Niijuavyo Freemasonry

Niijuavyo Freemasonry

haka kaaidea kako ungeanza kukapeleka home kwanza then bi mkubwa,mzee na wadogo zako harafu ndio uje huku, toka na upuuzi wako hapa......
 
Eiyer,

Hha mkuu,naona unataka kusepa kwa gia kwamba sijakuelewa,yawezekana uko sahihi kwamba sijakuelewa lakini inakukost sh.ngapi kudadavua ulichokusudia hasa,mbona unakimbia nakati ndo kunakucha,karibu sana nahitaji pia mawazo yako na sikatai kurekebishwa popote.nakuham sana mchango wako humu jf.maana huwa tunakutana humu sijui kama unakumbuka.ok funguka nikueleweshe usipoelewa
 
Bado unarudia makosa yale yale

Tatizo sio kutokunielewa tu ni kutokujua na kukumbuka kile ulichokiandika masaa machache sana yaliyopita
Sasa kama umeshindwa tu kukijua kilichopita masaa machache yaliyopita na tena umekiandika mwenyewe utawezaje kukikumbuka na kukijua kilichotokea miaka zaidi ya 2000 iliyopita tena kwa kukisoma mahali kwa siku nyingi zilizopita?

Mawazo yangu yanaanzia hapo kwanza!
 
Nahisi unakitu wataka uliza sasa nenda tu moja kwa moja acha kuzunguka
 
Bado unazunguka pale pale ambapo tayar nnishajibu

Umepajibuje? majibu yako wapi? nipe link tafadhali, vinginevyo watu wataelewa kuwa umepost hii thread ikiwa na ambiguous arguments ili uwachafue freemasons, kwa kivuli cha kwamba unawapa pro. Hizi technique watu wanazijua sana, unatengeneza argument ambayo inaonekana kama ni positive kumbe ni negative ili umchafue mtu. Naomba hoja tafadhali
 
Kuhusu kuwa ama kitokuwa masonic najua mimi,na hata kama ukijua haita kusaidia.hoja iko mezani.majibu yako nimetoa kama sio kwako kwa wenzako waliouliza swali kama lako.pitia majibu yangu katika Uzi huu.,,we unachouliza ni kama unajiuliza swali mwenyewe.karibu mkuu
 
Daaah we jamaa(free ideas) sikuelewi kabisaa.Hebu kwanza niambie huyu mfalme sulemani(solomon) unaye mtaja kama point ya kutrace origin ya FM ni yupi?ni huyu wa kwenye maandika matakatifu(ambayo unasema yakutunga,ktk moja ya comment zako) au mwingine unayemjua ww?.

Hoja yangu nikua unawezaje kusema mandiko matakatifu ni yakutungu alafu bado unazungumzia mtu mashuhuri kama msingi wa hoja yako ambaye maelezo yake tunayapata kwa uzuri ktk maandika hayo hayo.Au ww una source nyingineee?.Hebu jaribu kujitafakarisha kidogo juu ya hili!!!
 
1.kama si dini,hizo kafara ni madhabahu ya nini?akili kum-kichwa,2.ni taasisi iliyosajiliwa,hili ni kweli lakini kama hawana nia mbaya kwanini kila kitu ni siri?umesema wanataka kuunganisha dunia,kwanini usaili usiwe simple na wazi?nitarudi
 
Daaah we jamaa(free ideas) sikuelewi kabisaa.Hebu kwanza niambie huyu mfalme sulemani(solomon) unaye mtaja kama point ya kutrace origin ya FM ni yupi?ni huyu wa kwenye maandika matakatifu(ambayo unasema yakutunga,ktk moja ya comment zako) au mwingine unayemjua ww?.Hoja yangu nikua unawezaje kusema mandiko matakatifu ni yakutungu alafu bado unazungumzia mtu mashuhuri kama msingi wa hoja yako ambaye maelezo yake tunayapata kwa uzuri ktk maandika hayo hayo.Au ww una source nyingineee?.Hebu jaribu kujitafakarisha kidogo juu ya hili!!!

Niliposema ni ya kutunga namaanisha ni hadithi za maisha ya watu,kuhusu Solomon nimemtumia kama mtu maarufu wa enz hizo ambaye hata vitabu vya kigiriki vimemtaja.

Unachotakiwa kujua ni kwamba endapo hata historia ya issac newton ingeandikwa kwa ustad mkubwa kabisa,ama kama angesema yote yale anayafanya kwa uwezo kutoka juu leo hii angekuwa na wafusi na dini yake.

Jaribu kusoma vitabu ambavyo viliandikwa wakati ule(ambavyo sio vya kidini) wa akini yesu,solomon,musa na wengine unaowajua,.vimewaeleze watu hao kama viongoz na wapigania haki ama magineous waliokua pia viongoz wao.
 
1.kama si dini,hizo kafara ni madhabahu ya nini?akili kum-kichwa,2.ni taasisi iliyosajiliwa,hili ni kweli lakini kama hawana nia mbaya kwanini kila kitu ni siri?umesema wanataka kuunganisha dunia,kwanini usaili usiwe simple na wazi?nitarudi

Kila kitu kinachohitaji umakini hufanywa kwa umakini pia.na kuwa siri ni mojawapo ya umakini.
 
Mkuu wewe ni member wa FM au? Nijibu hapa ili nipate sehem ya kuanzia kujibu hoja yako. Asante

Hata nikikujibu NDIO,haitakusaidia,kama una cha kuchangia changi tu.jibu langi sio la muhim sana
 
Back
Top Bottom