Nikionaga kijana kavaa haya maviatu

Nikionaga kijana kavaa haya maviatu

Hizo ni fashion za gen Z sasa wewe mbabu utavaaje si utaonekana kituko, wenyewe wanapendeza tukubali tu zama zetu zipo ukingoni tuwaache vijana wafurahi wakati wao.

Ni kweli kabisa
Kuna tatizo la wazee kutaka vijana waishi kama walivyoishi.

Au unakuta mtu anaishi uswahili anataka wakishua aishi maisha ya kiswahili.
 
Binafsi mtu pekee ninayemuona hayuko sawa ni yule aliyevaa nguo chafu au inayoonyesha sehemu zake zisizifaa kuonekana hovyo. Vilivyobaki vyote kwa ni sawa tu, kwa sababu hata huo uvaaji mnaosema ni wa utanashati umetokana na maoni ya baadhi ya watu waliona inawapendeza zaidi.
 
Hii ni fashion ya vijana wa 2000 ila hata zile za enzi zangu, mie pia zilinipitia kushoto, kuvaa ile miyeboyebo miaka ya 2000 mwanzoni, kuvaa ile mijinzi mikubwaaa FUBU na mijezi ya basketball linakuwa kubwaaaa.. haya yalinishinda kwa kweli...
Viatu pekee nilipenda ni american boots zile Timberland na converse hapa nilivaa bila tabu, ila navyo vilivyokuwa kwenye peak yake lilatu unamkuta kavaa nikaacha kuvinunua
 
Ndio wakati wao Gen Z, kila kipindi kina fashion zake tuwaache watoto waenjoy wakati wao.
Ni kama nyakati zetu walikuwa wanavaa yake masendo yameandikwa SUPREME nilikuwa nayachukia kwa moyo mmoja ila sikuwa na namna.
 
Hii ni fashion ya vijana wa 2000 ila hata zile za enzi zangu, mie pia zilinipitia kushoto, kuvaa ile miyeboyebo miaka ya 2000 mwanzoni, kuvaa ile mijinzi mikubwaaa FUBU na mijezi ya basketball linakuwa kubwaaaa.. haya yalinishinda kwa kweli...
Viatu pekee nilipenda ni american boots zile Timberland na converse hapa nilivaa bila tabu, ila navyo vilivyokuwa kwenye peak yake lilatu unamkuta kavaa nikaacha kuvinunua
Daaah umenikumbusha mbali sana ....FUBU enzi hizo watu walikuwa wanacopy sana marekani kwa kila style nadhani nelly alikuwa ni mmoja ya wasanii alikuwa wanamcopy watu wengi sana
 
Daaah umenikumbusha mbali sana ....FUBU enzi hizo watu walikuwa wanacopy sana marekani kwa kila style nadhani nelly alikuwa ni mmoja ya wasanii alikuwa wanamcopy watu wengi sana
Mfano kubandika kiplasta kile, kuvaa yale ma ribon, vyote vile vilinishinda 🤣😂
 
True man simple is classic

mfano shati safi la blue ukavaa na visweta vya V vile color iwe red au glay au black na surual ya kiyambaa au valia slim fit jeans ya black isiwe pana iswe nyembamba sana size ya mwili wako poa kabisa chukua basi na kiatu cheusi kama ni moka ni poa sana au hata raba nyeupe kama ipo aisehh its classic but simple vaa na saa yako nzuri tu yenye vimkanda vyembamba ya ngozi black or broun ✅✅ its self care and you on point✅✅
naaam unyama sana
 
Back
Top Bottom