Niijuavyo Freemasonry

Niijuavyo Freemasonry

Umekusudia kusema nini maana maelezo yamekuwa mengi kuliko pointi,em sema nikuelewe sio unakopy na kupaste
Sijafanya hiyo kitu!
Hembu fuata vizuri conversation yetu!
Hapo nimekuelewa!
:focus:
Unatetea ufrimason, jee wewe ni mmoja wao?
Haujanijibu hapo!

Nimeshakujibu sema hukuelewa!,lakini pia lazima ujue kwamba mi sitetei masonic bali naeleza mtazamo wangu kuhusu MASONIC,sasa umeelewa ehh??
Hapo hukujibu kama ulivyoulizwa! Kwanini umejibu hivyo? Hii imechangia nikupe maelezo hayo apo chini:
Hahahahahahahahaaaa!
Haya bhana! Siwezi kukulazimisha ufrimaso wakati mwenyewe unapinga hilo! But kama utafikiria vizuri kuna somo hapo!

Kwa kawaida binadamu ni kiumbe anaependa kusifiwa na kujifakhiri kwa ubora alionao! Na hata wale binadamu wasiokuwa na ubora huo! Hutumia njia zisizofaa kuhakikisha wanasifiwa! Process hii inaitwa ASPD = Attension seeking personal disorder (wanasaikolojia wanatambua hilo) swali la kujiuliza, kwanini watumie njia mbaya (wadanganye) ili waonekane watakavyo wao?
Hapa jibu ni dogo tu! Wanafake ili nao waonekane wamo!!!!
...
Nadhani haujaelewa main focus yangu hapo! Usijali soma na hapa chini:
...
Kwavile binadamu anapenda kusifiwa (hii haipingiki hata matahira wanapenda kusifiwa na kuonekana wanaakili sawa na watu wengine au hata kuwazidi)
kwa kuhakikisha mwanadamu anapata sifa hiyo (kusifiwa/kuonekana bora) humlazimu kuacha and/or kuficha yale yote anayohisi huenda yakamuondolea hitaji hilo!
(nadhani tunakwenda sawa hadi hapo!)

kwa mantiki hiyo, watu tunaficha maovu na kudisclose mema!
(hapo utatafsiri mwenyewe vile upendavyo!)
...
Kwa upande wa pili, elimu haina mipaka!
Inaruhusika mtu kusomea lolote, (kwa vile huamini Mungu, sijikiti na hoja za kiimani) hapa naongelea THE LAW OF MORALITY WHICH IS INHERENT TO EVERY PERSON! (nadhani unatambua hiyo principle ya law of morality)
Soma, soma, soma tena na tena, soma lolote, soma chochote! Kisichoruhusika ni matumizi mabaya ya kile ulichokisoma! Matumizi mabaya ni any usage which is harmful to other people and/or environment!
...
Free ideas (my friend) Nadhani umenielewa hapo!
Wish u gud day!

Haiingii akilini eti kitu haukubaliani nacho afu eti ukitetee! Unapoulizwa na wewe ni mmoja wao unavunga vunga! What does it mean? = kuna kitu unaficha, kwanini ujifiche kwa kile unachokitetea? = unachotetea ni kitu kibaya. Na ndio sababu hautaki watu wajue waziwazi kwamba wewe ni freemason!
...
Hiyo post usiyoielewa, nimeiandika kiufundi uelewe wewe tu, pamoja na kukukumbusha na fact za kisaikolojia zinazosapoti hali halisi iliopo!
...
Nadhani umeelewa sasa!
 
Hata mi yalishanikuta lkn sijui chochote, walinikamata wakanifunga kamba na kunipeleka kwenye kanisa lao wakaanza kuniombea ''against christ!''ndo nikashtuka nikaanza kuomba ''shindwa ktk jina la Yesu kristu'' wakachemka,waliangaika na mi siku nzima pale Arusha lkn wapi mpk wakakata tamaa wakaniachia.

