Nikiri wazi: Namfahamu shetani

Nikiri wazi: Namfahamu shetani

kiranga haamini uwepo wa huyu kiumbe,

uliwahi kumwona shetani? kujua kitu lazima uwe umekiona ila unafahamu kitu kwa kusimuliwa
Mkuu nafikiri Kiranga hana nia ya kumuona shetani.. Kama ana hilo hitaji aweke wazi, hata mkuu mshana jr anaweza kumpeleka bila gharama yoyote lakini vigezo na masharti azingatie.
 
Ukweli mchungu
Et unataka kuombewa wakati unakinyongo na mpinzani wako?!

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
1472999455953.png
hihihiiii
 
"nimekuashilikiana wake nimefanyanae kazi pamoja tumeshilikiana meni"
utawadanganya sana
 
Hivi shetani ni jinsia gani haswa? Me ama Ke?
Je ana undugu wowote na sisi binadamu?
 
Mimi ni mwanadamu na naishi kama shetani, je kwa mungu nina dhambi?
 
Hivi shetani ni jinsia gani haswa? Me ama Ke?
Je ana undugu wowote na sisi binadamu?
Satan is formless...na ni sehemu ya uumbaji kwahiyo ni kizazi kama kilivyo cha mwanadamu na ana mahusiano makubwa mno na wenye uhai
 
Umbo gani hilo mkuu, wakati anaweza kujibadilisha kua hata malaika wa nuru
Umeshawahi kumuona malaika au stori tu? Kama hujawahi kumuona umejuaje kama anaweza kubadilika kuwa malaika?Na kama umesikia kwa watu sema umesikia na huna uhakika na kile unachokisema.
 
We jamaa una psychopathology, una delusion of religiosity, delusion of grandiosity,visual hallucination na illusions.....kanywe dawa inaitwa haloperidol uone kama utaendelea na hizo dalili mkuu
Duu asante kwa kututambia na misamiati ya kizungu...ungekuwa mahiri ungeandika kikwetu ila sio mbaya sana kwakuwa kuna kamusi ngoja tukadukue
 
Back
Top Bottom