Niijuavyo Freemasonry

Niijuavyo Freemasonry

Hata nikikujibu NDIO,haitakusaidia,kama una cha kuchangia changi tu.jibu langi sio la muhim sana

Jiamini mkuu, naona una wasiwasi kama unaoga nje!! Nia yangu ni nzuri tu, manake ungejibu swali langu ningeweza kuchangia mada yako.
 
Kama nia yao ni kuwatoa watu hofu about life after death,heaven, hell then therefore its satanic ideas,refer your statement that its not a religion but an idea
Your statements zinaprove that they do not believe in God's existence,...but believe it or Not,MUNGU yupo and nobody should be in the position to oppose/doubt his existence
 
Ukisema nobody should be in the Position to oppose/doubt his existence utakuwa unakosea sana.Ulishawahi kujiuliza kwa nini unaogopa kuhusu Mungu??,ulishafanya japo utafiti kuhusu swala la imani???.
 
WANAFANYAJE KAZI
Msonic hufanya shughuli zao kwa umakini na kanuni zao ni za siri pia.wanavitabu na mafunzo ya misingi imara katika dini yao.ili kuhakikisha wanajieneza kwa kiasi kikubwa ,wao hudeal na watu maarufu ama utafiki ama bidhaa pendwa ambapo husapoti na kuendesha shughuli mbalimbali kwa ufanisi mkubwa.

Umesema Masonic sio DINI LAKINI HIYO RED LINE hayo maneno umeyasahau uliyosema? Na kama ni Idea lakini ukatafsiri maana ya DINI DINI ni utaratibu mzima wa maisha ya binadamu ya kila siku namna anavyoamini kama vile wengne wakimka ufanya ishara ya msalaba sisi waislamu tuna dua maalum ukiamka kumshukuru aliyekuumba na pia ukitaka kutoka kuna dua yake ukitaka kulala kuna dua yake ukitaka kula kuna dua yake...masonic wanaamin zao ambazo utoa kafara,wanavitabu vyao ambapo hata sisi tuna kitabu chetu tunachokiamin masonic wanamasonic book ambazo uziamin na wanamasonic bible ambapo pia ukiamin.....ishara zao wanamavazi yao...wanasalamu yao je utsemaje sio dini ikiwa umesema dini
ni aina ya maisha(/shughuli za kimaisha) ambayo mwanadam anaishi/anafanya kila siku.shughulizi hizo ni kama kuzalisha,kutambika,na tamaduni zote.kwa hiyo nikisema dini ni utamaduni nadhn bado ntakuwa sawa.

naona unajichanganya boss
 
Ni wajanja sana hawa. Wanatuingiza wengine hata bila kujua kwenye namba 666. Mara tunaambiwa kubonyeza*150*60*123# kumbe unajikuta umejumlisha *6*6*6=666! Hata kuingia katika website 'www', herufi hizo za Kirumi ni sawa na 666 maana W=6! Chunguzeni vizuri wana jf. Mpinga Kristo yuko kazini.
 
Hapana mkuu,unajua tafsiri zipo nyingi na kila mtu anaweza kutafri awezavyo.niliposema dini ni utaratibu wa maisha ya kila siku wa jamii flani hiyo ilikuwa ni tafsiri yangu na ndivo ninavojua mimi.kwa tafsir yako ya kusali na kumwomba mungu aliyekuumba uamkapo asubuhi hiyo ni tafsir yako na imani yako.

Kwa ujumla tukisema neno DINI, kwa watu wengi ,kitu cha kwanza kuwaza ni KUHUSU MUNGU,IMANI NA PIA DINI YENYEWE nikimaanisha mfano uislam ama ukatoliki.,
Lakini unarakiwa ujue UKISEMA NENO MASONIC,Humaanishi dini kama ambavyo watu wengi wanatafsiri.masonic ni IDEA,na itabaki kuwa IDEA.yan ni kama sera,mfano Mtu akisema MIMI NAWEZA,ama UKISIKIA NENO KWAMBA TANZANIA BILA UKIMWI INAWEZEKANA,ama mtu kuwa na wazo kwamba jambo flani linawezekana kabisa,.ni kiasi cha kujiamni ambapo hapahitaji nguvu yoyote wala maombi.
Unaweza hata wewe kuamua kujiamini wewe kama wewe na ukajiwekea misingi na nia katika maisha yako sio lazima uongozwe na mtu ama IMANI flani ama uwe na UOGA,juu ya kitu flani.,Ni wazo ambalo linakufanya kuwa huru,OUT OF FEAR,,na kuamini kwamba WE, THE PEOPLE,tunaweza.huna haja ya kuwa na uoga,.ni kiasi cha kuhoji uhalali wa kile kidhamiwacho ama kilichopo,ni kiasi cha kutafuta ufumbuzi wa kile kidhaniwacho ama kilichopo,ni kasi cha kuwa huru na kujitambua,ni kiasi cha kujipangia nini cha kufanya bila uoga wala HOFU KUU,.karibu sana
 
Ni wajanja sana hawa. Wanatuingiza wengine hata bila kujua kwenye namba 666. Mara tunaambiwa kubonyeza*150*60*123# kumbe unajikuta umejumlisha *6*6*6=666! Hata kuingia katika website 'www', herufi hizo za Kirumi ni sawa na 666 maana W=6! Chunguzeni vizuri wana jf. Mpinga Kristo yuko kazini.

