You are rightHow did you know that? , I guess I may be older than you..
Mkuu kama mpaka hii leo, akili yako inakwambia kuwa kuna shetani basi ilikuwa haina haja ya wewe kuishi..a
Hebu weka yako kwakuwa hata wewe ni shetani mwenye sura ya binadamu [emoji15] [emoji3]
Unajua ukimuambia dogo kuwa uyaone anadhani wewe mhenga umepitwa na wakati. What they don't know is that "time is a tireless teacher "Acha kututisha weye
Hamna uchawi kuna stage tatu za maisha kuzaliwa, kuishi na kufa,Kuzaliwa ninini?
Kuishi ninini?
Kufa ninini?
Hapo ndio upo huo uchawi unaokana kuwepo
Kumbe na wewe ni wale wale wa ulabuNi majina
Usisahau na kutembea na kinadada wa jfNimefanya naye mengi kwenye ulimwengu huu pengine kushinda wewe
ww,. Ez,,wn .s,,s!
!
Shetaniiii.... Okey Anyway Tutajua Tu Mdogomdogo
No,Mshana mimi simuabudu Shetani.Inawezekana I fail here and there,but that does not mean I worship the Devil.Mshana, inawezekana pia natumia vitu vya Shetani,but unknowingly,kama najua hapana.areafiftyone my friend hata wewe unamuabudu shetani na unamkubali na unafanya naye colable nyingi tu... Unless uniambie wewe ni malaika na hutumii vitu vya kidunia...
Just imagine kama wewe ni mkristo mara ya mwisho kushika bible ni lini? Na kwa muda gani?
Je kwenye simu yako hakuna vitu vya ajabu ajabu umehifadhi?
Je pesa yako yoyote ile unaipata kihalali asilimia 100?
Je hutumii neno la siri popote?
Je hutumii bidhaa zenye barcode?
We are all followers of the devil and we worship him though we don't want to admit
Hamna uchawi kuna stage tatu za maisha kuzaliwa, kuishi na kufa,
katika stage ya Pili, stage ya kuishi ndio binaadamu huwa tunachanganya mambo, sijui UCHAWI, UGANGA, MUNGU, JICHO LA. SABA nk, upuuzi mtupu
Haya mambo ni uzushi ulioletwa na Binaadamu kutokana na Uwezo wake wa kufikiri,uwezo wa Akili yetu ndio umetupeleka huko..
Mshana inawezekana natumia vitu vya Shetani,but unknowingly,kama najua hapana.Lakini Mshana ndio maana Bwana Yesu alikuja duniani,ili yale tusiyoweza kwa sababu ya mwili,yeye kwa njia ya msalaba atuwezeshe.Mshana we are not saved by adhering to the law, because no body can keep the law,but by faith in Jesus Christ.So tofauti yangu mimi na wewe Mshana ni kwamba mimi nimeamua kumtumikia Bwana Yesu na wewe umeamua kumtumikia Shetani,so ninahesabiwa haki bure,hata pamoja na makando kando kidogo niliyo nayo,and I know Satan uses those to preach to me that I have failed,but that is lies,I am triumphant in Jesus Christ.So when God looks at me,he doesn't see me,but Jesus Christ who died for me at Calvary.Kwa hiyo utakatifu nilio nao sio wangu,ila ni wa Bwana Yesu.Come onboard Jesus Christ Mshana ili uoshwe dhambi zako na Bwana Yesu akufanye kuwa mshindi in him.
Akili ni uwezo wako wa kuitumia organ inayoitwa Brain..chabuso akili ninini? Una akili ama huna?
Akili ni uwezo wako wa kuitumia organ inayoitwa Brain..
Inasemekana binaadamu tunatumia asilimia ndogo sana ya akili yetu, could be 0.1% out of 100%..
Kuna watu kama akina Einstein, Faraday, Tesla, Isac Newton nk, inawezekana labda wametumia 0.3% ya uwezo wa Ubongo wao..
Mtu kama wewe na wengine wanaoamini mambo ya UCHAWI , UGANGA nk, labda mnatumia 0.001%ya uwezo wa Ubongo wenu,..
Watu kama nyinyi ni watu ambao mmpenda mambo ya MKATO, hamtaki KUFIKIRI, majibu yenu yanakuwa RAHISI RAHISI