Sauli
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 424
- 597
Nashukuru sana,Nimeshakujibu kiongozi
Niruhusu ni paste hapa labda yawezekana kupata jamaa wengine ili tukaelewana kujumuika pamoja na kushare gharama...
Nashukuru sana,Nimeshakujibu kiongozi
Hapa chini ndo majibu niliyopewa na mkuu kiwatenguNingefurahi kama ni gharama ungeziweka hapa ili wengi tufaidike.ujue kitanzania hata ukitembelea website huwezi pata zile gharama halisi mpaka upate mtanzania aliyeenda huko.
Sawa Mkuu in Addition hii njia ya Marangu inahitaji appointment!!(booking) Kwasababu malazi yake ni kwenye huts tofauti na route nyingine zote Umbwe, Machame, Lemosho, Rongai e.t.c ambazo ni kulala kwenye ma tent...Hapa chini ndo majibu niliyopewa na mkuu kiwatengu
Salamu Mkuu habari ni nzuri na nikupongeze sana kwa kuwa na nia yakupanda mlima Kilimanjaro.
Mkuu kupanda mlima Kilimanjaro kuna njia kama nne hivi za kupandia na kila njia inatofautiana idadi ya siku za kupanda so hata gharama zinatofautiana..
Njia rahisi zaidi na ya siku chache ni ile ya Marangu, unaweza kutumia siku 5 tu mpaka kileleni na kurudi chini.
Fees ya KINAPA ni Tsh. 10,000 kwa siku + 1,800 (VAT). Jumla inakuwa 11,800/= per day. Utaizidisha mara tano sasa(5days).
Fee nyingine utakayopaswa kulipa ni Rescue fee ni kama Tsh. 3,000/= kwa siku zote 5.
Hapo umemalizana na KINAPA ambao ndiyo wanasimamia shughuli yote ya mlima...
Gharama nyingine hapo sasa ni za kwako binafsi, lazima uwe na mwongozaji(guide) ambaye minimum unaweza kumlipa Tsh. 25,000/= minimum per day X 5days ambayo inategemeana na msimu pia...
Utapaswa kuwa na Mbeba mzigo mmoja au wawili pamoja na mpishi (kama utahitaji kupikiwa)...mbadala wa kupikiwa ni kubeba dry food, ambayo sio recommended sana.
Mbeba mzigo mmoja unaweza kumlipa kuanzia Tsh. 15,000/= kwa siku.X 5 days.
Na mpishi ni kuanzia Tsh. 20,000/= kwa siku X 5days...
Hapo nimekutajia mambo muhimu yakulipia.
Mkuu gharama kubwa ya kupanda Mlima Kilimanjaro iko kwenye Magaidi, na wasaidizi wengine.
Ushauri wangu kama unaona hiyo gharama hutaimudu peke yako. Tafuta watu kama 5 mpaka 10 wenye interest yakupanda mlima Kilimanjaro mshare gharama huwa inasaidia sana.
Mfano, mkiwa watu 10 Watanzania au Wa ndani ya Afrika Mashariki.
Mnaweza kutoa kiasi cha Tsh. 260,000/= Kila mmoja mkapanda mlima vizuri kabisa tena hapo mnapata hadi Climbing gears (mavazi ya kupandia)...
Karibu sana mkuu.
Usisite kuniuliza swali kama utakuwa nalo.
Sorry kwa kuchelewa kukujibu nilikuwa mbali kidogo na Mtandao.
Kabisa kabisa Teacher... Ulishapanda lakini??Dah,Marangu Kyala ndio asili ya baba yangu.Marangu Kiraracha ndio asili ya mama yangu.Tuacheni utani,view ya ml Kilimanjaro a.k.a Kilema Kyaro ni habari nyingine. Am so so proudly to be Tanzanian.Mungu ibariki nchi yetu na bara letu!
Aisee natafuta guide wa mlima! utanisaidiaje!? naomba uni PMHebu kama hujawahi kuupanda na huna tatizo lolote lile kiafya...Do it!!
Kila mtanzania na Mwana Afrika Mashariki yeyote yule anastahili kufurahia....
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ulifika kileleni mkuu? Hebu waambie wanajukwaa ladha ya huu mlima, binafsi nimeukwea kama mara nne hivi...Two Times Marangu Route...Yap,nilishapanda Kiwatengu,kipindi nipo Secondary.Ila nina plan ya kupanda tena mkuu!