Kuhusu namba 666,wala usiwe na hofu maana haita kudhuru wewe wala ndugu yako,na sio namba ya madhara ndo mana huwa nadema hapa kila siku kuwa watu wanatafsiri visivyo mambo haya.,kuna vitu vingine haviepukiki tayar vipo na vingine vingi huvijui,lakini pia unatakiwa kujua kwamba hofu yako haitasaidia kitu maana huna haja ya kuwa na hofu.hakuna baya zaidi ya mema na usiogope mambo ya watu.karibu
 
Huu ndio unabii wa biblia, kwamba malengo makuu ya freemasoni ni kuitawala dunia. Watakapo itawala usipowakubali hutauza wala kununua.
 
Dunia kuungana na kuwa kitu kimoja sio jambo geni maana hata mnaemuita yesu aliwaambia wafuasi wake waungane wasitengane,ili wasije shindwa.hukumbuki wakati paulo anawaungamisha watu kuwa kitu kimoja kuimarisham shikamano kule maeneo ya ANTIOKIA??,kama familia mko kitukimoja inashindikana nn Dunia kuwa na serikal moja??,nikupe mifano michache??
Familia,balozi,kitongoji,kijiji,kata,tarafa,wilaya,mkoa,kanda,taifa,jumuiya(EAC,EU,UAE),,UN,AU,haya njoo sasa kwenu ,kigango,jumuiya,parokia,jimbo,(ushirika) nenda mpaka VATICAN ,hapo kipya ni kipi??,

Kwan biblia inaposema walio wa mungu waungane we ulidhani mwandishi alimaanisha nn??,mbona vitu viko waz,??,tatizo hamfikirii,ukinishooshea kidole kimoja 4vinakurudia
 
Umepiga Debe vyakutosha tumeshakujua wewe ni nani na
lengo lako la kuanzisha huu uzi ni nini Tatizo
ni kuwa umeanza kuijua FM leo Na pia umekurupuka
Kujiunga nao ndo mana hata wadau waliochangia
wakikuuliza maswali huwajibu kama walivyokuu
liza na wengine kuamua kusepa hii nikutokana
na wewe kuanzisha kitu ambacho wewe mwenye
we hukijui mf. Unasema mara Fm sio dini sehemu
ingine unasema ni dini hueleweki. Kwa maelezo yako
toka mwanzo+Avatar yako+ Id yako wewe ni
FM aliyekurupuka. Nakuomba unapojiunga na
kitu/taasisi yoyote jaribu kuisoma na kuijua vizuri
Hii itakusaidia kuto kujutia baadae.... Hasante
Ni hayo tu.
 
Hauko sahihi mkuu,maelezo yako hayan ukwel hata kidogo,hakuna sehem nimesema kwamba MASONIC ni dini may be umetafsiri vibaya ama hukuelewa.asante lakini
 
Ukisema nobody should be in the Position to oppose/doubt his existence utakuwa unakosea sana.Ulishawahi kujiuliza kwa nini unaogopa kuhusu Mungu??,ulishafanya japo utafiti kuhusu swala la imani???.

Imani ni kuwa na uhakika na mambo yatarajiwayo na ni Bayana ya mambo yasiyoonekana....hivyo 2naamini ya kuwa Mungu ni roho na anafanya na kutenda mambo mengi makubwa kwa njia ya imani

Kumuogopa/Kumheshimu Mungu hakuepukiki kwa saba zifuatazo..

i) Ni mtawala wa vyote hvyo anapaswa kuogopwa/kuheshimiwa kama we ufanyavyo kwa bosi wako/raisi wako

ii)Ni source ya life existence of the universe

I'll explain to you sooner of later nikipanga madesa
 
Ni wajanja sana hawa. Wanatuingiza wengine hata bila kujua kwenye namba 666. Mara tunaambiwa kubonyeza*150*60*123# kumbe unajikuta umejumlisha *6*6*6=666! Hata kuingia katika website 'www', herufi hizo za Kirumi ni sawa na 666 maana W=6! Chunguzeni vizuri wana jf. Mpinga Kristo yuko kazini.

Nna amini mpinga kristo yupo na atakuja but siyo kama hivyo unavyoitafsiri mkuu
 
Imani ni kuwa na uhakika na mambo yatarajiwayo na ni Bayana ya mambo yasiyoonekana....hivyo 2naamini ya kuwa Mungu ni roho na anafanya na kutenda mambo mengi makubwa kwa njia ya imani

Kumuogopa/Kumheshimu Mungu hakuepukiki kwa saba zifuatazo..

i) Ni mtawala wa vyote hvyo anapaswa kuogopwa/kuheshimiwa kama we ufanyavyo kwa bosi wako/raisi wako

ii)Ni source ya life existence of the universe

I'll explain to you sooner of later nikipanga madesa

Unaposema imani ni kuwa na uhakika na mambo yatarajiwayo unasababisha ujichanganye zaidi.mambo yatarajiwayo ni yapi??,

Kama huyo mungu angekuwa ndiye anayefanya mambo makubwa,hakika kusingekuwa na maovu katika dunia aliyeiumba kwa mkono wako kama usemamvyo.,kwa nn kuwe na uovu katika dunia yake ambayo kaiumba mwenyewe,na kisha kumruhusu shetan kumrubuni mwanadam??.,alishindwa nn kuiumba dunia isiyokuwa na chembe ya uovu??,

Mtoto aliyezaliwa kilema ama mlemavu anakosa gan kwa huyu mungu wak0??.upendo uko wapi hapa???.

Pia unaposema mungu ni mtawala wa vyote na anapaswa kuogopwa nadhan hauko sahihi.kwa hiyo alituumba ili tumuogope??,kwa nn mwanadam ambaye ameubwa na mungu kwa mapenzi yote aishi kwa hofu ya mungu??.ulishawahi kujiuliza nafasi ya shetan katika UWEPO WA HUYO MUNGU??,ulishawahi kujiuliza kwa nn shetan yupo??,
 
Asante kwa mtazamo wako,na ndo mana nikasema situmii rejeo ama kitabu chochote,na asante kwa kujudge kwamba sijui chochote,naomba unijibu maswali hata kutokana na majibu yako hapo jui.

1.,ufalme wa nuru na ufalme wa giza maana yake nn??

2.nani ambaye ni controller,ama mmiliki wa falme hizo mbili\??,kama jibu ni mungu kwa nn anaruhusu falme mbili\???kma jibu ni shetani,je mungu kambuimba ili apingane nae??

3.,je ulishawahi kufikiria kwa nini dunia ambayo imeumbwa na umsemaje mungu mwenye mapendo na baraka zote,tena asiye na ovu na ikawa na maovu,visasi,chuki na mioyo migumu??

4.je ulishwahi kufikiria kwa nn mungu anapingana na shetan aliyemuumba??,uliwahi kujiuliza kwa nn shetan alimwambia yesu kwba miliki zote za nnchi ni mali yake\???

Jibu hayo kwanza nione IQ,,yako maana naweza kukup mzigo usiouweza

Maswali yako pekee, yanaonyesha imani yako katika dini ni dhaifu na pengine mfuasi wa freemasons.

Kama ni mkristo au muislamu unayejua vizuri vitabu vitakatifu. Majibu ya hayo maswali yapo huko.
 
Hakuna majibu huko ipasemapo,na kama apo yalete.kuhusu mimi sina dini na wala sihitaji kuwa na dini maana sion haja.
 
kwa nilivyokuelewa freeideas, wewe huna dini wala huitaji dini.
ila sijajua ni nguvu gani inakufanya uweze kushawishika kwenye ideas za kimasonic na kuwazungumza kama vile wewe ni advocate wao---kuwa ni watu wenye nia njema kwa watu, kuliko kushawishika na dini zetu zilizowazi zaidi kwenye jamii na wala haziendeshi mambo kwa siri wala kificho kama walivyo hao freemansory.......anyway sijajua, jibu unalo wewe..........if you can't find something to live for, then you better find something to die for.
 
Ukisema kwamba mi ni advocate wao utakuwa umeenda mbali na inawezekana pia sio sahihi.lakini hata kama uko sahihi kwa namn moja ama nyingine sidhan kama ukwel utabadilika.hiki ndo ninacho kiamini mmi.,kuanya mambo kwa kificho sio sababu sana ya kuhukumu kwamba ni ya kishetani.kwa maana kuna mambo mengi yanayofanywa kw akificho na ni mazur pia.
Tafsiri ya kwamba wanafanya mambo kwa kificho,sidhan kama iko sahihi sana,nadhan ilitakiwa kuwa kwamba WANAFANYA MAMBO KWA UMAKINI SANA.,tofauti na hapo wasingekuwa na Website ,vitabu,mikutano,bidhaa zinazoonekana.,kwan nini ambacho kimefichika unadhan??
 
Back
Top Bottom