Nikivaa hivi ni sawa?

Hiyo outfit ilikuwa nzuri sana na kama ilikuwa mtoko na marafiki imekuwa poa zaidi

Fashion are for those who dares
 
Vaa nguo zenye heshima, unavaa mitambala halafu unaenda kukutana na watu waliokuzidi umri, poor you.....
How-to-Dress-in-Morocco-Morocc-Dress-Code-The-Hostel-Girl-11-1024x682.jpg
 
Kama first date hapana.
Kama unakwenda kwenye sherehe ya kazini peke yako hapana lakini upo na mume/boyfriend ipo poa tu.
Niwe mkweli hapa kama kazini kwako kuna fisi wakokwe hawatokuwacha salama next week.


Ndukiiiii
shida ni pale unakuta watu kadhaa hapo ofisini washapita.

sorry mleta mada a don mini it.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom