Nikuletee nini kutoka Tanzania wewe uliepo Kenya?

Sawa uko na mtu unayemjua uni link nae muuzaji huko but kama inawezekana. Huku nikijipanga kuja huko?
Kwa sasa sijui mtu yeyote. Lakini demand ipo. Kama una pesa unaweza kufunga safari na kuja Kenya kwa siku kadhaa na kusoma soko liko vipi. Huku haturuhusiwi kukata miti hovyo hovyo kwa hivyo mbao huwa tunatoa kwa majirani.
 
Mambo!

Nipe kazi nikuletee bidhaa(kitu gani) hapo katika mji wako wa Nairobi hata Mombasa?

Nipe list ya vitu unavyotaka nami nitakupa list ya vitu ninavyotaka nipeleke Tanzania.

Tutumie hili jukwaa kutunufaisha kibiashara Kati ya mataifa yetu mawili haya kwa business opportunities zilizopo Kati yetu Tanzania na Kenya
Alahuwabarrrrr! check this out for stragetic opportunities.
Juzi waziri waadhi lukuvi amefutiia mbali shamba ekari elufu kumi(10,000 hectares of land)(manguta manguta).mliki alikuwa ni jama wa kihindi.Huyu muhindi alimiliki hilo shamba kwa miaka thalathini.Fanya hesabu!!!!
What now? Kwa serious usitutiye mkenge ili kwafrahesha ma zezetas wenziyo.
Lapili na sisiri hapa nairobi geen garnet wananunuwa kwa beii nafu na haraka.
Wanaozileta si ma zezetas wa chama cha madudu.ukuta mtajenga tuu.
La tatu na la umuhimu,usiwe punda wa kutuleta madwa kulikevya kama kwaida yenu.
 
Kama wewe ni mwanabiashara shupavu basi funga safari uje. Usibebe mzigo au bidhaa yoyote. Kuja tu Kenya siku chache uchunguze kwanza soko liko vipi. Kisha utajua ni bidhaa gani zina uhaba kisha utafanya dili na wanunuzi. Usilete bidhaa bila kuja kwanza kujionea mambo yalivyo. Hapa Nairobi nyanya moja tunanunua shilingi kumi au ishirini kulingana na size ya nyanya. Mwageni nyanya huku ili bei ishuke.
Unaweza nipatia market trend ya nyanya,hoho na pilipili Kali zinakuwa na soko wakati gani jirani!?
 
View attachment 1819858

Imagine hyo soda inauzwa 50ksh wajamen Nan mkenya tuongee dili la kumpatia jamii za soda zinazo tengenezwa na Coca-Cola kutoka Tanzania.

Bila kurisk uwez pata kitu
True,I might add also post chama cha madudu rule.Generation gap of ages between 35 years old and less both men and women hsve great opportunity to make a change they deserve.
 
Phone and phone accessories znapatkana kwa price ip kwa Kenya Mtu unaweza funga safar kuja kuchukua mzgo uko na ukapata faida ukija kuuza hapa Tz
 
Tony254 & MK254 vipi huko kenya biashara ya mbao zakujengea nyumba, kunayo hiyo demand huko? Mtu aka push business kuja huko na hiyo mbao
Demand ya mbao ni kubwa sana hapa Kenya .Kama itawezekana supply directly kwa construction sites hapo ndio utapata best deals.
The prices will vary depending on the type of timber .Cypress will tend to cost more than Graveria etc.
 
Nyanya ukiileta Kenya huwezi kosa market. Kumekuwa na uhaba mkubwa wa nyanya hapa Kenya.
Niambie bei ya sasa ya nyanya huko Kenya.
Pia nina mpango wa kulima nyanya ya Kibo Star (Kenya) huki Tanzania inaitwa Nyota F1.
Je hoi nitapata soko la uhakika huko Kenya au ni aina isoyo pendwa?
 
Mbao ngumu za furniture au mbao laini kwa ajili ya shuttering/formwork?
Demand ya mbao ni kubwa sana hapa Kenya .Kama itawezekana supply directly kwa construction sites hapo ndio utapata best deals
 
Back
Top Bottom