Niijuavyo Freemasonry

Niijuavyo Freemasonry

Free ideas ; wenye mpango wa kutawala dunia ni illuminati na sio freemasonsory ,japo makundi yote hayana utofauti mkubwa. Pia wao ni psychological builder na sio ujenzi wa maghorofa sijui kumbi za starehe n.K.. It is more mental building rather than physical building.

Pia wafuasi wake wamekuwa wakikanusha kuwa sio dini, but it is a cult. Kwa mjibu wa umansoni wenyewe wanaabudu ''kiumbe mkuu''. Wakati wakatoliki wanawapinga hawa kuwa mungu sio kiumbe, hivyo wanachokiabudu haina uhusiano na ukristo ndani yake. Na mwanachama yeyote anatakiwa awe na dini kabla hajawa memba wa hii cult, na ili uwe memba ni lazima uamini katika ''kiumbe mkuu'' na hapa hakuna mjadala kwa mwanachama.

Ibada zao ni za siri, hivyo huwezi kujadili hapa sana ila kwakuwa wafuasi wameongezeka duniani ndio maana wanajulikana.
 
2013,
IBADA ZAO NI ZA SIRI, HIVYO HUWEZI KUJADILI HAPA SANA ILA KWAKUWA WAFUASI WAMEONGEZEKA DUNIANI NDIO MAANA WANAJULIKANA.[/QUOTE]

Sawa kabisa kwa kujuza kitu kimoja wapo katika mpango huu endelev,katika uzi huu nilitaka uwaeleza watu kuhusu tu kile kidogo ambacho wengi wamekuwa wakikisema na kukijadili kila kukisha.

Kuna mikakati mingi ambayo imetimia na bado inaendelea kutimia,wengi hawana ufaham wa nini kijacho bali wanakuwa na hofu asubuhi pameshakucha.
ILLUMINATI, na skull of bones,ni ushirika wenye nguvu zaidi ya hiki wakiitacho cha kishetani.


Kwan kutawala dunia ni vibaya??,
 
Free ideas Kama siyo dini kwa nini wanatoa kafara? Kwa nini wanafanya ibada, kama ulivyoeleza hapo ?
 
Last edited by a moderator:
Kama siyo dini kwa nini wanatoa kafara? Kwa nini wanafanya ibada, kama ulivyoeleza hapo ?

Kwan kutoa kafara ni kielelzo cha dini??,dini gani inatoa kafara kwa sasa???,
Ibada unajua maana yake,unajua maana haslisi ya ibada??,
 
Free ideas,
kutawala dunia ni vibaya, tena vibaya sana.
Mpaka hapa tulipo tunaongozwa na unipolar, lakini us ambayo inaongoza bado kuna mambo hawezi kuthubutu, hivyo bado still dunia nhaijakamatika yote. Hitler alijaribu kutawala dunia na historia inatuonyesha aliua wayahudi wengi. Lakini hitler alichaguliwa kidemokrasia na akashinda kura nyingi.nini nataka kusema, mfumo wowote ukitawala dunia unaweza kutesa na kunyanyasa mifumo mingine isiweze kustawi. Hivyo dunia ili iwe na amani haitakiwi kuwa na mfumo ulijuu ya mifumo yote kwa asilimia mia moja.

HII NI Probable kuwa ; freemansonry wanaweza wakaonekana wapole leo lakini ikiwa wakapata nafasi ya kutawala dunia wanaweza kubadilika na wakaanza kulazimisha kila mtu aachane na imani yake ama dini yake ili watu waabudu kiumbe mkuu waliyemchagua wao. na pia wakapiga marufuku dini zote duniani. Na hapa inaweza kuleta hatari kwani uhuru wa watu unaweza kuwa jeopardized.


