Niijuavyo Freemasonry

Niijuavyo Freemasonry

Kwan kutoa kafara ni kielelzo cha dini??,dini gani inatoa kafara kwa sasa???,
Ibada unajua maana yake,unajua maana haslisi ya ibada??,

Sasa si nimeuliza maswali ili nipate majibu kutoka kwako mleta mada? Au nimekosea kuuliza?
 
Kukubali kwangu kwamba mi ni masonic ama la!,haita kusaidia zaidi ya kukupa STRESS na kunichukia,bila kujua kwa nini!

Hahahahahahaaaa!
Kwanini umenidhani nitakuchukia? Kumbe unajua ufrimason si mchezo mzuri!!
Anyway! Mimi sijakremu Mkuu, always nachukia kitu kinachoniathiri, na siwezi kuchukia kitu kisichoniathiri!
Hata ungekuwa jambazi nisingekuchukia unless unijambazie na mimi mwenyewe!
...
Poa Free ideas nalog off!
 
Ndo mana nami nikakuuliza ili nijue uelewa wako kabla sijakujib

Ibada zinafanywa na watu wenye dini, hata kafara pia. Unaweza ukaniambia ni watu gani wengine wanaoweza kufanya Ibada isiyomaanisha dini na kafara pia? Ibada iamaanisha kuabudu, na kuabudu kunamaanisha uwepo wa Mungu au miungu. Similary kafara, kwa sababu kafara ni mojawpo ya ibada. Sasa kutoka hapa, unaweza ukarudi na kujibu swali langu?
 
Bado unazunguka pale pale ambapo tayar nnishajibu
 
Unajua kuwa hiyo kauli yako inaonehs kuwa huna hakika na ulichokisema?

We ndo utakuwa huna uhakika na ukisemacho,maana jinsi ulivoingia inaonesha kama unakimbizwa vile ndo mana nikakutuliza na kukukaribisha ktika uzi,haya nambie unalipi leo
 
We ndo utakuwa huna uhakika na ukisemacho,maana jinsi ulivoingia inaonesha kama unakimbizwa vile ndo mana nikakutuliza na kukukaribisha ktika uzi,haya nambie unalipi leo

Nilichokuuliza kinahusiana na kauli yako
Hujakijibu unataka tuzungumze mengine

Jibu kwanza!
 
Nilichokuuliza kinahusiana na kauli yako
Hujakijibu unataka tuzungumze mengine

Jibu kwanza!

Tatizo hujasema unauliza nini,bahati mbaya kama sijakuelewa mkuu haya uliza ujibiwe
 
Kauli gani maana nimesema kauli nyingi em nenda kwenye point

Kushindwa tu kujua umesema nini kwenye mada yako mwenyewe muda mfupi ulioisha ni uthibitisho wa namna ulivyo goigoi,utawezaje kuyajua mambo ya miaka zaidi ya 2000 iliyopita?

Halafu unadai eti ni kwa mujibu wa akili yako mwenyewe,dogo ndo maana nikakuambia unachekesha sana!
 
Ulitka nirudie uzi mzima kukuandikia wewe??,,ndo mana nikakuuliza sehem gani wataka ueleweshwe.badla yake umekuja na kasoro ya kuijumla.kumbe ulitaka niingie kujibu tofauti na unavodhan?.,

Kwa nn mambo ya miaka 2000 iliyopita yasijulikane??,kuna uzi niliona unamtetea sana yesu,kwan ye wa mwaka gani??.,na habr yake umeijuaje??,majibi please
 
Ulitka nirudie uzi mzima kukuandikia wewe??
Umeleta mada hapa uykijinadi kuwa umeitoa akilini mwako bila hata kukopi popote pale,hii ina maana kuwa ulitafakari na kama uliweza kutafakari uliyoandika usingeshindwa kung'amua nilichokuwa nakuuliza kwakuwa hayo ni majadiliano ya mimi na wewe na wala hayahusishi mada nzima na post zake

Unawezaje kufikiri kuwa nimekuambia usome post zote wakati mimi nimeanza kuchangia mada hii usiku huu?
Kwanini umeshindwa tu kuishughulisha akili yako kwenye jambo dogo kama hili?

Unatarajia mtu gani akubali kuwa hii mada ni matokeo ya kufikiri kwako?
,,ndo mana nikakuuliza sehem gani wataka ueleweshwe.badla yake umekuja na kasoro ya kuijumla.
Majibu gani ya kiujumla?
Haya majibu yako yanaonesha vile ambavyo hata kuelewa kulivyo kugumu kwako

Nimekuuliza kuhusiana na kauli uliyoitoa hata masaa matano hayajaisha
Hujui iko wapi
Hii inamaanisha kuwa unaandika vitu ambavyo hata hufikirii
Ungekuwa unafikiri ingekuwa rahisi sana kujua ninakuuliza nini na majibu yake ungeyatoa haraka sana
kumbe ulitaka niingie kujibu tofauti na unavodhan?.,
Wapi nimesema haya?
Kwa nn mambo ya miaka 2000 iliyopita yasijulikane??
Nimesema yasijulikane?
Kijana mbona unazidi kuthibitisha kuwa huna kabisa uwezo wa kuelewa?

Umeshindwa hata kuelewa nilipokuambia kuwa kama umeshindwa kukumbuka au kujua kile ambacho umeandika muda mfupi uliopita utawezaje kujua mambo yaliyotokea miaka zaidi ya 2000 iliyopita,wewe unadai nimesema mambo ya miaka 2000 hayajulikani

Hayo ni mabo mawili tofauti kabisa na hayahusiani
Sijui ni kwa vipi umeshindwa kuelewa jambo dogo kama hilo
,kuna uzi niliona unamtetea sana yesu,kwan ye wa mwaka gani??
Kutokuelewa kwako nilichoandika ndiko kumekupelekea kuja na kusema hii kauli yako ambayo wala haihusiki na nilichokisema

Kuelewa kwako ni tatizo
Ni bora ukaenda kujifunza kuelewa kwanza ndipo uje hapa uanzishe mada
.,na habr yake umeijuaje??,majibi please
Sina haja ya kukujibu kwakuwa tayari nilichokujibu kinakutosha!
 
Back
Top Bottom