The Knowledge Seeker
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 2,998
- 4,161
Sawa uko na mtu unayemjua uni link nae muuzaji huko but kama inawezekana. Huku nikijipanga kuja huko?Mbao zinahitajika Kenya sana. Kuja ufanye market survey. Huku Kenya tumekatazwa kukata misitu. Mbao tunatoa DR Congo na Tanzania.
Kwa sasa sijui mtu yeyote. Lakini demand ipo. Kama una pesa unaweza kufunga safari na kuja Kenya kwa siku kadhaa na kusoma soko liko vipi. Huku haturuhusiwi kukata miti hovyo hovyo kwa hivyo mbao huwa tunatoa kwa majirani.Sawa uko na mtu unayemjua uni link nae muuzaji huko but kama inawezekana. Huku nikijipanga kuja huko?
Alahuwabarrrrr! check this out for stragetic opportunities.Mambo!
Nipe kazi nikuletee bidhaa(kitu gani) hapo katika mji wako wa Nairobi hata Mombasa?
Nipe list ya vitu unavyotaka nami nitakupa list ya vitu ninavyotaka nipeleke Tanzania.
Tutumie hili jukwaa kutunufaisha kibiashara Kati ya mataifa yetu mawili haya kwa business opportunities zilizopo Kati yetu Tanzania na Kenya
Ala,mzee babu wa vikombe yupo na magufuli. Your kiti mtu soup venture will expand.wapelekee chakula, maji na umeme!
He is a designate wadanganikas ZEZETA.How does it feel being the only idiot in the thread?
Unaweza nipatia market trend ya nyanya,hoho na pilipili Kali zinakuwa na soko wakati gani jirani!?Kama wewe ni mwanabiashara shupavu basi funga safari uje. Usibebe mzigo au bidhaa yoyote. Kuja tu Kenya siku chache uchunguze kwanza soko liko vipi. Kisha utajua ni bidhaa gani zina uhaba kisha utafanya dili na wanunuzi. Usilete bidhaa bila kuja kwanza kujionea mambo yalivyo. Hapa Nairobi nyanya moja tunanunua shilingi kumi au ishirini kulingana na size ya nyanya. Mwageni nyanya huku ili bei ishuke.
True,I might add also post chama cha madudu rule.Generation gap of ages between 35 years old and less both men and women hsve great opportunity to make a change they deserve.View attachment 1819858
Imagine hyo soda inauzwa 50ksh wajamen Nan mkenya tuongee dili la kumpatia jamii za soda zinazo tengenezwa na Coca-Cola kutoka Tanzania.
Bila kurisk uwez pata kitu
Demand ya mbao ni kubwa sana hapa Kenya .Kama itawezekana supply directly kwa construction sites hapo ndio utapata best deals.
Niambie bei ya sasa ya nyanya huko Kenya.Nyanya ukiileta Kenya huwezi kosa market. Kumekuwa na uhaba mkubwa wa nyanya hapa Kenya.
importing directly to Tanzania via Alibaba might also be a cheaper option.Phone and phone accessories znapatkana kwa price ip kwa Kenya Mtu unaweza funga safar kuja kuchukua mzgo uko na ukapata faida ukija kuuza hapa Tz
Demand ya mbao ni kubwa sana hapa Kenya .Kama itawezekana supply directly kwa construction sites hapo ndio utapata best deals
za roofing, shuttering na formwork Ziko na demand kuliko furniture .Mbao ngumu za furniture au mbao laini kwa ajili ya shuttering/formwork?
Size and price?za roofing, shuttering na formwork Ziko na demand kuliko furniture .
Bila shaka ni treated au zafaa zote hata untreated kwa watu wa hali ya chini.za roofing, shuttering na formwork Ziko na demand kuliko furniture .