Niliacha chuo ili nifanye biashara, sasa mtaji umekatika sijui nifanye nini?

Naanza kwa kuwasalimu ndugu zangu wa JF

Directly niende kwenye mada, mimi ni kijana umri wa miaka 21, nilimalza A-LEVEL mwaka jana na nikachaguliwa kujiunga chuo.

Even though nilikidhi vigezo ila sikuweza kuchaguliwa course niliyoitaka. Kutokana na umasikini na ufukara ulioikumba familia yangu ilinilazimu nikasome course hiyo hiyo, hivyo maisha yangu ya chuo sikuwah kuwa na furaha kutokana na kusoma kitu ambacho sikipendi hali iliyopelekea kupata supplementary course nne kati ya saba kwa semester ya kwanza.

Hali hiyo ilnikatsha tamaa na kuamua kuchukua maamuzi magumu ya kuacha chuo na kujiingiza kwenye ujasiriamali. Boom la mwisho kupokea ilinilazimu niondoke nalo na kuanza maisha mapya Jijini Dar. Nilitafuta sehemu local nikalipa pango la miezi mitatu na kuanza biashara ya kuuza mtumba.

Hadi sasa nimepotez mtaji na sijui nini la kufanya na hadi dakika hii mama kjijini anajua niko chuoni nasoma nikamkomboe kwenye umasikini.

So what I request my dear sisters and brothers, kama kuna mtu yeyote anaweza kunipa kazi ya kufanya niko tayari maana hapa pango limeisha na sina hela ya kulipa tena pango. Nawaz nirudi kjijini ila sijui namweleza nini mama akanielewa.

Pia kama kuna mfadhili yuko tayari kunisomesha tuandikiane mkataba nimlipe nikipat kazi kwa riba ile ile ya HESLB maana kule siwezi kukopesheka tena mpaka nilipe kiasi fulani nitashukuru.

Ahsantee
sijui nikuzabue vibaoo
 
Kwanza niliona watu waliomaliza almost awam 3 wapo mtaan na mim nngefuata

So nilinunua diary na kulist biashara 5 ntakazoweza kuzifanya....nkapiga hesabu ya mtaji maana nilibakiwa na boom 1 tuuu...!!ilikuwa kama 520k

Nkachanganua biashara zote nkaona fursa ipo kwenye duka....na kama bajet ikiwa haiend niende kwenye kilimo

Baada ya kuchanganua wapi kuna wepesi zaidi ndipo nilipoona fursa kwenye duka

Ilikuw bdo mwezi m1 nimalize UE nkaandka barua ya kuahirisha masomo....!!nkauza almost kila kitu maana nlkuwa nmpanga...!!then nkarudi dsm kupambana rasmi(hapo niliowaacha chuo walinisema saana....na skumuambia mtu yyte home kama nmeahirisha masomo....MPAKA SASA)

Nikafungua frem nkaweka vitu kulingana na mtaji nlonao....nkawela huduma ya vocha za kurusha na kuchajisha cm....kazi ikaanza

Nilipokea changamoto maana kulikuwa na maduka mengine ma3 jiran nami...lkn sikukata tamaa...!!nilipambana just kwa kuwa mcheshi na mkarimu kwa wateja...!!

Sikuchukua faida bali niliizungusha humo humo mpk duka lilipoanza kukua...!!

Nilipambana kujaza vitu....na kujifunza kupitia kwa wauza maduka wengne....kuna muda ilinibidi nitoe pesa kununua kitu ili tu maswali yangu yajibiwe...!!

Now Maisha yanaenda...sijafika nnapotaka lkn kesho yangu naiona

Nimepanga chumba
Kila kitu nmeweka
Nakula nnachotaka

Wale waliomaliza chuo tuliosoma pamoja wanaona aibu ht kuniangalia...!!wengne wapo mikoan wananiomba waje lkn kwakweli sijafikia level ya kuajiri mtu bado...na pia nnajua hii biashara ukmuachia bnadam mwenye majukum itaanguka

Kkubwa ni kuwa tusikate tamaa....!!Tusimsahau Mungu pia

Lakini kkubwa Mapenzi tupunguze kidooogo...tufocus kwenye kutafta pesa

View attachment 1181143View attachment 1181144View attachment 1181145View attachment 1181146View attachment 1181147View attachment 1181148View attachment 1181149View attachment 1181150View attachment 1181153View attachment 1181154View attachment 1181156
Nimejifunza kitu ongera nigga.(Mapenzi tupunguze tutafute pesaa)
 
hongera mkuu umewainspire vijana wengi sana kwa hii feedback yko, kwamba pambana and never give up, je ulianza rasmi mwaka gani?? Unakunja kiasi kwa siku?? Yaan mauzo. Mimi nilianza mwaka jana mwishoni, development mpk sasa nasema Asante Mungu.
Nilianza 2017 baada ya kuacha chuo...!!kwa sasa mauzo ya chini sana ni 140k...coz mtaan vingi nnavyo mimi...na leo nmetoka kuongeza vngne vpyaa...just najtahd hili duka liza jingne
 