NOTABENE;
Pia mkuu kukataa kuwa freemanson hawaabudu shetani unaweza kwenda kinyume na ukweli, wewe hujaweka wazi kama ni memba.
Pili kwa tafsiri ya ukristo mambo wanayoyatolea sadaka sio mambo ya kimungu na pengine ni ya kishetani zaidi.
jap inasemekana mtazamo wa kishetani unatokana na jamii ya wapentekoste(walokole) zaidi, tofauti na wkatoliki, kwani kanisa katoliki tangu mwanzo halijawahi kuwahusisha na ushetani bali waliwakataa kwakuwa hawamwabunu mungu bali deity (kiumbe).

tatu,ukisoma vyanzo kutoka kwa Sir. Albert pike (freemansory of scottish rite) wa USA, kwenye kitabu chake cha moral and dogma anakiri waziwazi kumwabudu Lucifer(light bearer), ambapo kwenye ukristo jina lucifer linamwakilisha shetani mkuu. akiwepo na mtu mwingine Adam W.

Kwahiyo kuwatetea freemanson kuwa hawamwabudu shetani inahitaji angalizo. kitu cha msingi sana ni kuwa huwa wanatabia ya kutoa misaada kupitia taasisi yao, inayesemekana haijasajiliwa nchni.
penye red: mkuu pengine utujuze wamefanikiwa mikakati ipi?
 
Free ideas The fact that the Kingdom of Satan in this world is surrounded by darkness (secrecy) as is the Luciferian Kingdom in the celestial world;
the High Priests of the Luciferian Creed, and the members of the Synagogue of Satan, hide their identity and true purpose from the masses;
they worship Satan and conduct their diabolically inspired ceremonies in secret chambers in Lodges, while they never detract from its power and influence over the affairs of this world and its people, in the slightest.
Don't trust freemasonry.
 
Last edited by a moderator:
2013 Umesema vema mkuu,lakin lazima ujue dhana ya kumwabudu shetani unayoizungumzia ikoje!!,kumwabudu kivipi na pia hata wakati Albert ,anasema alisema akiwa na maana gani.kama huamini kuwepo kwa aliyemuumba shetani utamwabudu shetani gani,nadhan hapa hukumuelewa alikuwa na maana gani.


Lazima ujue hata unazoziita dini,hazijakmilika na kuhubili kile wanachokisema,kwa hiyo mapungufu katika uelewa wa nini kinafanywa na nani katika masonic ni wa kawaida kabisa hiyo isikupe shaka.sadaka na ibada zao unaweza usizielewe kwa muda wa siku nyinhi sana,maana hata walio na nafasi za juu hawaelewi nn kina kinaendelea.

Kuhusu kuitawala dunia,inategemeana unamaanisha kutawala vipi',,umeelezea sana kuhusu Hitler na wayahudi,lakini je,kutawala dunia kunakomaanishwa na masonic ndiko huko??,
Mkuu wala usitegemeee siku moja utatangaziwa kwamba kwa sasa tunatawala dunia.,hiii inakuja taratibu na mana nikasema mwanzo kwamba habar zao na vikao vyao sio press conference kwamba waandishi wataitwa.
 
Last edited by a moderator:
Freemasonry nao wana haki ya kueneza imani yao (kama unaweza kuiita hivyo) kama ambavyo na nyinyi mnaeneza imani zenu ambazo ziko based kwenye ancient Jewish and Arabic fairy tales.

Waeneze au wasieneze hilo halinipi shida yoyote wala halimaanishi kuwa asili ya Mungu Muumba itabadilika...

By the way sijawahi kukutana na Freemason yeyote akanishawishi kuingia kwenye Freemasonry, hizo imani zenu on the other hand...

Muombe mleta mada akushawishi uingie huko alipo yeye.

Kwa imani yangu naamini kuwa waliotahiriwa tohara ya rohoni tu ndio wataopata neema ya kujua KWELI...nao hao walishatengwa hata kabla ya kudhihirika kwao katika namna ya mwili.
 
Free ideas unaona matatizo yako ayo!
Umeulizwa maswali badala ya kujibu wewe unauliza! Tutafika kweli?
Kwanini usijibu and then uulize maswali yako?
 
Last edited by a moderator:
Free ideas unaona matatizo yako ayo!
Umeulizwa maswali badala ya kujibu wewe unauliza! Tutafika kweli?
Kwanini usijibu and then uulize maswali yako?

