cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 122,266
- 201,307
Yana shida gani hayo maviatu? Na yako special kwa wanaume.Sasa hayo maviatu ya kishoga kuvaliwa na mtoto wa kiume wewe unaona sawa mkuu? Je, angevaa mtoto wako wewe ungefurahi?
Yana shida gani hayo maviatu? Na yako special kwa wanaume.Sasa hayo maviatu ya kishoga kuvaliwa na mtoto wa kiume wewe unaona sawa mkuu? Je, angevaa mtoto wako wewe ungefurahi?
Yana homoni za kishogaYana shida gani hayo maviatu? Na yako special kwa wanaume.
Hivi viatu vya kuvaa ukiwa unaingia mtaani kuzuga. Ukivaa unatembea kama huna stress vile, kibingwa yaaniHaya maviatu yana matatizo ya akili kwa vijana hivi mjachunguza.
View attachment 3454553
Ushoga una homoni? Nasikia kwako eti. LolYana homoni za kishoga
Unazo mkuuUshoga una homoni? Nasikia kwako eti. Lol
Wazee je¿?¿¿
Kwa wale ambao walikua hawajui Sasamba Sasamba ndio nini sasa nadhani umewaonyesha hio ndio inaitwa Sasamba yaan kupiga na kupigishwa msamba ni suala la kugusa tuHaya maviatu yana matatizo ya akili kwa vijana hivi mjachunguza.
Hahaha 😂.
Km zipii?Unazo mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23]Tulia ma mtu kuna mchongo nausikilizia ukitiki tu utapiga pamba Kali na nywele Kali..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]..hapo ashakula vitu vyake,na ukimsachi mifukoni unakuta mikeka kama yote kamuua man u,arsenal,kaweka jero mkeka unasoma milioni 24 dadeki[emoji1787]
Wee boda wako havai hayo wizzo?? [emoji23][emoji23][emoji23]
Gay hormonesKm zipii?
Hakuna Gay's hormonesGay hormones
Zipo mkuu. Fanya uchunguzi utagunduaHakuna Gay's hormones
Hakuna Gay's hormones, usitake kudanganya watu hapa. LolZipo mkuu. Fanya uchunguzi utagundua