Nimeshakujibu sema hukuelewa!,lakini pia lazima ujue kwamba mi sitetei masonic bali naeleza mtazamo wangu kuhusu MASONIC,sasa umeelewa ehh??
Hahahahahahahahaaaa!
Haya bhana! Siwezi kukulazimisha ufrimaso wakati mwenyewe unapinga hilo! But kama utafikiria vizuri kuna somo hapo!
Kwa kawaida binadamu ni kiumbe anaependa kusifiwa na kujifakhiri kwa ubora alionao! Na hata wale binadamu wasiokuwa na ubora huo! Hutumia njia zisizofaa kuhakikisha wanasifiwa! Process hii inaitwa ASPD = Attension seeking personal disorder (wanasaikolojia wanatambua hilo) swali la kujiuliza, kwanini watumie njia mbaya (wadanganye) ili waonekane watakavyo wao?
Hapa jibu ni dogo tu! Wanafake ili nao waonekane wamo!!!!
...
Nadhani haujaelewa main focus yangu hapo! Usijali soma na hapa chini:
...
Kwavile binadamu anapenda kusifiwa (hii haipingiki hata matahira wanapenda kusifiwa na kuonekana wanaakili sawa na watu wengine au hata kuwazidi)
kwa kuhakikisha mwanadamu anapata sifa hiyo (kusifiwa/kuonekana bora) humlazimu kuacha and/or kuficha yale yote anayohisi huenda yakamuondolea hitaji hilo!
(nadhani tunakwenda sawa hadi hapo!)
kwa mantiki hiyo, watu tunaficha maovu na kudisclose mema!
(hapo utatafsiri mwenyewe vile upendavyo!)
...
Kwa upande wa pili, elimu haina mipaka!
Inaruhusika mtu kusomea lolote, (kwa vile huamini Mungu, sijikiti na hoja za kiimani) hapa naongelea THE LAW OF MORALITY WHICH IS INHERENT TO EVERY PERSON! (nadhani unatambua hiyo principle ya law of morality)
Soma, soma, soma tena na tena, soma lolote, soma chochote! Kisichoruhusika ni matumizi mabaya ya kile ulichokisoma! Matumizi mabaya ni any usage which is harmful to other people and/or environment!
...
Free ideas (my friend) Nadhani umenielewa hapo!
Wish u gud day!