Kuna maswali mengine bila kupata ufafanuz wauulizaji hayajibiki,mfano mtu anakuuliza eti,,,kama unamwamini mungu muumba,hapa huwezi jibu kama hujapata uhalisi wa swali lake kwanza afafanue maana ya mungu muumba maana mi sielewi anamaanisha nn na wala juyo mungu kaumba nini
 
Kuna maswali mengine bila kupata ufafanuz wauulizaji hayajibiki,mfano mtu anakuuliza eti,,,kama unamwamini mungu muumba,hapa huwezi jibu kama hujapata uhalisi wa swali lake kwanza afafanue maana ya mungu muumba maana mi sielewi anamaanisha nn na wala juyo mungu kaumba nini

Ok! Labda nikuulize kitu:
kelele zote unazopiga hapa na kutetea ufrimason, lengo lako hasa ni lipi?
Na jee wewe ni mmoja wao?
 
Ok! Labda nikuulize kitu:
kelele zote unazopiga hapa na kutetea ufrimason, lengo lako hasa ni lipi?
Na jee wewe ni mmoja wao?

Kwanza elewa hizi sio kelele labda kama hujui maana ya kelele.
Pili,mimi kuwa member ama la!!,haita kusaidia.na wala sikushauri et kwa sababu ya maelezo haya hapo juu katika izi wangu uache imani ama dini yako.endelea na imani yako mkuu.

Lengo langu ni kueleza kile kidogo nilichonacho kichwani kuhusu masonic,tofaut na na watu wanavoichukulia na kuizushia kila aina ya uovu
 
Umesema vema mkuu,lakin lazima ujue dhana ya kumwabudu shetani unayoizungumzia ikoje!!,kumwabudu kivipi na pia hata wakati Albert ,anasema alisema akiwa na maana gani.kama huamini kuwepo kwa aliyemuumba shetani utamwabudu shetani gani,nadhan hapa hukumuelewa alikuwa na maana gani.
Albert Pike, na kundi lake wanaaamini kuwa Lucifer ndiye amewapa ujuzi(enlightment) binadamu ambapo kama si yeye mungu alitaka kuwafanya binadamu wawe kama savage wasiojua mbele wa nyuma yeye. kupitia adam na eva aliwahurumia akaona awape tunda la ujuzi wa wema na mabaya.hapa Lucifer alileta enlightment to humanity.
Lazima ujue hata unazoziita dini,hazijakmilika na kuhubili kile wanachokisema,kwa hiyo mapungufu katika uelewa wa nini kinafanywa na nani katika masonic ni wa kawaida kabisa hiyo isikupe shaka.sadaka na ibada zao unaweza usizielewe kwa muda wa siku nyinhi sana,maana hata walio na nafasi za juu hawaelewi nn kina kinaendelea.
mkuu satan is a master deceiver.believe it or not. ile ni cult, ile society with secrets, na sio secrets society. na hizo siri zimebaki kuwa mysterious. usitake kudanganyika kuwa watu wameungana na wanafanya siri kisha hiyo siri ikawa ni jambo la kawaida.
Kuhusu kuitawala dunia,inategemeana unamaanisha kutawala vipi',Mkuu wala usitegemeee siku moja utatangaziwa kwamba kwa sasa tunatawala dunia.,hiii inakuja taratibu na mana nikasema mwanzo kwamba habar zao na vikao vyao sio press conference kwamba waandishi wataitwa.

The writings by Adam Weishaupt and Albert Pike.
They say that when the Luciferian conspiracy is finally imposed on what remains of the Human Race, the King-Despot* will be served by a FEW millionaires, economists, and scientists, who have been proven to be devoted to the Luciferian Cause, assisted by sufficient soldiers and police (the United Nation's International Police?) to enforce the will of the dictator upon the masses (Goyim). All the Goyim*, without exception, are to be reduced to the state of human cattle by a process of integration on an international scale. After the human race has been turned into a vast conglomeration of humanity, breeding will be limited to types and numbers considered sufficient to fill the requirements of the State (God). Artificial insemination will be used to accomplish this purpose. Less than $% of the males, and 30% of the females, will be selected and used for breeding purposes.
huu HAPA JUU hii NDIO VISiON YAO. HAPA CHINI inaeleza mkakati wa kufika huko
*despot - refers to a ruler or other person who holds absolute power, typically one who exercises it in a cruel or oppressive way/dictator/oppressor/autocrat




