Niko addicted na Mlima Kilimanjaro! I love this Mountain...

Niko addicted na Mlima Kilimanjaro! I love this Mountain...

Hapo base ya mlima nimefika twice. Mara ya mwisho nilikutana na akina Sikujua (wa dada wa kizungu watatu) walitushangaa sana eti hatujawahi kukwea mlima Kilimanjaro.....nilijihisi vibaya sana.
Kilele hujaenda mkuu?
 
Wadau mkifika 1O tu itakuwa vizuri sana
 
Mkuu mi nilijaribu mwaka jana nikaishia barafu kwa kupitia Machame mwaka huu nataka kukata rufaa nitakutafuta tuone tunafanyaje. Ila nakubaliana nawe ni bonge la adventure tamu sana
Mkuu! Hongera kwa Hatua nzuri, Barafu ni point nzuri sana!!
Try again mkuu you can make it to the Top.
 
30199f2c29f1c5b66fad7bc37f7ec5a9.jpg
Napaona kituo cha barafu kabla ya kuelekea ku summit.....hata kwa kulipwa sitaenda tena kupanda mlima Kilimanjaro [emoji18] [emoji17] [emoji18] [emoji17]
 
Napaona kituo cha barafu kabla ya kuelekea ku summit.....hata kwa kulipwa sitaenda tena kupanda mlima Kilimanjaro [emoji18] [emoji17] [emoji18] [emoji17]
Why my dear...
Uliweza kwenda Summit lakini?
Njia ya Machame ni rahisi sana kwenda Uhuru Peak.
 
Mkuu mi nilijaribu mwaka jana nikaishia barafu kwa kupitia Machame mwaka huu nataka kukata rufaa nitakutafuta tuone tunafanyaje. Ila nakubaliana nawe ni bonge la adventure tamu sana
Ahahahahah.....naiheshimu njia ya machame, barango kwenda kituo cha karanga mweee.........jitahidi urudi tena ufike angalau hadi stela point then next time unatia timu juu kabisa kileleni
 
Back
Top Bottom