Ma guide mbona wengi sana na wala sio wakutafuta...Aisee natafuta guide wa mlima! utanisaidiaje!? naomba uni PM
Hizo nyingi nimezipiga mwenyewe mkuu.tangu naanza kufahamu picha za mlima huo, Nashawishika kusema hizi za kwako ndizo zimeonesha hali halisi ya mlima huo nyingine sijui zilikua zinapigwa kiujanjaujanja tu hata website ya malia asili huwezi kukuta za aina hii.
wajifunze kutoka kwako ili wautangaze vilivyo adante mkuu kwa kushea
Daah imekaa poa sana hii. Nikipata watu wa kushare nao cost lazima nipandeHapa chini ndo majibu niliyopewa na mkuu kiwatengu
Salamu Mkuu habari ni nzuri na nikupongeze sana kwa kuwa na nia yakupanda mlima Kilimanjaro.
Mkuu kupanda mlima Kilimanjaro kuna njia kama nne hivi za kupandia na kila njia inatofautiana idadi ya siku za kupanda so hata gharama zinatofautiana..
Njia rahisi zaidi na ya siku chache ni ile ya Marangu, unaweza kutumia siku 5 tu mpaka kileleni na kurudi chini.
Fees ya KINAPA ni Tsh. 10,000 kwa siku + 1,800 (VAT). Jumla inakuwa 11,800/= per day. Utaizidisha mara tano sasa(5days).
Fee nyingine utakayopaswa kulipa ni Rescue fee ni kama Tsh. 3,000/= kwa siku zote 5.
Hapo umemalizana na KINAPA ambao ndiyo wanasimamia shughuli yote ya mlima...
Gharama nyingine hapo sasa ni za kwako binafsi, lazima uwe na mwongozaji(guide) ambaye minimum unaweza kumlipa Tsh. 25,000/= minimum per day X 5days ambayo inategemeana na msimu pia...
Utapaswa kuwa na Mbeba mzigo mmoja au wawili pamoja na mpishi (kama utahitaji kupikiwa)...mbadala wa kupikiwa ni kubeba dry food, ambayo sio recommended sana.
Mbeba mzigo mmoja unaweza kumlipa kuanzia Tsh. 15,000/= kwa siku.X 5 days.
Na mpishi ni kuanzia Tsh. 20,000/= kwa siku X 5days...
Hapo nimekutajia mambo muhimu yakulipia.
Mkuu gharama kubwa ya kupanda Mlima Kilimanjaro iko kwenye Magaidi, na wasaidizi wengine.
Ushauri wangu kama unaona hiyo gharama hutaimudu peke yako. Tafuta watu kama 5 mpaka 10 wenye interest yakupanda mlima Kilimanjaro mshare gharama huwa inasaidia sana.
Mfano, mkiwa watu 10 Watanzania au Wa ndani ya Afrika Mashariki.
Mnaweza kutoa kiasi cha Tsh. 260,000/= Kila mmoja mkapanda mlima vizuri kabisa tena hapo mnapata hadi Climbing gears (mavazi ya kupandia)...
Karibu sana mkuu.
Usisite kuniuliza swali kama utakuwa nalo.
Sorry kwa kuchelewa kukujibu nilikuwa mbali kidogo na Mtandao.
Mkuu y tusifanye mpango wa kupata others tupande tupande aiseeHebu kama hujawahi kuupanda na huna tatizo lolote lile kiafya...Do it!!
Kila mtanzania na Mwana Afrika Mashariki yeyote yule anastahili kufurahia....
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mkuu nilikuwa na hilo wazo, ni ku plan tu. Tunaweza pata na wengine tukijitahidi kuuliziaDaah imekaa poa sana hii. Nikipata watu wa kushare nao cost lazima nipande
Poa mkuu naja PMMkuu nilikuwa na hilo wazo, ni ku plan tu. Tunaweza pata na wengine tukijitahidi kuulizia
Usijaribu kupanda huo mlima jmn, nliwah panda nikaishia hapo chini kwenye vyoo vya shimo..nishasahau jina (last camp ya kupitia marangu).
Siji kupanda teena aisee, baadhi ya maeneo siez sahau
Jiwe la ukoyo
Last water
Saddle