sijui nikuzabue vibaooNaanza kwa kuwasalimu ndugu zangu wa JF
Directly niende kwenye mada, mimi ni kijana umri wa miaka 21, nilimalza A-LEVEL mwaka jana na nikachaguliwa kujiunga chuo.
Even though nilikidhi vigezo ila sikuweza kuchaguliwa course niliyoitaka. Kutokana na umasikini na ufukara ulioikumba familia yangu ilinilazimu nikasome course hiyo hiyo, hivyo maisha yangu ya chuo sikuwah kuwa na furaha kutokana na kusoma kitu ambacho sikipendi hali iliyopelekea kupata supplementary course nne kati ya saba kwa semester ya kwanza.
Hali hiyo ilnikatsha tamaa na kuamua kuchukua maamuzi magumu ya kuacha chuo na kujiingiza kwenye ujasiriamali. Boom la mwisho kupokea ilinilazimu niondoke nalo na kuanza maisha mapya Jijini Dar. Nilitafuta sehemu local nikalipa pango la miezi mitatu na kuanza biashara ya kuuza mtumba.
Hadi sasa nimepotez mtaji na sijui nini la kufanya na hadi dakika hii mama kjijini anajua niko chuoni nasoma nikamkomboe kwenye umasikini.
So what I request my dear sisters and brothers, kama kuna mtu yeyote anaweza kunipa kazi ya kufanya niko tayari maana hapa pango limeisha na sina hela ya kulipa tena pango. Nawaz nirudi kjijini ila sijui namweleza nini mama akanielewa.
Pia kama kuna mfadhili yuko tayari kunisomesha tuandikiane mkataba nimlipe nikipat kazi kwa riba ile ile ya HESLB maana kule siwezi kukopesheka tena mpaka nilipe kiasi fulani nitashukuru.
Ahsantee
Nimejifunza kitu ongera nigga.(Mapenzi tupunguze tutafute pesaa)Kwanza niliona watu waliomaliza almost awam 3 wapo mtaan na mim nngefuata
So nilinunua diary na kulist biashara 5 ntakazoweza kuzifanya....nkapiga hesabu ya mtaji maana nilibakiwa na boom 1 tuuu...!!ilikuwa kama 520k
Nkachanganua biashara zote nkaona fursa ipo kwenye duka....na kama bajet ikiwa haiend niende kwenye kilimo
Baada ya kuchanganua wapi kuna wepesi zaidi ndipo nilipoona fursa kwenye duka
Ilikuw bdo mwezi m1 nimalize UE nkaandka barua ya kuahirisha masomo....!!nkauza almost kila kitu maana nlkuwa nmpanga...!!then nkarudi dsm kupambana rasmi(hapo niliowaacha chuo walinisema saana....na skumuambia mtu yyte home kama nmeahirisha masomo....MPAKA SASA)
Nikafungua frem nkaweka vitu kulingana na mtaji nlonao....nkawela huduma ya vocha za kurusha na kuchajisha cm....kazi ikaanza
Nilipokea changamoto maana kulikuwa na maduka mengine ma3 jiran nami...lkn sikukata tamaa...!!nilipambana just kwa kuwa mcheshi na mkarimu kwa wateja...!!
Sikuchukua faida bali niliizungusha humo humo mpk duka lilipoanza kukua...!!
Nilipambana kujaza vitu....na kujifunza kupitia kwa wauza maduka wengne....kuna muda ilinibidi nitoe pesa kununua kitu ili tu maswali yangu yajibiwe...!!