Albert Pike revealed how this was to be done in the letter he wrote Mazzini August 15,1871;


That part which deals with this particular phase of the conspiracy reads as follows,
"We shall unleash the Nihilists* and Atheists*, and we shall provoke a formidable social cataclysm which in all its horror will show clearly to the nations (people of different nationalities), the effects of absolute atheism, origin of savagery and of the most bloody turmoil. Then everywhere, the citizens obliged to defend themselves against the world minority or revolutionaries, will exterminate those destroyers of civilization, and the multitude, disillusioned with Christianity, whose deistic spirits will be from that moment without compass (direction), anxious for an ideal, but without knowing where to render its adoration, will receive the TRUE LIGHT, through the universal manifestation of the pure doctrine of Lucifer, brought finally out in the public view,* a manifestation which will result from the general reactionary movement which will follow the destruction of Christianity and Atheism, both conquered and exterminated at the same time."

*Nihilist may refer to one who believes existence has no objective meaning, purpose, or intrinsic value
*Goyim Refers to masses
*Atheist- refers to one who disbelief or lack of belief in the existence of God or gods./crowd


According to Pike's military blueprint, drawn up between 1859 and 1871;
three global wars and three major revolutions were to place the High Priests of the Luciferian Creed in position to usurp world powers.
Two World Wars have been fought according to schedule. The Russian and Chinese revolutions have achieved success. Communism has been built up in strength and Christendom* weakened. World War Three is now in the making. If it is allowed to break out, all remaining nations will be further weakened, and Islam and political Zionism will be destroyed as world powers.
(The reader must not forget that the Arab world is made up of millions of people, many of whom are Christians; many are of the Jewish faith; many are Mohammedans, but all subscribe to belief in the same God Christians worship as the Creator of the Universe. The Koran of the Mohammedan faith is practically identical with the Bible, excepting only that the Mohammedan religion, while accepting Jesus Christ as the GREATEST of God's prophets before Mohammed, does not permit its members to believe in the Divinity of Christ.)

*Christendom=it refers to the worldwide community of Christians, adherents of Christianity.

The point is this: Those who direct the Luciferian conspiracy AT THE TOP realize only too well that before they can provoke the final social cataclysm, they must first of all bring about the destruction of Islam as a world power, because if Islam were not destroyed, it would undoubtedly line up with Christianity in the event of an all out war with Communism. If that were allowed to happen, the balance of power would be held by Christianity, allied to Mohammedanism, and it would be very unlikely that both sides would conquer and exterminate each other.


the world war three is necessary (remember the what so called the pike military blue print)

The TRUTH is that if World War Three is fought, the United States will be the only remaining world power after it is ended. Either ALL people will have to acknowledge that power, or they will clamour for, and demand a world government. And they will get it if the Luciferian conspiracy is allowed to be developed to its intended conclusion. Then, through the auspices of the United Nations, or some similar organization, a puppet King will be made World Sovereign, and he will secretly be under the influence and direction of the agentur of the Synagogue of Satan, who will have been appointed, not elected, to be his "Specialists," "Experts," and "Advisors."
The High Priests of the Luciferian Creed know they cannot usurp world power before the United States is ruined as the last remaining world power, so those who direct the world revolution AT THE VERY TOP are arranging matters so the United States will, as Lenin stated, "Fall into our hands like an overripe fruit." This is how events taking place today indicate the subjugation of the U.S.A. is planned.


