Nikiitwa jina langu halisi nachukia😁

Nikiitwa jina langu halisi nachukia😁

Itakuwa hizo nicknames zako ni za sifa, na wewe unapenda sifa kwahiyo unataka watu wakuite unavyopenda.
 
Hakuna asiependa sifa nzuri mkuu nacho mind hasa kuitwa hovyo jina halisi
Jina halikutambulishi bali ni ustaarabu wa kurahisisha mawasiliano tu.

Unalihusiha hilo jina na uhusika wako halisi ambao utakuwa unauonesha kwa baadhi ya watu, na unauficha kwa hizo sifa.

Familia yako na ndugu wakitumia hilo jina itakuwa huchukii.
 
Kwa familia nisawa
 
Nalikubali ika sikila mtu anijue, au kuliita hovyo
Jamaa yangu wa kiume baada ya kujitambua aligundua alipewa jina la bibi yake...akaanza kulichukia akiona ni la kike! Hali ikoje kwako?
 
Ushauri mzuri nawaza kua haiwezi poteza maslah yangu yakikazi kwa huu mfumo mgumu
Kisheria kila kitu kinatakiwa kiweze kuonekana, mpaka ulivyobadili, kwa hiyo hakuna tabu.

Kiuhalisia utapata tabu sana kwa huo mfumo mgumu, maana kabla ya kubadili jina tu ni matatizo, ukibadili ni matatizo square.

Mfano, kwenye issue ya Civilian Coin kubadili jina, nimegundua kuwa kuna Watanzania wengi hawajui kubadili jina ni haki ya mtu, na mtu anaweza kubadili jina kwa kutaka yeye tu, hakuhitaji sababu nyingi.

Wao wanaona mtu akibadili jina ni lazima atakuwa muhalifu au kuna kitu anaficha.

Kwa hiyo huko jamii yenyewe tu haina elimu ya uhuru wa mtu binafsi kuamua kubadili jina. Ukibadili utaulizwa kwa nini umebadili, kwani umebadili dini?

Kabla hujafika kwenye mifumo, jamii tu haielewi.

Na hili jambo la usumbufu si jamii yetu tu, ingawa inawezekana sisi tuna usumbufu zaidi. Ukibadili jina jiandae kwenye fomu nyingi sana kuulizwa kama ulibadili jina, na utaje jina lako la zamani. Kwa hiyo ujiandae kutoa maelezo kuhusu majina yako yote.

Ila unaweza kubadili kimtaa mtaa, watu wapya wote unawaambia jina jipya na wa zamani unawazoelesha jina jipya.

Kuna dogo alifanya hivyo na sasa mpaka familia wanamuita jina jipya, la zamani ni kama limesahaulika.
 
Kwa familia nisawa
Itabidi uwe unapambana watu wasijue hilo jina.

Binadamu tuna tabia za kuziweka hisia zetu mbaya kwenye vitu.

Mfano mtu anaweza kuficha umri wake kwa kuwa unamkubusha muda aliopoteza, anaweza kuficha kijiji alichokulia kwasababu hajiamini na anatafuta umaridadi nk.
 
Jamaa yangu wa kiume baada ya kujitambua aligundua alipewa jina la bibi yake...akaanza kulichukia akiona ni la kike! Hali ikoje kwako?
Langu liko sawa mkuu nimoja ya yale majina ya mitume
 
Kisheria kila kitu kinatakiwa kiweze kuonekana, mpaka ulivyobadili, kwa hiyo hakuna tabu.

Kiuhalisia utapata tabu sana kwa huo mfumo mgumu, maana kabla ya kubadili jina tu ni matatizo, ukibadili ni matatizo square.

Mfano, kwenye issue ya Civilian Coin kubadili jina, nimegundua kuwa kuna Watanzania wengi hawajui kubadili jina ni haki ya mtu, na mtu anaweza kubadili jina kwa kutaka yeye tu, hakuhitaji sababu nyingi.

Wao wanaona mtu akibadili jina ni lazima atakuwa muhalifu au kuna kitu anaficha.