Hakuna masonic anayemshika mtu na kumpeleka popote kwa nia ya kumfany amwanachama.hao walikuwa waganha wa kienyeji ama matapeli kwa kivuli cha masonic ideas,ndo mana nathubutu kusema watu wengi hawajui nini maana ya hili jambo
 
Nisingekuwa na reasonable doubt kama ya jay-z na siku aliyoachia album hii##REASONABLE DOUBT
jay z is a freemasonry captured in a lodge with his fellw brothers
jayz.masonic.jpg jayz_masonic_church_service.jpg
 
Hakuna masonic anayemshika mtu na kumpeleka popote kwa nia ya kumfany amwanachama.hao walikuwa waganha wa kienyeji ama matapeli kwa kivuli cha masonic ideas,ndo mana nathubutu kusema watu wengi hawajui nini maana ya hili jambo
mkuu, masonic ni wachawi wasomi wenye longterm planning.
mkuu mimi nilikuwa namtetea jay z kuwa haamini mungu lakini sio masonic mpaka alipobambwa nikakubali na anayo footage ya mwaka 98 akiwaelezea Illuminati kuwa wanapesa na na mambo mengine..
pia mkuu hilary clinton naye kuna footage anahojiwa anapata kigugumizi kwani yupo kwenye Taasisi lnyingine kubwa ya kishetani inaitwa the bilderberg group, kati ya taasisi kubwa kumi.
gorge walter bush yeye yupo skull and bone. fuatilia university ya Yale utaona inahistoria ya kukumbwa na mambo ya kishetani kabla hawajaunda skull and bones ambapo bush alisomapia na akawa mwanachama wa kikundi hiki, mit rumney yeye alitoka tasisi yenye kufanana na ukristo inaitwa Mormons(nayo ni ya kishetani pia)
hao ni kwau chache. soma ndio upate ukweli sio kusikia tu.

http://listverse.com/2007/08/27/top-10-secret-societies/
 
Mbona majibu yangu yanajieleza?!!,nilipokupa mifano ile nilijua kabisa kwamba umeelewa.ok ni hivi kila sehem ilikuwa na ideas na jina tofauti na mwisho wa siku kunikuta wote wakiwa katika ushirika mmoja



katika uzi umesema walianzia mashariki ya kati,je walitumia jina gani hapo?katika kitabu maarufu cha freemasons kinachoitwa morals and dogma Albert Pike anasema freemason wanamuabudu supreme being anayeitwa Lucifer.Vipi,wewe ukiwa kama mjuzi wa mambo ya freemason,hebu tueleze profile ya huyo Lucifer ili tuone ndio yule yule wanamzungumzia wakristu na waislam au ni mwingine
 
'uislam ni ngumu kuingia kwani quran haibadiliki lkn bible inachange every now and then' Mkuu pole sana nadhani huijui biblia probabaly hata hiyo quran huijui kama ambavyo waislam wengi wasivyoijua wakitegemea fasiri kutoka kwa mashehe na maimu.

Nataka ujue tu kuwa BIBLIA HAIBADILIKI kama wewe unavyoamini na haitabadilika.nakushauri ufanye utafiti zaidi kuhusu jambo hili itakusaidia.
 
Sijakopy popote na wala sina haja,naandika kutoka kichwani direct.kama ingekuwa copy n paste makosa ya kisarufi na typing error zisingekuwepo.

Kwa nn huamini kama nna uwezo huo??,huamini kama naandika kutoka kichwani,?

Sio kwamba siamini kama wewe ndio umeyaandika lahasha nasema hayajatoka kichwani mwako kwa7 yote uliyoyaeleza yapo kwenye wikipedia yashaelezwa kitambo.
 
Sio kwamba siamini kama wewe ndio umeyaandika lahasha nasema hayajatoka kichwani mwako kwa7 yote uliyoyaeleza yapo kwenye wikipedia yashaelezwa kitambo.

Unaelewa maana ya Free ideas??,kama unaelewa hukuwa na haja ya kuuliza mwanzo.sijasema nemeanzisha kitu kipya ambacho hakikuwepo duniani lapana.nilimaanisha naandika kile ninachokijua kuhusu masonic,na sio kwamba nakopy vitabuni ndo naandika.ndo man ukifuatilia utaona makosa pia ya kiuandishi.
 
'uislam ni ngumu kuingia kwani quran haibadiliki lkn bible inachange every now and then' Mkuu pole sana nadhani huijui biblia probabaly hata hiyo quran huijui kama ambavyo waislam wengi wasivyoijua wakitegemea fasiri kutoka kwa mashehe na maimu. nataka ujue tu kuwa BIBLIA HAIBADILIKI kama wewe unavyoamini na haitabadilika.nakushauri ufanye utafiti zaidi kuhusu jambo hili itakusaidia.

Kutokubadilika kwa Biblia sio jambo la kuzingatia,lakini lazima ujue kwamba biblia sio kwa ajili yako wewe bali ni kitabu cha maisha ya waizrael na hadithi za viongozi wao imara.kati ya vitabu ambayo ni vigumu kumeza ni Biblia na koran maana kila kimoja kinavutia upande wake kwa hadithi za kutungwaa
 
Mashaxizo,

Kukubali kwangu kwamba mi ni masonic ama la!,haita kusaidia zaidi ya kukupa STRESS na kunichukia,bila kujua kwa nini!
 