Kwanza niliona watu waliomaliza almost awam 3 wapo mtaan na mim nngefuata

So nilinunua diary na kulist biashara 5 ntakazoweza kuzifanya....nkapiga hesabu ya mtaji maana nilibakiwa na boom 1 tuuu...!!ilikuwa kama 520k

Nkachanganua biashara zote nkaona fursa ipo kwenye duka....na kama bajet ikiwa haiend niende kwenye kilimo

Baada ya kuchanganua wapi kuna wepesi zaidi ndipo nilipoona fursa kwenye duka

Ilikuw bdo mwezi m1 nimalize UE nkaandka barua ya kuahirisha masomo....!!nkauza almost kila kitu maana nlkuwa nmpanga...!!then nkarudi dsm kupambana rasmi(hapo niliowaacha chuo walinisema saana....na skumuambia mtu yyte home kama nmeahirisha masomo....MPAKA SASA)

Nikafungua frem nkaweka vitu kulingana na mtaji nlonao....nkawela huduma ya vocha za kurusha na kuchajisha cm....kazi ikaanza

Nilipokea changamoto maana kulikuwa na maduka mengine ma3 jiran nami...lkn sikukata tamaa...!!nilipambana just kwa kuwa mcheshi na mkarimu kwa wateja...!!

Sikuchukua faida bali niliizungusha humo humo mpk duka lilipoanza kukua...!!

Nilipambana kujaza vitu....na kujifunza kupitia kwa wauza maduka wengne....kuna muda ilinibidi nitoe pesa kununua kitu ili tu maswali yangu yajibiwe...!!

Now Maisha yanaenda...sijafika nnapotaka lkn kesho yangu naiona

Nimepanga chumba
Kila kitu nmeweka
Nakula nnachotaka

Wale waliomaliza chuo tuliosoma pamoja wanaona aibu ht kuniangalia...!!wengne wapo mikoan wananiomba waje lkn kwakweli sijafikia level ya kuajiri mtu bado...na pia nnajua hii biashara ukmuachia bnadam mwenye majukum itaanguka

Kkubwa ni kuwa tusikate tamaa....!!Tusimsahau Mungu pia

Lakini kkubwa Mapenzi tupunguze kidooogo...tufocus kwenye kutafta pesa

View attachment 1181143View attachment 1181144View attachment 1181145View attachment 1181146View attachment 1181147View attachment 1181148View attachment 1181149View attachment 1181150View attachment 1181153View attachment 1181154View attachment 1181156
so inspirational umetisha mzee ila mtaji ulioanza nao ni laki tano pekee?
 
The best investment for one year is to grow grains; the best investment for ten years is to grow trees; the best investment for a lifetime is to educate people. What you gain from one year’s growth will be grains; what you gain from ten years’ growth will be trees; what you gain from a hundred years’ growth will be people
 
Naanza kwa kuwasalimu ndugu zangu wa JF

Directly niende kwenye mada, mimi ni kijana umri wa miaka 21, nilimalza A-LEVEL mwaka jana na nikachaguliwa kujiunga chuo.

Even though nilikidhi vigezo ila sikuweza kuchaguliwa course niliyoitaka. Kutokana na umasikini na ufukara ulioikumba familia yangu ilinilazimu nikasome course hiyo hiyo, hivyo maisha yangu ya chuo sikuwah kuwa na furaha kutokana na kusoma kitu ambacho sikipendi hali iliyopelekea kupata supplementary course nne kati ya saba kwa semester ya kwanza.

Hali hiyo ilnikatsha tamaa na kuamua kuchukua maamuzi magumu ya kuacha chuo na kujiingiza kwenye ujasiriamali. Boom la mwisho kupokea ilinilazimu niondoke nalo na kuanza maisha mapya Jijini Dar. Nilitafuta sehemu local nikalipa pango la miezi mitatu na kuanza biashara ya kuuza mtumba.

Hadi sasa nimepotez mtaji na sijui nini la kufanya na hadi dakika hii mama kjijini anajua niko chuoni nasoma nikamkomboe kwenye umasikini.

So what I request my dear sisters and brothers, kama kuna mtu yeyote anaweza kunipa kazi ya kufanya niko tayari maana hapa pango limeisha na sina hela ya kulipa tena pango. Nawaz nirudi kjijini ila sijui namweleza nini mama akanielewa.

Pia kama kuna mfadhili yuko tayari kunisomesha tuandikiane mkataba nimlipe nikipat kazi kwa riba ile ile ya HESLB maana kule siwezi kukopesheka tena mpaka nilipe kiasi fulani nitashukuru.

Ahsantee
Pole sana ndugu.Inaonekana kibiashara hukufanya kitu kinachoitwa upembuzi yakinifu.Aina ya biashara uliyoichagua uliichagua kwa sababu tu uliona una mtaji mkononi.

Lakini pia inaonekana hata kwenye juhudi ya kile unachokifanya bado Nina mashaka kama unaweza kufanikiwa kwa sababu.Kwanza katika masomo 7 ulirudia 4 hii ina maana hata nusu ya masomo hukufanikiwa kupita wastani achalia mbali kufaulu.Ukaingia mtaani pia ukapata supplementary ya aina ya biashara uliyochagua.

Nimeandika haya ili kujifunza mambo 2.Kwanza kufanya upembuzi yakinifu kwa kila aina ya biashara unayotaka kufanya.Pili kuweka juhudi kwenye kila unachokifanya.Hapa haijalishi unapitia changamoto kiasi gani.Kwani changamoto ni sehemu ya maisha.

Mwisho.Ushauri wangu kwa sasa tafuta kibarua uanze upya.Pia, usitegemee suala la kupata mfadhili ili kulipa utakapopata kazi.Kazi kwa sasa hakuna na hats zikiwepo hazielwezi kuwatosheleza vijana wote.

Nakuombea pia ufanikiwe katika hayo.
 
Mkuu pole usikate tamaa ndio mitihani ya Dunia.Yaani hapo ulipofikia ndio maisha halisi ya ujasiriamali yanaanza.
Msingi anza na connection ya karibu then angalia biashara yenye mtaji kidogo pambana nayo.
Nenda hata kkoo ongea na chinga wanaotandika vitu ujifunze mdogo mdogo.cha msingi katika kipindi hiki usiwe mwoga.
Ni kawaida binadamu unapochukua abnormal decisions kukuhukumu so usikate tamaa.
You are the champion.Mateso,dharau, kudondoka na mafanikio yanakungoja genius.msingi komaa
 
I like it
Halafu kitu kingine biashara sio vitu....biashara n muuzaji...muuzaji akiwa dhaifu bas lazma biashara lazma ianguke

Half kngne usikurupuke...fanya uchunguzi....!!

Mimi mwenyew nilipostpone masomo mwaka wa mwsho baada ya kuona ntamaliza boom bila ya kujiandaa na maisha...maana hali ya ajira niliiona

Lakini nilifanya research miezi mi3 kabla biashara gn ya kuweka na jinsi ya kuisimamia...mpk sasa mambo yanaenda vizuri tu
View attachment 1181065
 
Nilianza 2017 baada ya kuacha chuo...!!kwa sasa mauzo ya chini sana ni 140k...coz mtaan vingi nnavyo mimi...na leo nmetoka kuongeza vngne vpyaa...just najtahd hili duka liza jingne
Uko vzr mkuu, pia goli lako inaonekana liko center nzr sana, mauzo ni ya kuridhisha mno, ukikomaa ndan ya mwaka mmoja kwa mauzo hayo unafungua goli jingine la maana tu.
 
Kwanza niliona watu waliomaliza almost awam 3 wapo mtaan na mim nngefuata

So nilinunua diary na kulist biashara 5 ntakazoweza kuzifanya....nkapiga hesabu ya mtaji maana nilibakiwa na boom 1 tuuu...!!ilikuwa kama 520k

Nkachanganua biashara zote nkaona fursa ipo kwenye duka....na kama bajet ikiwa haiend niende kwenye kilimo

Baada ya kuchanganua wapi kuna wepesi zaidi ndipo nilipoona fursa kwenye duka

Ilikuw bdo mwezi m1 nimalize UE nkaandka barua ya kuahirisha masomo....!!nkauza almost kila kitu maana nlkuwa nmpanga...!!then nkarudi dsm kupambana rasmi(hapo niliowaacha chuo walinisema saana....na skumuambia mtu yyte home kama nmeahirisha masomo....MPAKA SASA)

Nikafungua frem nkaweka vitu kulingana na mtaji nlonao....nkawela huduma ya vocha za kurusha na kuchajisha cm....kazi ikaanza

Nilipokea changamoto maana kulikuwa na maduka mengine ma3 jiran nami...lkn sikukata tamaa...!!nilipambana just kwa kuwa mcheshi na mkarimu kwa wateja...!!

Sikuchukua faida bali niliizungusha humo humo mpk duka lilipoanza kukua...!!

Nilipambana kujaza vitu....na kujifunza kupitia kwa wauza maduka wengne....kuna muda ilinibidi nitoe pesa kununua kitu ili tu maswali yangu yajibiwe...!!

Now Maisha yanaenda...sijafika nnapotaka lkn kesho yangu naiona

Nimepanga chumba
Kila kitu nmeweka
Nakula nnachotaka

Wale waliomaliza chuo tuliosoma pamoja wanaona aibu ht kuniangalia...!!wengne wapo mikoan wananiomba waje lkn kwakweli sijafikia level ya kuajiri mtu bado...na pia nnajua hii biashara ukmuachia bnadam mwenye majukum itaanguka

Kkubwa ni kuwa tusikate tamaa....!!Tusimsahau Mungu pia

Lakini kkubwa Mapenzi tupunguze kidooogo...tufocus kwenye kutafta pesa

View attachment 1181143View attachment 1181144View attachment 1181145View attachment 1181146View attachment 1181147View attachment 1181148View attachment 1181149View attachment 1181150View attachment 1181153View attachment 1181154View attachment 1181156
Hongera mkuu
 
Pambana mkuu,acha kuishi stoo

MKuu hongera sana.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom