nkarudi dsm kupambana rasmi(hapo niliowaacha chuo walinisema saana....na skumuambia mtu yyte home kama nmeahirisha masomo....MPAKA SASA)

Nikafungua frem nkaweka vitu kulingana na mtaji nlonao....nkawela huduma ya vocha za kurusha na kuchajisha cm....kazi ikaanza

Nilipokea changamoto maana kulikuwa na maduka mengine ma3 jiran nami...lkn sikukata tamaa...!!nilipambana just kwa kuwa mcheshi na mkarimu kwa wateja...!!

Sikuchukua faida bali niliizungusha humo humo mpk duka lilipoanza kukua...!!

Nilipambana kujaza vitu....na kujifunza kupitia kwa wauza maduka wengne....kuna muda ilinibidi nitoe pesa kununua kitu ili tu maswali yangu yajibiwe...!!

Now Maisha yanaenda...sijafika nnapotaka lkn kesho yangu naiona

Nimepanga chumba
Kila kitu nmeweka
Nakula nnachotaka

Wale waliomaliza chuo tuliosoma pamoja wanaona aibu ht kuniangalia...!!wengne wapo mikoan wananiomba waje lkn kwakweli sijafikia level ya kuajiri mtu bado...na pia nnajua hii biashara ukmuachia bnadam mwenye majukum itaanguka

Kkubwa ni kuwa tusikate tamaa....!!Tusimsahau Mungu pia

Lakini kkubwa Mapenzi tupunguze kidooogo...tufocus kwenye kutafta pesa

View attachment 1181143View attachment 1181144View attachment 1181145View attachment 1181146View attachment 1181147View attachment 1181148View attachment 1181149View attachment 1181150View attachment 1181153View attachment 1181154View attachment 1181156
Hongera mkuu
 
Forum statistics

Threads 1,325,442
Members 509,127
Posts 32,192,662
Top