Itabid nizoee tu kwasas lakin kitu sikikubali nikuitwa hovyo nawatu wakila umriJina ni la mwili (physical body) ila kiuhalisia huna jina.
Jina ni la mfumo wakidunia kulingana na watu waliotutangulia au kulingana na majira ulipozaliwa kwaio hata ungeitwa jiwe bado ndani yako kuna wewe
Kwanini ukatae utambulisho wa kidunia utake nicknames za wengineItabid nizoee tu kwasas lakin kitu sikikubali nikuitwa hovyo nawatu wakila umri
Hii ndiyo sababu 😀😀, itakuwa jina lako na matendo haviendaniJina zuri kabisa moja ya Watume wa Mungu
Na huyo mtume hana skendo?Langu liko sawa mkuu nimoja ya yale majina ya mitume
Acha hujawahi itwa ndege mdinya secretarybirdDuh lahivu sijawah Ikuitwq
😁😁Acha hujawahi itwa ndege mdinya secretarybird
Sawa Barton Mwemba tumekuelewaHabari za muda huu wakuu.
Kuna jambo limekuwa likinitokea hivi karibuni na ningependa kupata maoni yenu.
Nimegundua kuwa kwa sasa sipendi kabisa mtu kuniita jina langu halisi. Nimezoea sana kuitwa kwa majina ya utani (nicknames) kiasi kwamba mtu akiniita jina langu halisi, najikuta nikichukia au kujisikia vibaya bila sababu ninayoielewa vizuri.
Cha kushangaza ni kwamba zamani sikuwa na hali hii, lakini kwa sasa imekuwa tofauti.
Je, kuna watu ambao wamewahi kupitia hali kama hii? Inaweza kuwa ni mazoea tu, mabadiliko ya hisia, au kuna sababu nyingine inayoweza kuelezea hali hii?
Naomba tushirikishane uzoefu na mawazo yetu kwa heshima.
Je, wewe unapendelea kuitwa jina lako halisi au jina la utani? Na kwa nini?