Now Maisha yanaenda...sijafika nnapotaka lkn kesho yangu naiona
Nimepanga chumba
Kila kitu nmeweka
Nakula nnachotaka
Wale waliomaliza chuo tuliosoma pamoja wanaona aibu ht kuniangalia...!!wengne wapo mikoan wananiomba waje lkn kwakweli sijafikia level ya kuajiri mtu bado...na pia nnajua hii biashara ukmuachia bnadam mwenye majukum itaanguka
Kkubwa ni kuwa tusikate tamaa....!!Tusimsahau Mungu pia
Lakini kkubwa Mapenzi tupunguze kidooogo...tufocus kwenye kutafta pesa
View attachment 1181143View attachment 1181144View attachment 1181145View attachment 1181146View attachment 1181147View attachment 1181148View attachment 1181149View attachment 1181150View attachment 1181153View attachment 1181154View attachment 1181156
Nilianza 2017 baada ya kuacha chuo...!!kwa sasa mauzo ya chini sana ni 140k...coz mtaan vingi nnavyo mimi...na leo nmetoka kuongeza vngne vpyaa...just najtahd hili duka liza jingnehongera mkuu umewainspire vijana wengi sana kwa hii feedback yko, kwamba pambana and never give up, je ulianza rasmi mwaka gani?? Unakunja kiasi kwa siku?? Yaan mauzo. Mimi nilianza mwaka jana mwishoni, development mpk sasa nasema Asante Mungu.
so inspirational umetisha mzee ila mtaji ulioanza nao ni laki tano pekee?Kwanza niliona watu waliomaliza almost awam 3 wapo mtaan na mim nngefuata
So nilinunua diary na kulist biashara 5 ntakazoweza kuzifanya....nkapiga hesabu ya mtaji maana nilibakiwa na boom 1 tuuu...!!ilikuwa kama 520k
Nkachanganua biashara zote nkaona fursa ipo kwenye duka....na kama bajet ikiwa haiend niende kwenye kilimo
Baada ya kuchanganua wapi kuna wepesi zaidi ndipo nilipoona fursa kwenye duka
Ilikuw bdo mwezi m1 nimalize UE nkaandka barua ya kuahirisha masomo....!!nkauza almost kila kitu maana nlkuwa nmpanga...!!then nkarudi dsm kupambana rasmi(hapo niliowaacha chuo walinisema saana....na skumuambia mtu yyte home kama nmeahirisha masomo....MPAKA SASA)
Nikafungua frem nkaweka vitu kulingana na mtaji nlonao....nkawela huduma ya vocha za kurusha na kuchajisha cm....kazi ikaanza
Nilipokea changamoto maana kulikuwa na maduka mengine ma3 jiran nami...lkn sikukata tamaa...!!nilipambana just kwa kuwa mcheshi na mkarimu kwa wateja...!!
Sikuchukua faida bali niliizungusha humo humo mpk duka lilipoanza kukua...!!
Nilipambana kujaza vitu....na kujifunza kupitia kwa wauza maduka wengne....kuna muda ilinibidi nitoe pesa kununua kitu ili tu maswali yangu yajibiwe...!!
Now Maisha yanaenda...sijafika nnapotaka lkn kesho yangu naiona
Nimepanga chumba
Kila kitu nmeweka
Nakula nnachotaka
Wale waliomaliza chuo tuliosoma pamoja wanaona aibu ht kuniangalia...!!wengne wapo mikoan wananiomba waje lkn kwakweli sijafikia level ya kuajiri mtu bado...na pia nnajua hii biashara ukmuachia bnadam mwenye majukum itaanguka
Kkubwa ni kuwa tusikate tamaa....!!Tusimsahau Mungu pia
Lakini kkubwa Mapenzi tupunguze kidooogo...tufocus kwenye kutafta pesa
View attachment 1181143View attachment 1181144View attachment 1181145View attachment 1181146View attachment 1181147View attachment 1181148View attachment 1181149View attachment 1181150View attachment 1181153View attachment 1181154View attachment 1181156
genius mvivu nimeona hata kwenye uandishi wako kuna kila dalili ya uvivu...oky kila la kheri na harakati zako
Daaah kweli uko Ni kupishana na baraka kakaKosa kubwa n wewe....!!Mama anakuombea usome ufaulu....wew unauza mitumba....!!unapishana na baraka....baraka zinapita mfugale juu....wew unapita chini
Pole sana ndugu.Inaonekana kibiashara hukufanya kitu kinachoitwa upembuzi yakinifu.Aina ya biashara uliyoichagua uliichagua kwa sababu tu uliona una mtaji mkononi.Naanza kwa kuwasalimu ndugu zangu wa JF
Directly niende kwenye mada, mimi ni kijana umri wa miaka 21, nilimalza A-LEVEL mwaka jana na nikachaguliwa kujiunga chuo.