Kwa hiyo huko jamii yenyewe tu haina elimu ya uhuru wa mtu binafsi kuamua kubadili jina. Ukibadili utaulizwa kwa nini umebadili, kwani umebadili dini?

Kabla hujafika kwenye mifumo, jamii tu haielewi.

Na hili jambo la usumbufu si jamii yetu tu, ingawa inawezekana sisi tuna usumbufu zaidi. Ukibadili jina jiandae kwenye fomu nyingi sana kuulizwa kama ulibadili jina, na utaje jina lako la zamani. Kwa hiyo ujiandae kutoa maelezo kuhusu majina yako yote.

Ila unaweza kubadili kimtaa mtaa, watu wapya wote unawaambia jina jipya na wa zamani unawazoelesha jina jipya.

Kuna dogo alifanya hivyo na sasa mpaka familia wanamuita jina jipya, la zamani ni kama limesahaulika.
Hizi njia ningumu mpka litie muda mwingi ushapotea
 
Itabidi uwe unapambana watu wasijue hilo jina.

Binadamu tuna tabia za kuziweka hisia zetu mbaya kwenye vitu.

Mfano mtu anaweza kuficha umri wake kwa kuwa unamkubusha muda aliopoteza, anaweza kuficha kijiji alichokulia kwasababu hajiamini na anatafuta umaridadi nk.
Hha wakuficha tuko wengi
 
Habari za muda huu wakuu.

Kuna jambo limekuwa likinitokea hivi karibuni na ningependa kupata maoni yenu.

Nimegundua kuwa kwa sasa sipendi kabisa mtu kuniita jina langu halisi. Nimezoea sana kuitwa kwa majina ya utani (nicknames) kiasi kwamba mtu akiniita jina langu halisi, najikuta nikichukia au kujisikia vibaya bila sababu ninayoielewa vizuri.

Cha kushangaza ni kwamba zamani sikuwa na hali hii, lakini kwa sasa imekuwa tofauti.

Je, kuna watu ambao wamewahi kupitia hali kama hii? Inaweza kuwa ni mazoea tu, mabadiliko ya hisia, au kuna sababu nyingine inayoweza kuelezea hali hii?

Naomba tushirikishane uzoefu na mawazo yetu kwa heshima.

Je, wewe unapendelea kuitwa jina lako halisi au jina la utani? Na kwa nini?
Umenikumbusha jamaa mmoja maeneo ya Kawe alikuwa anaitwa Kaboga sasa watu wengi wanamuita K ila ukimwita Kaboga ugomvi wake mtafikashina polisi.
 
Habari za muda huu wakuu.

Kuna jambo limekuwa likinitokea hivi karibuni na ningependa kupata maoni yenu.

Nimegundua kuwa kwa sasa sipendi kabisa mtu kuniita jina langu halisi. Nimezoea sana kuitwa kwa majina ya utani (nicknames) kiasi kwamba mtu akiniita jina langu halisi, najikuta nikichukia au kujisikia vibaya bila sababu ninayoielewa vizuri.

Cha kushangaza ni kwamba zamani sikuwa na hali hii, lakini kwa sasa imekuwa tofauti.

Je, kuna watu ambao wamewahi kupitia hali kama hii? Inaweza kuwa ni mazoea tu, mabadiliko ya hisia, au kuna sababu nyingine inayoweza kuelezea hali hii?

Naomba tushirikishane uzoefu na mawazo yetu kwa heshima.

Je, wewe unapendelea kuitwa jina lako halisi au jina la utani? Na kwa nini?
Jina ni la mwili (physical body) ila kiuhalisia huna jina.
Jina ni la mfumo wakidunia kulingana na watu waliotutangulia au kulingana na majira ulipozaliwa kwaio hata ungeitwa jiwe bado ndani yako kuna wewe
 
Itakuwa ni mwanasiasa nini Mkuu?

Maana hao bila kutanguliza Mheshimiwa, wanahisi umewatukana 🤪
 
Back
Top Bottom