Kuna miaka nilikuwa pale udsm, sasa nilikuwa napga sana shuttle pori (sp), (mabibo>main campus), nlikuwa na rafiki yangu mmoja hv ambaye siku moja aliniamby njoo nikuonyeshe pa kula..lunch nilikuwa nakula pale chuon kariakoo cafe au huku coet.. Jion kwa mama mmoja anaitwa mama kifusi yupo pale mabibo kwa nje(remember: nilikuwa sinywi chai) siku isiyokuwa na jina huyo mchaga akanionyesha kwa mwarabu cafe(mabibo kwa nje) ikawa kila asbh nilianza kunywa pepsi baridi na ile mnaita donati mayai 1 pamoja na sharifu..nikitoka chuoni saa tisa au kumi n mwendo wa pepsi barid+donati yai 1+sharifu moja.
Pamoja na kuwa nilikuwa mwembamba, lakn ndan ya wiki 2 hadi tatu niliumuka nikawa kibonge had wa leo naitwa bonge..
Thanks to my LORD GOD zile nanihii hazijaisha, changamoto ni kuwa warembo vibonge wameishakuwa mama mkwe kwangu.
Binti wa zamani
secretarybird
Mbaga Jr