Unaelewa maana ya Free ideas??,kama unaelewa hukuwa na haja ya kuuliza mwanzo.sijasema nemeanzisha kitu kipya ambacho hakikuwepo duniani lapana.nilimaanisha naandika kile ninachokijua kuhusu masonic,na sio kwamba nakopy vitabuni ndo naandika.ndo man ukifuatilia utaona makosa pia ya kiuandishi.

Kweli mkuu ni "Free ideas" manake makosa si ya kiuandishi tu umeyafanya bali hata ki-idea.Unasema freemason walikuwepo tangu enzi za solomon,hebu pitia website mbali mbali za masons uone wenyewe wanasemaje kuhusu hilo.Mfano www.Mastermason.Com au www.Freemason.Org wanasema freemason haijaanzia wala kuwepo wakati wa solomon bali ni watu tu wanasema hivyo na kwamba freemason ilianza middle ages wakati wa ujenzi wa mahekalu na makanisa huko ulaya.

Wewe unasema imeanzia middle east,wao wenyewe wanasema imeanzia ulaya!Anyway,ahsante kwa kuchangamsha akili zetu,you never know bwana,huenda wewe ni mmojawapo na umetumwa kuja kutupima "Wananchi" ufahamu wetu juu ya freemason,kama ni hivyo basi kawaambie "Jamaa wanatujua vizuri tu aisee,wanajua kile tunachosema na kile tusichosema kuhusu chama chetu".
 
kerubi afunikaye,

Sio kwel kwamba masonic imeanza ulaya,na ndo mana kwamba sio kila unachookiaona kwenye net kina maanisha kitu halisi ama ukweli halisi.,niliposema masonic walianza ,,enzi,, za solomon,sikumaanisha exactly mwaka ambao solomon alikuwa mtawala.jina solomoni nimelitumia kama point of reference,.

Kwan mtu akisema enzi za nyerere inaelewa vipi??,,ama nikisema watati wa vita baridi,simaanishi mwaka 1991., masonic ulaya imeenea miaka ya karibuni ( simaanishi juzi namaanisha miaka ya 1700s)na sio.lakini pia inaonekana huijui historia ya masonic na kama unajua huielewi kam wengine wengi.nikuulizee,unajua nini kuhusu Egypt??,,Izrael,na historia ya middle East??,.unapozungumzia masonic?

Ikiwa unajua basi ntakushangaaa ukisema masonic imeanza ulaya.afu inaonekana husomi kommenti sana kwa wengine nimewajibu sana pitia.asante kwa kufuatilia lakini
 
Free ideas,

mh!kwa hiyo wewe unabishia hata kile kilichoandikwa na freemason wenyewe?sina grounds za kubishana na wewe kwani umeshasema kuwa hizi ni "free ideas" kutoka kichwani kwako with no references,kwa hiyo si lazima zifanane na uhalisia,siwezi kukubishia maana ni "mawazo yako" mkuu!Go on bwana!
 
mh!kwa hiyo wewe unabishia hata kile kilichoandikwa na freemason wenyewe?sina grounds za kubishana na wewe kwani umeshasema kuwa hizi ni "free ideas" kutoka kichwani kwako with no references,kwa hiyo si lazima zifanane na uhalisia,siwezi kukubishia maana ni "mawazo yako" mkuu!Go on bwana!

Mwisho umeelewa
 
Mwisho umeelewa

ha ha ha ha ha haa!hii staili yako ya kufikisha ujumbe ha ha ha haa!we jamaa una hatari!kweli Jamii intelligence mtu hatakiwi kuingia kichwa kichwa ha ha haa...muda wote huu naongea na wewe huwi muwazi unamung'unya tuu,ngoja nikutukane tusi ambalo mods hawawezi kunipiga ban...KICHWA CHAKO!
 
ha ha ha ha ha haa!hii staili yako ya kufikisha ujumbe ha ha ha haa!we jamaa una hatari!kweli Jamii intelligence mtu hatakiwi kuingia kichwa kichwa ha ha haa...muda wote huu naongea na wewe huwi muwazi unamung'unya tuu,ngoja nikutukane tusi ambalo mods hawawezi kunipiga ban...KICHWA CHAKO!

Ukiona hivo ujue umeishiwa hoja.hutakiwi kuniuliza swali ambalo halina msingi na siwezi kukujibu kama unavotaka maana ntakuwa sijakufanya ushughulishe ubongo wako
 
Back
Top Bottom