Even though nilikidhi vigezo ila sikuweza kuchaguliwa course niliyoitaka. Kutokana na umasikini na ufukara ulioikumba familia yangu ilinilazimu nikasome course hiyo hiyo, hivyo maisha yangu ya chuo sikuwah kuwa na furaha kutokana na kusoma kitu ambacho sikipendi hali iliyopelekea kupata supplementary course nne kati ya saba kwa semester ya kwanza.
Hali hiyo ilnikatsha tamaa na kuamua kuchukua maamuzi magumu ya kuacha chuo na kujiingiza kwenye ujasiriamali. Boom la mwisho kupokea ilinilazimu niondoke nalo na kuanza maisha mapya Jijini Dar. Nilitafuta sehemu local nikalipa pango la miezi mitatu na kuanza biashara ya kuuza mtumba.
Hadi sasa nimepotez mtaji na sijui nini la kufanya na hadi dakika hii mama kjijini anajua niko chuoni nasoma nikamkomboe kwenye umasikini.
So what I request my dear sisters and brothers, kama kuna mtu yeyote anaweza kunipa kazi ya kufanya niko tayari maana hapa pango limeisha na sina hela ya kulipa tena pango. Nawaz nirudi kjijini ila sijui namweleza nini mama akanielewa.
Pia kama kuna mfadhili yuko tayari kunisomesha tuandikiane mkataba nimlipe nikipat kazi kwa riba ile ile ya HESLB maana kule siwezi kukopesheka tena mpaka nilipe kiasi fulani nitashukuru.
Ahsantee
Halafu kitu kingine biashara sio vitu....biashara n muuzaji...muuzaji akiwa dhaifu bas lazma biashara lazma ianguke
Half kngne usikurupuke...fanya uchunguzi....!!
Mimi mwenyew nilipostpone masomo mwaka wa mwsho baada ya kuona ntamaliza boom bila ya kujiandaa na maisha...maana hali ya ajira niliiona
Lakini nilifanya research miezi mi3 kabla biashara gn ya kuweka na jinsi ya kuisimamia...mpk sasa mambo yanaenda vizuri tu
View attachment 1181065
Uko vzr mkuu, pia goli lako inaonekana liko center nzr sana, mauzo ni ya kuridhisha mno, ukikomaa ndan ya mwaka mmoja kwa mauzo hayo unafungua goli jingine la maana tu.Nilianza 2017 baada ya kuacha chuo...!!kwa sasa mauzo ya chini sana ni 140k...coz mtaan vingi nnavyo mimi...na leo nmetoka kuongeza vngne vpyaa...just najtahd hili duka liza jingne
Hongera mkuuKwanza niliona watu waliomaliza almost awam 3 wapo mtaan na mim nngefuata
So nilinunua diary na kulist biashara 5 ntakazoweza kuzifanya....nkapiga hesabu ya mtaji maana nilibakiwa na boom 1 tuuu...!!ilikuwa kama 520k
Nkachanganua biashara zote nkaona fursa ipo kwenye duka....na kama bajet ikiwa haiend niende kwenye kilimo
Baada ya kuchanganua wapi kuna wepesi zaidi ndipo nilipoona fursa kwenye duka
Ilikuw bdo mwezi m1 nimalize UE nkaandka barua ya kuahirisha masomo....!!nkauza almost kila kitu maana nlkuwa nmpanga...!!then nkarudi dsm kupambana rasmi(hapo niliowaacha chuo walinisema saana....na skumuambia mtu yyte home kama nmeahirisha masomo....MPAKA SASA)
Nikafungua frem nkaweka vitu kulingana na mtaji nlonao....nkawela huduma ya vocha za kurusha na kuchajisha cm....kazi ikaanza
Nilipokea changamoto maana kulikuwa na maduka mengine ma3 jiran nami...lkn sikukata tamaa...!!nilipambana just kwa kuwa mcheshi na mkarimu kwa wateja...!!
Sikuchukua faida bali niliizungusha humo humo mpk duka lilipoanza kukua...!!
Nilipambana kujaza vitu....na kujifunza kupitia kwa wauza maduka wengne....kuna muda ilinibidi nitoe pesa kununua kitu ili tu maswali yangu yajibiwe...!!
