Usipokua makini unaweza jua ni vile vigari watoto wadogo hua wanachezea, yale matoyUsingeandika kua hivyo ni Viatu wala nisingejua kua kumbe hivyo ni viatu.
Hahaha halafu wanavaaga na majinsi ya mtumba mapana hiviKuna mwamba mtu mzima kabsaa around 38 sasa hivi lakini hua anayavaa na kuzunguka nayo mtaani. Hua namshangaa sana. Ni madude ambayo yanachukiza hata kuyatizama tu. Ila unajua nini ? Sio kesi kila mtu na maisha yake. Kuna jamaa humu ana usemi wake anasema "Mambo yao waachie wenyewe".
Hivi unaanzaje kuvaa dude lote hilo? Miguu inatembea kweliHaya maviatu yana matatizo ya akili kwa vijana hivi mjachunguza.
View attachment 3454553
sasa mzee we si unakausha tu? We unafikiri wakiacha kuyanunua anayeyatengeneza atakula wapi?Haya maviatu yana matatizo ya akili kwa vijana hivi mjachunguza.
View attachment 3454553
Alafu anavaa na lisuruali likubwaa kumzidi na li sweat over size wanakuwa kama wale wachuna kuku pale manzeseHaya maviatu yana matatizo ya akili kwa vijana hivi mjachunguza.
View attachment 3454553
Wachache👆🏾waliokuelewa hapa.Raizoni
Shuka tubonge
Umenifurahisha na Raise-on! Sie tulizoea kuita Raizoni. Ila hii ni ngazi sita. Ya Bora ndiyo ilikuwa ngazi tatu. Moshi hizi tulinunua enzi hizo Mushisha StoreView attachment 3477637
Rise-on(raizoni) ngazingazi, hii ngazi tatu.