Arizona 1
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 1,766
- 3,500
Mkuu unaweza hisi ni zile bajaji za mizigo alimaarufu maguta!Usingeandika kua hivyo ni Viatu wala nisingejua kua kumbe hivyo ni viatu.
Mkuu unaweza hisi ni zile bajaji za mizigo alimaarufu maguta!Usingeandika kua hivyo ni Viatu wala nisingejua kua kumbe hivyo ni viatu.
Yaani mimi naona wanapendeza sana tu,Wakivaa vimodo vinavyowana wanasema hawana nidhamu.
Sasa wamekuja na style mpya, mabwanga, shati kubwa, msuruali mpana mara 20 ya mwili wake, mkiatu kama huo. Dundo refu na kubwa kwelikweli.
Halafu wanawaita ati wana matatizo ya akili wakati vijana wanafanya stara, ama kweli binafamu hata umfanyaje atakutoa kasoro 😂😂.
Binafsi pamoja na kua age go ila naweza kuvaa hayo makitu 😂😂
Sawa sawa ,kama zile Rise On ( laizoni)Siwezi kuwashangaa maana nikikumbuka viatu vyetu miaka ya 70 daa
"La kuchumpa la kumpa lama"KIla zama na mambo yao kukikuwa na enzi ya Ndula, ilaja La kuchumpaa....
Ujana una mengi...
Wapendeze wapi!Hizo ni fashion za gen Z sasa wewe mbabu utavaaje si utaonekana kituko, wenyewe wanapendeza tukubali tu zama zetu zipo ukingoni tuwaache vijana wafurahi wakati wao.
Ni kama enzi zao Millennial walivyokua wanavaa milegezo, siku hizi wahuni hawana hizo mbanga ni mabwanga tu na wanavaa kwa nidhamu.Yaani mimi naona wanapendeza sana tu,
Sio wewe tu hata mimi, sijawahi kuona kama ni mbaya zaidi naona ni kwenda na fashion iliyopo.
HaswaaSawa sawa ,kama zile Rise On ( laizoni)
BOYEBO pendwa kwa wa2 WAFUPI!!Haya maviatu yana matatizo ya akili kwa vijana hivi mjachunguza.
View attachment 3454553
huwa wanapendesa sana, hata yule Diva mtangazaji huwa anaweka hizo lens za macho za rangi tofauti tofautiHaswaa
Tulikuwa na mashati ya kubana, na Afro hair
Leo sishangai kijana akivaa au kufanya chochote kwani kila zama…..:
Kuna msichana mbongo nilimuona kwa jamaa mmoja huku nje
Alikuwa ameweka macho ya paka ya bandia
Yanatisha ila ukimzoea unaona the other side of beauty
huwa wanapendesa sana, hata yule Diva mtangazaji huwa anaweka hizo lens za macho za rangi tofauti tofauti
Ni kweli wanapendeza ila kwa wengine Ina madhara yake makubwa.huwa wanapendesa sana, hata yule Diva mtangazaji huwa anaweka hizo lens za macho za rangi tofauti tofauti
Vzr kuwapa angalizoNi kweli wanapendeza ila kwa wengine Ina madhara yake makubwa.
Kama jicho au macho yatapata infection tu basi.
Mtu anaweza kupofuka
Wanangu nimewaambia madhara yake pia na hawana hamu kabisa ya kuweka
Inataka uangalifu na usafi wa hali ya juu
Kuna mmoja hapa ni bonge nyanya akivaa huo myebo na msuruali bwanga anakuwa km meli ya kivitaVijana wa Dsm hao. Mwanangu aliniambia baba ninunulie kama vile. Nikamwambia stop nonsense