Pike's plan requires that the final social cataclysm between the masses controlled by atheistic-communism and those who profess Christianity, be fought on a national as well as an international scale. That is the reason, and the only reason, that Communism is being tolerated, while being kept under restraint, in the remaining so- called Free Nations of the World.


mark my words: this Pike is a freemasonry. all plans are stated many years ago and kept in their secrets books, as you can see for your self.:A S 39:
 
Kwanza elewa hizi sio kelele labda kama hujui maana ya kelele.
Pili,mimi kuwa member ama la!!,haita kusaidia.na wala sikushauri et kwa sababu ya maelezo haya hapo juu katika izi wangu uache imani ama dini yako.endelea na imani yako mkuu.

Lengo langu ni kueleza kile kidogo nilichonacho kichwani kuhusu masonic,tofaut na na watu wanavoichukulia na kuizushia kila aina ya uovu

Hahahahahahahahahaaaaa!
Mkuu siku zote katika mjadala na kutafuta suluu, kunakuwa na urahisi fulani wa kufikia tamati endapo watoa hoja watafahamika japo kidogo kuhusu wao wenyewe na kwanini wanatetea hoja zao!
Ngoja nikupe mifano:
Kuna mwanafilosophia wa sheria anaitwa John Austine, huyu alisema Sheria ni Command, na sheria isipokuwa Command hiyo sio sheria, ktk kutafuta msukumo wa hoja zake ikatambulika huyu bwana alikua Jeshi, na jeshi siku zote wanaendeshwa na command! Kwa kutambulika huko, ilikuwa rahisi kufikia tamati ya mjadala wao!

Mfano mwengine, ni huyu Kiranga wa Jf, hoja zake zimekuwa zikifahamika vizuri, na hoja nyingi zimekosa majibu ni baada ya kutambulika huyu jamaa ni mpagani!

Hoja za Kina Pinda na Kikwete kuhusu katiba mpya hususan muundo wa muungano na kura [either za siri or za wazi], imekuwa rahisi kutambua nini kimewasukuma kutetea hoja zao!
...
So, wewe ukisema kuwa ni freemaso utaumia wapi? Utapata hasara gani?
...
Mimi naamini uwepo wa Mungu na siku ya mwisho na ndio sababu natetea nnachokitetea!
Kwanini wewe uogope kusema kama wewe ni fremaso?
...
Ukijibu hapo nitakuambia kuwa ni kweli watu wanamtazamo mbaya dhidi ya fremaso na sababu za mitazamo hiyo, huku nikikupa na fact zitakazoweza kukuelewesha kuwa fremaso si njia mzuri kwa muungwana!
Nadhani umenielewa hapo!
 
2013,

Vema,lakini lazima ujue,kuna masonic ideas ama theory ambazo ni tofauti na zinafanya pamoja.na kwa kawaida kuelezea mipango na madhumuni kama alichofanya Albert Pike,sio kosa ilehali ana wajibu kama kiongozi wakati huo(1800s).faham kitu kimoja kwamba mwingine huwa ni utabili na sio madhumuni sahihi,japo utabir hupelekea kufanya mikakati na kujiandaa na litakalotokea.


Inahitaji muda sana kukufahamisha mambo haya yanavyokwenda.lakini tambua kwamba lengo ni ZURI,wala sio ubaya kama wajuavyo wengi
 
Umesema hayo uliyoyandika ni mawazo yako sikubaliani na wewe hata kimoja,hayo uliyoyaandika ni copy,translate n' paste.
 
Mashaxizo,

Nimekuelewa,kiufupi sina dini,siamini katika chochote,siamini katika thieory ya uumbaji,
Nadhani umenielewa
 
Umesema hayo uliyoyandika ni mawazo yako sikubaliani na wewe hata kimoja,hayo uliyoyaandika ni copy,translate n' paste.

Sijakopy popote na wala sina haja,naandika kutoka kichwani direct.kama ingekuwa copy n paste makosa ya kisarufi na typing error zisingekuwepo.

Kwa nn huamini kama nna uwezo huo??,huamini kama naandika kutoka kichwani,?
 
Nimekuelewa,kiufupi sina dini,siamini katika chochote,siamini katika thieory ya uumbaji,
Nadhani umenielewa

Hapo nimekuelewa!
:focus:
Unatetea ufrimason, jee wewe ni mmoja wao?
Haujanijibu hapo!
 
Back
Top Bottom