Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 27,906
- 54,274
Napenda fashion sana na huwa nazingatia codes sana kwenye kuvaa ila sijawahi kuwa mpenzi wa mavitu makubwa makubwa maviatu,jeans pana, ma tshirt makubwa, makoti makubwa michain, bracet duh wasanii kazi wanayo,
Napenda nikivaa kitu mpaka mwenyewe nasema ehh hapa nimekaa kwenye code safi sio mavitu yanayokuchosha unajikuta unaongeza uzito maradufu
Napenda nikivaa kitu mpaka mwenyewe nasema ehh hapa nimekaa kwenye code safi sio mavitu yanayokuchosha unajikuta unaongeza uzito maradufu