Nikiri wazi: Namfahamu shetani

Nikiri wazi: Namfahamu shetani

[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]kama nani hapa jukwaani? [emoji848][emoji848][emoji144][emoji144]
Kama umeoa mwanammke mpenda makuu.mpenda pesa. Lazima umjue shetani.
 
View attachment 393480

Kwa wale wachangiaji wa kukurupuka watofautishe kati ya kujua na kufahamu
Nakiri wazi kabisa kuwa namjua shetani...huyu kiumbe mbaya kabisa mwenye kutisha na kuogofya hasa.

Kwa mara ya kwanza nilimfahamu shetani kupitia maandiko na simulizi kwenye imani yangu...nikasoma na kusimuliwa vizuri tu kuhusu hiki kiumbe na jinsi lilivyokaa kimvuto (japo kinatisha sana kwa baadhi ya picha)nikamfahamu shetani kwa njia hiyo
Kilichofuatia ni kumjua shetani...nimekuwa mshirika wake kwa miaka mingi tumefanya naye kazi pamoja, tuneshirikiana kwenye mengi na nimegundua ni mtu wa aina gani...shetani ni shetani tuu hata awe na sura nzuri ya kuvutia kama malaika hata akupe kila kitu..sio mwema kwako na daima anania maovu.

Hii ni siku ya mapumziko na ya ibada kwa wengine lakini wengi muda huu wako kazini wakishiriana kufanya kazi na shetani..cha kushangaza ukiwaukiza wanaweza kukana kabisa kumjua wala kumfahamu shetani na huu ndio uhalisia wetu UNAFIQUE

View attachment 393483

View attachment 393484View attachment 393485
"Shetani ni Shetani tu Hata awe na sura gani,he is inherently evil!" Hii ni muhimu watu kujua.
 
Sijui ni kwanini siamini uwepo wa kiumbe kinachoonekana kwa macho kinachoitwa shetani, naamini zipo roho ovu/chafu zisizoonekana kwa jicho la nyama la la rohoni.
 
!
!
Tatizo siamini kama ni mbaya kwa kiasi hicho mkuu, kibaya zaidi source za taarifa zake ziko so biased yani
 
Shetani sio kiumbe cha kuonekana kwa macho lakini
Sijui ni kwanini siamini uwepo wa kiumbe kinachoonekana kwa macho kinachoitwa shetani, naamini zipo roho ovu/chafu zisizoonekana kwa jicho la nyama la la rohoni.
 
View attachment 393480

Kwa wale wachangiaji wa kukurupuka watofautishe kati ya kujua na kufahamu
Nakiri wazi kabisa kuwa namjua shetani...huyu kiumbe mbaya kabisa mwenye kutisha na kuogofya hasa.

Kwa mara ya kwanza nilimfahamu shetani kupitia maandiko na simulizi kwenye imani yangu...nikasoma na kusimuliwa vizuri tu kuhusu hiki kiumbe na jinsi lilivyokaa kimvuto (japo kinatisha sana kwa baadhi ya picha)nikamfahamu shetani kwa njia hiyo
Kilichofuatia ni kumjua shetani...nimekuwa mshirika wake kwa miaka mingi tumefanya naye kazi pamoja, tuneshirikiana kwenye mengi na nimegundua ni mtu wa aina gani...shetani ni shetani tuu hata awe na sura nzuri ya kuvutia kama malaika hata akupe kila kitu..sio mwema kwako na daima anania maovu.

Hii ni siku ya mapumziko na ya ibada kwa wengine lakini wengi muda huu wako kazini wakishiriana kufanya kazi na shetani..cha kushangaza ukiwaukiza wanaweza kukana kabisa kumjua wala kumfahamu shetani na huu ndio uhalisia wetu UNAFIQUE

View attachment 393483

View attachment 393484View attachment 393485
Sawa Mshana kama Shetani is such an evil being, kwa nini uwe na mahusiano naye? I mean what benefits are you getting.Please be open and kind enough to explain to us.
 
MSHANA UNATATANISHA SANA
Mshana ni utata mtupu mkuu,ila mind you huyu,jamaa amejitoa fully kwake.Hata hivyo sijui anapata faida gani,ila may be ni yale yale,ukiniabudu haya yote nitakupa.Lakini unapata from an evil being while you know very well that you will finally face terrible consequences for your actions?Sielewi.Mshana please respond to these genuine concerns.
 
Shetani katengenezwa na Binaadamu, hamna shetani, hamna uchawi,.. Kuna kuzaliwa, kuishi na kufa, period
 
My friend. You are still very young. Be patient you will see.
How did you know that? , I guess I may be older than you..

Mkuu kama mpaka hii leo, akili yako inakwambia kuwa kuna shetani basi ilikuwa haina haja ya wewe kuishi..
 
Just read me clearly.. You are a great thinker....
Sawa Mshana kama Shetani is such an evil being, kwa nini uwe na mahusiano naye? I mean what benefits are you getting.Please be open and kind enough to explain to us.
 
areafiftyone my friend hata wewe unamuabudu shetani na unamkubali na unafanya naye colable nyingi tu... Unless uniambie wewe ni malaika na hutumii vitu vya kidunia...
Just imagine kama wewe ni mkristo mara ya mwisho kushika bible ni lini? Na kwa muda gani?
Je kwenye simu yako hakuna vitu vya ajabu ajabu umehifadhi?
Je pesa yako yoyote ile unaipata kihalali asilimia 100?
Je hutumii neno la siri popote?
Je hutumii bidhaa zenye barcode?

We are all followers of the devil and we worship him though we don't want to admit

Back
Top Bottom