Nikiri wazi: Namfahamu shetani

Nikiri wazi: Namfahamu shetani

Kwaaujumla huyu jamaa ni muongo mkubwa, kwayeye kusema anamjua shetani na kumfahamu,sheteni kwaujumla ni maraika mwenye upendo mkubwa kwa mungu wake na waliumwengu ila anachukia mwanadamu mwenye zarau na ambae hajitumi na hataki mwanadamu mzembe,kwahiyo,mtu anaesema eti shetani ni mbaya huyo ni mzembe kwa kila jambo
Aisee...! Hivi hata wewe uko kama huu muandiko wako!
 
Mkuu nafikiri Kiranga hana nia ya kumuona shetani.. Kama ana hilo hitaji aweke wazi, hata mkuu mshana jr anaweza kumpeleka bila gharama yoyote lakini vigezo na masharti azingatie.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Mkuu mshana jr Shetani ana Rangi gani? . Binadamu wako weusi na Weupe je kuna mahusiano ya Rangi zetu na uwapo wa shetani na Muumba kwa minajili ya utofauti kwenye Rangi.
Watu WEUSI mmelaaniwa. Imewekwa wazi kwenye biblia jinsi watu weusi mlivyotokea....
 
Kiulisia hakuna Shetani japo Mungu anaweza kufikirika/kudhania kwamba yupo!.Hizi ni propaganda tu za Watu weupe kupotosha Wanadamu ili kuendelea kuwatawala watu wa Afrika!
 
Mkuu nafikiri Kiranga hana nia ya kumuona shetani.. Kama ana hilo hitaji aweke wazi, hata mkuu mshana jr anaweza kumpeleka bila gharama yoyote lakini vigezo na masharti azingatie.
Shetani, Mungu, Malaika, jinni, uchawi, popobawa etc ni uongo mtupu.

Hakuna vitu kama hivyo.

Kwa hiyo mtu kama mimi siwezi kutaka kumuona shetani.

Nikitaka kumuona shetani ni sawa na intake kuona pembetatu duara.
 
View attachment 393480

Kwa wale wachangiaji wa kukurupuka watofautishe kati ya kujua na kufahamu
Nakiri wazi kabisa kuwa namjua shetani...huyu kiumbe mbaya kabisa mwenye kutisha na kuogofya hasa.

Kwa mara ya kwanza nilimfahamu shetani kupitia maandiko na simulizi kwenye imani imani yangu...nikasoma na kusimuliwa vizuri tu kuhusu hiki kiumbe na jinsi lilivyokaa kimvuto (japo kinatisha sana kwa baadhi ya picha)nikamfahamu shetani kwa njia hiyo
Kilichofuatia ni kumjua shetani...nimekuwa mshirikina waje kwa miaka mingi tumefanya naye kazi pamoja, tuneshirikiana kwenye mengi na nimegundua ni mtu wa aina gani...shetani ni shetani tuu hata awe na sura nzuri ya kuvutia kama malaika hata akupe kila kitu..sio mwema kwako na daima anania maovu.

Hii ni siku ya mapumziko na ya ibada kwa wengine lakini wengi muda huu wako kazini wakishiriana kufanya kazi na shetani..cha kushangaza ukiwaukiza wanaweza kukana kabisa kumjua wala kumfahamu shetani na huu ndio uhalisia wetu UNAFIQUE

View attachment 393483

View attachment 393484View attachment 393485
Uwii yesu wangu!!sijui nitaota!![emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
MUNGU nifundishe kupambanua kelele za watu na wanyama
 
View attachment 393480

Kwa wale wachangiaji wa kukurupuka watofautishe kati ya kujua na kufahamu
Nakiri wazi kabisa kuwa namjua shetani...huyu kiumbe mbaya kabisa mwenye kutisha na kuogofya hasa.

Kwa mara ya kwanza nilimfahamu shetani kupitia maandiko na simulizi kwenye imani imani yangu...nikasoma na kusimuliwa vizuri tu kuhusu hiki kiumbe na jinsi lilivyokaa kimvuto (japo kinatisha sana kwa baadhi ya picha)nikamfahamu shetani kwa njia hiyo
Kilichofuatia ni kumjua shetani...nimekuwa mshirikina waje kwa miaka mingi tumefanya naye kazi pamoja, tuneshirikiana kwenye mengi na nimegundua ni mtu wa aina gani...shetani ni shetani tuu hata awe na sura nzuri ya kuvutia kama malaika hata akupe kila kitu..sio mwema kwako na daima anania maovu.

Hii ni siku ya mapumziko na ya ibada kwa wengine lakini wengi muda huu wako kazini wakishiriana kufanya kazi na shetani..cha kushangaza ukiwaukiza wanaweza kukana kabisa kumjua wala kumfahamu shetani na huu ndio uhalisia wetu UNAFIQUE

View attachment 393483

View attachment 393484View attachment 393485
Mshana nilishakustukia,nilishajua kwamba you are of the devil.Sasa Mshana kama unajua Shetani ni mbaya kiasi hicho, kwa nini usiachane naye?Ponya roho yako ndugu yangu,muamini Mungu wa kweli.
 
Na huu ndio UNAFIQUE [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Sawa uamuzi unao mwenyewe.Ila kama umesema Shetani ni mbaya,don't you think there is something you need to do.Certainly if there is a Satan, there is a true God out there.
 
Saws uamuzi unao mwenyewe.Ila kama umesema Shetani ni mbaya,don't you think there is something you need to do.Certainly if there is a Satan, there is a true God out there.
Perfect truth
 
Back
Top Bottom