Nile vyakula gani niongeze kilo 5 ndani ya wiki2?

Nile vyakula gani niongeze kilo 5 ndani ya wiki2?

Siku moja nilipika dagaa kwa mafuta ya baby care baada ya maisha kunichapa kofi, nilipogundua kuwa yale mafuta yanafaa ndiyo ikawa jadi yangu kupikia.

Aisee ndani ya siku chache niligeuka kuwa kibonge hadi nikawa naitwa kifutu, na hii ilisababisha nikose demu. Wala sikuumiza akili, niliamua tu kuwa mpiga nyeto matata sana hapa nchini.

Mbaga Jr what's up
Ulivyopotea umerudi nikajua kuwa utakuwa sawa..ndo umeharibika mno
Binti wa zamani
Mbaga Jr
 
Siku moja nilipika dagaa kwa mafuta ya baby care baada ya maisha kunichapa kofi, nilipogundua kuwa yale mafuta yanafaa ndiyo ikawa jadi yangu kupikia.

Aisee ndani ya siku chache niligeuka kuwa kibonge hadi nikawa naitwa kifutu, na hii ilisababisha nikose demu. Wala sikuumiza akili, niliamua tu kuwa mpiga nyeto matata sana hapa nchini.

Mbaga Jr what's up
Mafuta ya Baby caee ni unyama, yamenitoa mbali sana kwenye nyeto 🙌
 
Mafuta ya Baby caee ni unyama, yamenitoa mbali sana kwenye nyeto 🙌
Ni multipurpose sana, yaani ukiwa mjanja huwezi kuyakosa ndani.

Kwanza jina lenyewa linasadifu kuwa ni mahususi kwa ajili ya nyeto 'baby care' 😂
 
Watakuja kukushauri ule kitimoto na Bia za baridi ,vuguvugu na moto..

Mie ushauri wangu kama una Mwanaume fanya mapenz mara kwa mara (Amwagie ndani). Lala usingizi mzr mwili utaongezeka kwa afya...
Unataka aongezeke uzito sababu ya mimba au siyo?
 
Jenga utaratibu wa kula dinner kwenye restaurant hii iliyopo Chicago. Baada ya wiki mbili tu rafiki na ndugu zako watakusahau.

1769651196586.png
 
Watakuja kukushauri ule kitimoto na Bia za baridi ,vuguvugu na moto..

Mie ushauri wangu kama una Mwanaume fanya mapenz mara kwa mara (Amwagie ndani). Lala usingizi mzr mwili utaongezeka kwa afya...
Hii sio kweli 😀
 
Asubuhi, chapati, supu na pepsi baridi..
Tafuna tafuna chocolate 🍫za kutosha..
Mchana gonga wali wako, na pepsi,
Saa 10 hivi kandamiza kiepe yai na soda baridi..
Shida unakula kula vi snacks
Usiku kula saa 4 au saa 5, ugali wako na nyama nyingi.. piga na pepsi
Kesho yake gonga uji na blee banda ya kutosha
Saa 4 chapati, mixer na soda..
Irudie ratiba hii, ndani ya wiki 2 utaipata habari yake
Soda 5 kwa siku, hapo ndani ya miezi mitatu tayari umeshateneneza shida nyingine ya kisukari.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom