k-bee
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 1,004
- 1,163
Mwanajamvi na mwana JamiiForum ulioko Afrika Mashariki...! Kijana ndio nguzo ya Taifa lolote dunia Je? Kijana wa Afrika Mashariki una nini juu ya taifa lako na pia watu wengine wanapenda kujua maoni yako unafikiri nini juu ya Taifa lako kama kijana na mwananchi wa taifa lako.
Vijana aka Gen Z ndio taifa la leo na kesho wajibu mkuu ni kusimamia Taifa libaki katika misingi yake.
Vijana aka Gen Z ndio taifa la leo na kesho wajibu mkuu ni kusimamia Taifa libaki katika misingi yake.