Miss u too dear hivi umepotelea wapi sikuoni
Thanks love ️
Vaa nguo zenye heshima, unavaa mitambala halafu unaenda kukutana na watu waliokuzidi umri, poor you.....
Daah inanifit kabisa. Ndaga fijonkamu kama inakutosha pitia uichukue hii
Asante
Nakuombea uolewe dada yangu,
😂 😂 😂 😂 😂Daslama bhana! Hiiiiiiiii, si wanaume Wala wanawake 🤣🤣🤣
shida ni pale unakuta watu kadhaa hapo ofisini washapita.Kama first date hapana.
Kama unakwenda kwenye sherehe ya kazini peke yako hapana lakini upo na mume/boyfriend ipo poa tu.
Niwe mkweli hapa kama kazini kwako kuna fisi wakokwe hawatokuwacha salama next week.
Ndukiiiii