Now Maisha yanaenda...sijafika nnapotaka lkn kesho yangu naiona
Nimepanga chumba
Kila kitu nmeweka
Nakula nnachotaka
Wale waliomaliza chuo tuliosoma pamoja wanaona aibu ht kuniangalia...!!wengne wapo mikoan wananiomba waje lkn kwakweli sijafikia level ya kuajiri mtu bado...na pia nnajua hii biashara ukmuachia bnadam mwenye majukum itaanguka
Kkubwa ni kuwa tusikate tamaa....!!Tusimsahau Mungu pia
Lakini kkubwa Mapenzi tupunguze kidooogo...tufocus kwenye kutafta pesa
View attachment 1181143View attachment 1181144View attachment 1181145View attachment 1181146View attachment 1181147View attachment 1181148View attachment 1181149View attachment 1181150View attachment 1181153View attachment 1181154View attachment 1181156
Tuombeane uzima ndugu...tutafika tuuUko vzr mkuu, pia goli lako inaonekana liko center nzr sana, mauzo ni ya kuridhisha mno, ukikomaa ndan ya mwaka mmoja kwa mauzo hayo unafungua goli jingine la maana tu.
Nilianza na kama laki 3...maan ilinibidi nisubiri mpk bodi initumie pesa...!!hyo laki 3 ilibakia baada ya kuuza vituso inspirational umetisha mzee ila mtaji ulioanza nao ni laki tano pekee?
Wew waona foma....lakini mimi nnaona hela zangu humo!Mbona hili duka limejaa foma gold?
Kwanza niliona watu waliomaliza almost awam 3 wapo mtaan na mim nngefuata
So nilinunua diary na kulist biashara 5 ntakazoweza kuzifanya....nkapiga hesabu ya mtaji maana nilibakiwa na boom 1 tuuu...!!ilikuwa kama 520k
Nkachanganua biashara zote nkaona fursa ipo kwenye duka....na kama bajet ikiwa haiend niende kwenye kilimo
Baada ya kuchanganua wapi kuna wepesi zaidi ndipo nilipoona fursa kwenye duka
Ilikuw bdo mwezi m1 nimalize UE nkaandka barua ya kuahirisha masomo....!!nkauza almost kila kitu maana nlkuwa nmpanga...!!then nkarudi dsm kupambana rasmi(hapo niliowaacha chuo walinisema saana....na skumuambia mtu yyte home kama nmeahirisha masomo....MPAKA SASA)
Nikafungua frem nkaweka vitu kulingana na mtaji nlonao....nkawela huduma ya vocha za kurusha na kuchajisha cm....kazi ikaanza
Nilipokea changamoto maana kulikuwa na maduka mengine ma3 jiran nami...lkn sikukata tamaa...!!nilipambana just kwa kuwa mcheshi na mkarimu kwa wateja...!!
Sikuchukua faida bali niliizungusha humo humo mpk duka lilipoanza kukua...!!
Nilipambana kujaza vitu....na kujifunza kupitia kwa wauza maduka wengne....kuna muda ilinibidi nitoe pesa kununua kitu ili tu maswali yangu yajibiwe...!!
Now Maisha yanaenda...sijafika nnapotaka lkn kesho yangu naiona
Nimepanga chumba
Kila kitu nmeweka
Nakula nnachotaka
Wale waliomaliza chuo tuliosoma pamoja wanaona aibu ht kuniangalia...!!wengne wapo mikoan wananiomba waje lkn kwakweli sijafikia level ya kuajiri mtu bado...na pia nnajua hii biashara ukmuachia bnadam mwenye majukum itaanguka
Kkubwa ni kuwa tusikate tamaa....!!Tusimsahau Mungu pia
Lakini kkubwa Mapenzi tupunguze kidooogo...tufocus kwenye kutafta pesa
View attachment 1181143View attachment 1181144View attachment 1181145View attachment 1181146View attachment 1181147View attachment 1181148View attachment 1181149View attachment 1181150View attachment 1181153View attachment 1181154View attachment 1181156
MKuu hongera sana.Kwanza niliona watu waliomaliza almost awam 3 wapo mtaan na mim nngefuata