Nikiri wazi: Namfahamu shetani

Nikiri wazi: Namfahamu shetani

Umamfanyia hivi mnyama asiye na hatia... Asiyeweza kujitetea... Asiye na nguvu... Unamkata miguu akiwa hai bila ganzi... Unamuacha aende hivyo na maumivu yake makali.. Kisa ubinafsi na choyo cha kupata zaidi... Halafu hapa unakana humjui shetani wala huna ushirika naye
220px-William_Holman_Hunt_-_The_Scapegoat.jpeg
 
Wamisionari walituonyesha shetani kama jitu jeusi la kutisha!! Ndio maana niliamua kubaki na imani yangu ya asili.
 
Hata Tanzania tumebahatika kuletewa shetani na ccm.
[emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji13][emoji13][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji87][emoji87][emoji87][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]
 
View attachment 393480

Kwa wale wachangiaji wa kukurupuka watofautishe kati ya kujua na kufahamu
Nakiri wazi kabisa kuwa namjua shetani...huyu kiumbe mbaya kabisa mwenye kutisha na kuogofya hasa.

Kwa mara ya kwanza nilimfahamu shetani kupitia maandiko na simulizi kwenye imani yangu...nikasoma na kusimuliwa vizuri tu kuhusu hiki kiumbe na jinsi lilivyokaa kimvuto (japo kinatisha sana kwa baadhi ya picha)nikamfahamu shetani kwa njia hiyo
Kilichofuatia ni kumjua shetani...nimekuwa mshirika wake kwa miaka mingi tumefanya naye kazi pamoja, tuneshirikiana kwenye mengi na nimegundua ni mtu wa aina gani...shetani ni shetani tuu hata awe na sura nzuri ya kuvutia kama malaika hata akupe kila kitu..sio mwema kwako na daima anania maovu.

Hii ni siku ya mapumziko na ya ibada kwa wengine lakini wengi muda huu wako kazini wakishiriana kufanya kazi na shetani..cha kushangaza ukiwaukiza wanaweza kukana kabisa kumjua wala kumfahamu shetani na huu ndio uhalisia wetu UNAFIQUE

View attachment 393483

View attachment 393484View attachment 393485
Mimi nina sema hivi humjui SHETANI,kwanza katika mazungumzo yako umechanganya kati ya Shetani wa kijini na Shetani wa kibinadamu huku ukiashiria unae mzungumzia ni Shetani wa Kijini.

Japo Shetani umbile lake la asili ni la kutisha sana,lakini hakuna yeyote ambae amewahi kuidiriki taswira halisi ya kiumbe huyo isipokuwa wacheche sana,na mimi kwa haraka haraka ninae mkumbuka ni mtu mmoja na yeye baada ya kumuona alizimia na haijajulikana taswira yake.

Ama kuziweka taswira za michoro ya kufikirika ni kujidanganya wenyewe na huu ni ujinga ulio pea,ilitosha watu kujua ya kuwa Shetani wa kijini au majini wamuembwa katika umbile la kutisha,ama kuchoreana michoro ya uongo ni kujidanganya sisi wenyewe.

Faida :

Ila kwa kawaida tunaposema Shetani huwa tunamkusudia Ibilisi laana ya Mola iwe juu yake,ama kwa sifa ya shetani huingia katika sifa hiyo jini na mwanadamu pia.

Tuko pamoja kaka,na asante kwa uzi.
 
Umesisitiza kuwa umemjua Shetani vilivyo na umetoa picha zenye kuashiria unachokijua kuhusu yeye . Binafsi natamani nifafanulie zaidi maana shetani angekuwa na mwonekano kama huo wa kutisha basi dhambi tungeiacha Mara moja . SHETANI YUKOJE HASA UKILINGANISHA NA DHAMBI TUZITENDAZO WANADAMU ?

Mfano ; Makahaba hawatishi kama picha hizo , ni warembo mno . Lakini pia wanaofanya mapenzi ya jinsia moja ni HB vizuri tu . SHETANI YUKOJE ATI ?

Ukienda kwenye makasino utakuta wadada kama malaika na Wanaume wenye mvuto balaa . SHETANI UNAMJUA KWELI ?

Wako wachungaji , maaskofu , mashehe washirikina ama wenye kutumia nguvu za giza . SHETANI UTAMDHIRIRISHAJE UMBO AMA MWONEKANO WAKE ?

Wadada mitaani wanavaa mithili ya uuchi , Shetani anaonekaje kwao ?

Wako wanasiasa na watu wenye ukwasi Duniani lakini nyuma ya pazia yao utamwonaje Shetani ?

UNAMJUA SHETANI ?
 
na mimi kwa haraka haraka ninae mkumbuka ni mtu mmoja na yeye baada ya kumuona alizimia na haijajulikana taswira yake. [emoji144][emoji144][emoji144][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Umesisitiza kuwa umemjua Shetani vilivyo na umetoa picha zenye kuashiria unachokijua kuhusu yeye . Binafsi natamani nifafanulie zaidi maana shetani angekuwa na mwonekano kama huo wa kutisha basi dhambi tungeiacha Mara moja . SHETANI YUKOJE HASA UKILINGANISHA NA DHAMBI TUZITENDAZO WANADAMU ?

Mfano ; Makahaba hawatishi kama picha hizo , ni warembo mno . Lakini pia wanaofanya mapenzi ya jinsia moja ni HB vizuri tu . SHETANI YUKOJE ATI ?

Ukienda kwenye makasino utakuta wadada kama malaika na Wanaume wenye mvuto balaa . SHETANI UNAMJUA KWELI ?

Wako wachungaji , maaskofu , mashehe washirikina ama wenye kutumia nguvu za giza . SHETANI UTAMDHIRIRISHAJE UMBO AMA MWONEKANO WAKE ?

Wadada mitaani wanavaa mithili ya uuchi , Shetani anaonekaje kwao ?

Wako wanasiasa na watu wenye ukwasi Duniani lakini nyuma ya pazia yao utamwonaje Shetani ?

UNAMJUA SHETANI ?
 
Ha ha Mkuu Mshana Jr, hongera kwa kumjua shetani manake utakua umemjua pia Mungu. Kwa kutumia Principle ya Polarity kwamba kila kitu kina upande wa pili...

The Principle of Polarity:
Everything is dual; Everything has poles; Everything has its pair of opposites; Like and unlike are the same; Opposites are identical in nature, but different in degree; Extremes meet; All truths, are but half-truths; All paradoxes may be reconciled.

0*ADm0UZAu8zum7bcQ.

The fourth principle embodies the truth that ‘everything has its pair of opposites,’ ‘everything has two poles,’ and exists in a state of ‘duality.’ But the true nature of this principle is that ‘opposites are the same, only varying in degree.’

It explains that there are two poles in everything and that opposites are really only two extremes of the same thing, the difference being only in degree.

An obvious example being hot and cold — both being temperature, varying only in degree. And that there is no clear crossover moment when hot stops being hot, and starts being cold and vice, versa with no absolutes on either end.

The same can be said of ‘light and darkness’ ‘hard and soft’ ‘big or small’ and even ‘love and hate.’ With ‘love and hate’ there is no clear point where one emotion becomes another, or when it passes through ‘like’ ‘dislike’ or ‘indifference.’ All are merely our perceptions of the degree. And the principle of Polarity exists to explain these paradoxes.
 
Kwa hiyo madhumuni ya kutuletea huu uzi ni nini? Au unatafuta wafuasi!!!
 
Back
Top Bottom